Nani haswa anapaswa kuitwa na kutambuliwa kama "Genius"?

Nani haswa anapaswa kuitwa na kutambuliwa kama "Genius"?

Edi ni kanjanja tu wala hana lolote alikuwa business man wali invert workers wake ila aka patent yeye
Bora umemwambia jamaa edi alikuwa kilaza tu....yeye mwenyewe alikiri huo wizi wizi wake...ugunduzi mwingi uliopewa jina lake alimwibia nicola tesla na mpk tesla anakufa masikini alibaki akimlalamikia edi.pitia pia kitabu cha 48 laws of power kuna sehemu imeelezewa ujanja wa edi
 
THOMAS EDISON...... Huyu jamaa ni real Genius. Soma habari zake. Ndio amegundua taa za umeme, camera nk
Anasema: "Genius is 1% inspiration, 99% perspiration"

Ukitaka kuamini ni Genius wa ukweli yeye ni Self Educated.
Sio kweli mkuu Thomas edison ni vilaza tu ka siye hana IQ ya u genius kazi zote zinazosemekana alivumbua ni kazi ya nicola tesla pitia kitabu cha 48 law's of power cha Robert greene ndo utaelewa janja ya huyu jamaa
 
Kumbuka kwamba kuwa Genius sio hadi uongoze darasani. Inasemekana sirr isack newton alikuwa akishika nafasi ya mwisho kwenye mitihani yake, kumbe ni kwa sababu alikuwa na akili kumzidi mwalimu wake.

Jamaa alidisko,same to Mendel lakin mambo aloyafany kweny genetics ni makubwa
 
inasemekana Sir Isaac Newtons alifeli shule.wengine wanasema ni kutokana na kuwa na fikra za juu kuliko waalimu wake hivyo waalimu wake walikuwa hawakubaliani na mawazo yake kwani yaliwazidi upeo wakawa wanadhani anakosea. All in all newton alikuja kuthibitisha yeye ni jiniaz.
nakubaliana na wewe hii ni kweli
 
genius ni mtu anayefanya mambo zaidi ya expectations bila kuwa na elimu ya darasani mfano yule aliyekoza 20 years
 
Any person can be a genius if and only if he or she uses its artificial intellient apart from his normal knowledge....

Mfano mzuri wa genius ambaye hatakuja kutokea japo hawapend kumzungumzia na hata yeye binafsi alikataaa kutoa siri za uwezo wake na akaomba awekwe kwenye oradha ya watabe hao ni NICHALAS TESLA....

HUYU jamaaa alikuwa ni mwana fizikia ambae aligundua pass way za electromagnetic wave including wave pattern in relation to motion...
Aligundua electromagnetic waves kwa kuziona kwa macho kitu ambacho hakuna mwanadamu aliyekuja kuziona ila yeye pekeee...daaaaah..huyu ndio geniuz namba moja dunia i ..akima Neuton cha mtoto....huyu jamaaa kabla hajafa ilibidi aandike siri kubwa ya yeye kuwa na uwezo mkubwa wa kuziona electromagnetic wave ambapo leo hiii ndo zimeweza kutumika kwenye technologia mpya za VIRTUAL REALITY ambyo hakika ndio technology inayoongoza xaxa kwani hata hivo move za hollywood tunazoona wanaingiza katika sayari nyingine ni kwa msaada wa Virtual reality technology ambayo inasaidiwa na technologia ya ugunduzi wa electromagnetic wave patern na Nicholas Tesla...
Japo alikaaaa asiitwebgenius ila hili jmaaa lilikuwa lisenge la wasenge...mshenzi wa washenzi ...
 
3238ef18c6327c386efe3635086d97e8.jpg
 
jiziaz ni yule anapokuwa kwenye fani yake anaimudu kwa kiwango cha juu. iwe elimu, usanii(Mf. kuchora),ufundi, n.k.
japo kuna wale majiniaz wanaotokana na kukomaa sana(mfano kusma sana) lakini kwa ujumla haiwazuii kitwa jiniaz.

Msisahau kuhusu talented na gifted
 
Any person can be a genius if and only if he or she uses its artificial intellient apart from his normal knowledge....

Mfano mzuri wa genius ambaye hatakuja kutokea japo hawapend kumzungumzia na hata yeye binafsi alikataaa kutoa siri za uwezo wake na akaomba awekwe kwenye oradha ya watabe hao ni NICHALAS TESLA....

HUYU jamaaa alikuwa ni mwana fizikia ambae aligundua pass way za electromagnetic wave including wave pattern in relation to motion...
Aligundua electromagnetic waves kwa kuziona kwa macho kitu ambacho hakuna mwanadamu aliyekuja kuziona ila yeye pekeee...daaaaah..huyu ndio geniuz namba moja dunia i ..akima Neuton cha mtoto....huyu jamaaa kabla hajafa ilibidi aandike siri kubwa ya yeye kuwa na uwezo mkubwa wa kuziona electromagnetic wave ambapo leo hiii ndo zimeweza kutumika kwenye technologia mpya za VIRTUAL REALITY ambyo hakika ndio technology inayoongoza xaxa kwani hata hivo move za hollywood tunazoona wanaingiza katika sayari nyingine ni kwa msaada wa Virtual reality technology ambayo inasaidiwa na technologia ya ugunduzi wa electromagnetic wave patern na Nicholas Tesla...
Japo alikaaaa asiitwebgenius ila hili jmaaa lilikuwa lisenge la wasenge...mshenzi wa washenzi ...
Heee kumbe uchoko ndio ujinias?
 
nimekuwa nikijiuliza hili swali Mara nyingi...he genius in MTU mwenya sifa zipi....
maana kama no kusoma nawafahamu watu wengi wenye masters ambao kiaasili wazito katika kueelewa na kudadavua mambo yanayotuzunguka...
NAOMBA KUELEWESHWA
 
Genius
Ni mtu yeyote aliyezaliwa akiwa na afya njema kabisa, akalelewa katika mazingira bora yaliyoweza kurutubisha vizuri afya ya kimwili na kiakili.

Thi is Genius.
 
Back
Top Bottom