KAFA.cOm
JF-Expert Member
- Jun 22, 2013
- 1,301
- 739
Bora umemwambia jamaa edi alikuwa kilaza tu....yeye mwenyewe alikiri huo wizi wizi wake...ugunduzi mwingi uliopewa jina lake alimwibia nicola tesla na mpk tesla anakufa masikini alibaki akimlalamikia edi.pitia pia kitabu cha 48 laws of power kuna sehemu imeelezewa ujanja wa ediEdi ni kanjanja tu wala hana lolote alikuwa business man wali invert workers wake ila aka patent yeye