Nani haswa anapaswa kuitwa na kutambuliwa kama "Genius"?

Nani haswa anapaswa kuitwa na kutambuliwa kama "Genius"?

Ni mtu mwenye uwezo wa kufanya mambo juu ya umri wake,matendo meng huwa yapo ndan y umri tulionao, ukifanya jambo ambal ni zaid ya your chronological age utaitwa genius,but pia tunaangalia mazingira n kitendo kam yanaendan au ls

kumbe omary nae genius .......ana miaka kumi na 9 anatoka na mmama wa miaka 50 amaizing
 
A genius is a person who displays exceptionally superior intellectual ability, creativity, ororiginality , typically to a degree that is associated with the achievement of new advances in a domain of knowledge.

A scholar in many subjects or a scholar in a single subject may be referred to as a genius.

There is no scientifically precise definition of genius, and the question of whether the
notion itself has any real meaning has long been a subject of debate, although psychologists are converging on a definition that emphasizes creativity and eminent
achievement.

Source: wikipedia
 
basi Mimi napaswa kutambuliwa kama Genius maana ninauwezo wa kumuambia mtu madhara au hasara atakayo ipata kabla hajafanya anacho taka kufanya na kweli akifanya inakua kama nilivyo muambia

kuna tofauty kati ya uganga wakienyeji na u genius
 
sio kweli. standard IQ ni 125%. genius wanaanzia 150 na kuendelea. kipimo sio lazima sayansi mi kwenye jambo lolote. mfano Messi kwenye mpira au opra kwenye tv shows au ccm kwenye wizi wa kura wanategewa africa ya mashariki na kusini.

Dah jf raha sana. Nimecheka sana.
 
Kuongoza darasani ndilo kigezo cha igenius?last time i checked Isaack Newton alidisco chuo kikuu.

Kumbuka ili ufaulu darasani unapaswa ushike kanunu/masuala uliyofundishwa darasani, genius sio kushika uliyoambiwa bali kwenda mbali zaidi na kuina makosa kwa ulichoambiwa na kukigundua ambacho wengine wakiwemo maprofesa wa wakati huo na walimu wako hawakujua kama kipo.

Magenius hawakubali tu kitu wanachoambiwa, wanakipima kwa uwezo wa juu na kukikataa inapobidi.

Sasa ukiwa shuleni kwenye paper alafu unaulizwa je dunia ina umbo gani?kwa elimu ya zamani waliambiwa ni sahani, sasa mtu kama Gallileo angekujibu sio sahani bali ni duara, kwenye mtihani angefeli.

Ni kweli umemjibu vizuri. Mfano ni Gaussian kama sijakosea jina wakiwa darasani mwalimu wa hesabu aliwapa zoezi la kujumlisha namba 1+2+3+4+5+.........+98+99+100. Baada ya sekunde 30 tu akampa jibu mwl. Mwl akapagawa ikabidi amuulize umefanyeje haraka na jibu ni sahihi kabisa. Akamjibu hizo namba ukigeuza na kujumlisha utapata 101x100 ambayo ni 10100 ukigawa kwa 2 unapata 5050 na ndio jibu. Dogo alitisha
Baadae ndio aligundua Sequence and Series
 
Ni yule anayefanya yale ambaye kwa akili ya kawaida wameshindwa kufanya..
 
THOMAS EDISON...... Huyu jamaa ni real Genius. Soma habari zake. Ndio amegundua taa za umeme, camera nk
Anasema: "Genius is 1% inspiration, 99% perspiration"

Ukitaka kuamini ni Genius wa ukweli yeye ni Self Educated.
 
Genius ni mtu mwenye suluhisho wa mambo ama jambo ambalo mtu wa kawaida hawezi kutekeleza... Moreover, Genius Hutumia akili yake kufikiria na kutatua complex issues kwa njia rahisi sana ...ma - genius wengi wazazi wao walikuwa na lishe bora kuanzia wakati wa mimba na miaka miwili ya kunyonyeshwa maziwa yenye virutubisho muhimu kutoka kwa mama! Inasemekana Africa kuna Genius wengi sana ila waliharibiwa na utapi wa Mlo pamoja na Sindano nyingi zikiwemo chanjo ya ndui!! Inasemekana watoto wengi waliozaliwa miaka ile ya unga wa yanga hawana akili kwani hawakupata virutubisho muhimu! Sasa hivi wanasema kuwa watoto hawana akili kutokana na life style yetu ya ulevi na kula vyakula vya supermarket ...
 
labda nikurekebishe kidogo unaposema magenius wengi wazazi wao walikula lishe bora sidhani kama ina ukweli wowote kama ni kweli fuatilia list yote utakuta magenius karibu wote ni pre mature ss hapo vipi mkuu
 
Mi namjua jamaa Fulani tulikuwa tunasoma huyu jamaa toka form one alikuwa anatoongoza tena kwa arama za juu kabisa masomo yote huyohuyo aliiongoza katika matokeo ya form four na form six bado pale udsm aliongoza kitivo cha physics sasa hivi yupo Norway kwenye kampuni ya madini kama senior enginner
Kumbuka kwamba kuwa Genius sio hadi uongoze darasani. Inasemekana sirr isack newton alikuwa akishika nafasi ya mwisho kwenye mitihani yake, kumve ni kwa sababu alikuwa na akili kumzidi mwalimu wake.
 
THOMAS EDISON...... Huyu jamaa ni real Genius. Soma habari zake. Ndio amegundua taa za umeme, camera nk
Anasema: "Genius is 1% inspiration, 99% perspiration"

Ukitaka kuamini ni Genius wa ukweli yeye ni Self Educated.
Edi ni kanjanja tu wala hana lolote alikuwa business man wali invert workers wake ila aka patent yeye
 
Back
Top Bottom