dudus
JF-Expert Member
- Feb 28, 2011
- 23,782
- 54,213
Dudus?Kwa uelewa wako Shetani ni kitu/kidudu au kiumbe gani?
Habari za Shetani hizi hapa:
"... Mikaeli na malaika zake wakapigana na yule joka mkubwa, naye joka mkubwa na malaika zake wakapigana 8 lakini hakushinda, wala mahali hapakupatikana mbinguni kwa ajili yao tena. 9 Kwa hiyo yule joka mkubwa akatupwa chini, yule nyoka wa zamani, yeye anayeitwa Ibilisi na Shetani, anayeipotosha dunia nzima inayokaliwa; akatupwa chini duniani, na malaika zake wakatupwa chini pamoja naye."; Ufu 12
Kwa ufupi, Shetani ni nafsi iliyo hai, inayojitegemea, yenye utashi, na maamuzi yake yenyewe. Umenisoma?