Nani humu ana ujasiri wa kufanya hivi

Nani humu ana ujasiri wa kufanya hivi

Suala la Jihad na Fatwa yamo kwenye Quran.Na matendo haya ya ugaidi ni sehemu ya Jihad iliyohalalishwa na Muhammad.Kumbuka mtume ndio alikuwa kiongozi kwenye vita nyingi vya kueneza uislamu na mateka waliokamatwa na mtume katika vita hivyo walikuwa na chaguzi mbili kuchinjwa au kusilimu,ukikataa kusilimu unachinjwa tena imenenwa mateka waliokuwa wanaadhibiwa na mtume mwenyewe direct walikuwa wanakufa vifo vibaya sana.
Jambo jingine ni kwamba baadhi ya mateka wa kike walikuwa wanatwaliwa kuwa vimada wa mtume inawezekana ametumia hulka yake binafsi kuwahadaa kuhusu mabikira.

Kwa muhtasari huu nahitimisha uislam ulianza ku-terrorize jamii enzi na enzi na sasa kuterrorize huko kumefika kwenye viwango vya juu katika kipindi hiki tulichopo sasa
Kwanza pole sana kwa uelewa mbaya juu ya jihad

Labda nikurudishe nyuma kidogo waarabu tangu enzi na enzi walikuwa very proud na vita,,yan vita kwao ilikuwa jambo la kishujaa sana kiasi kwamba mtu anajisikia ufahar kuelezea vita alizopigana au vita walizo pigana ndugu zake,na yuko radhi kuhadithia hata vita za miaka ya nyuma kabisa ilimradi aupe heshima ukoo wake.

Na ndio maana sio ajabu historia ya arabia imejaa na hadithi na maelezo mengi ya vita,na ndio maana hata watu kufikia kuandika mengi yahusuyo uislamu na vita,kitu ambacho si sahihi.

Vita za jihadi vilipiganwa kwa lengo moja kuu la kujilinda dhidi ya madhalimu ambao hawakupenda kuona Mungu wa haki anaabudiwa,hivyo ilibidi waislamu kupigana kutetea dhulma walizo kuwa wanafanyiwa na washirikina kwasababu kila aliyetambulika kama muislamu alikuwa anateswa na kudhulumiwa uhai wake hivyo wailsmau walilazimika kupigana kupinga dhulma hizo na kusimamisha dini ya haki.

Mfano wa dhulma hizo ulimfanya Mtume rehma na amani ziwe juu yake aliwaruhusu masahaba zake kwenda nchini Ethiopia kwa mfalme Najashi wakapate salama kule.

Je uislamu ulienezwa kwa upanga? Jibu ni hapana,uislamu wenyewe unasema hakuna mtu kulazamishwa katika dini kwani uongofu umeonekana na dhidi ya giza,hivyo watu waliachwa huru kuabudu dini zao.

Hili limeonekana wazi katika vita,mateka ambao walikamatwa kwanza waliruhusiwa kukombolewa kwa kulipa fidia,hivyo ndugu zao waliwakomboa kwa kulipa fidia,lakini pili mateka ambao walibaki wao waliishi kwa amani na kuwa watumishi,hivyo hakuna mtu aliye chinjwa kisa hakuingia katika uislamu.

Hilo linaweza kuonekana hata pale watu ambao walikuwa wanadhulumiwa na washirikina walikuwa wanaenda katika himaya au dola za kiislamu kupata hifadhi kwa usalama wao kulipa ushuru / kodi mdogo kwa mwaka kwa ajili usalama wao ikiitwa (jizya). Na hapo waliruhusiwa kuabudu dini zao bila bugudha zozote zile.

Mtume kule madina aliishi na wayahudi vizur kabisa mpaka makabila mengine akaingia nayo mikataba ya amani,,hii yote inaonyesha jinsi uislamu ulivyo na haki siku zote. Mpaka Mtume anakufa alikuwa anadaiwa deni la pishi moja la ngano toka kwa myahudi,kwasababu alitembelewa na wageni ikabidi akakope kwa huyo myahudi,je hapo huoni kuwa hakika uislamu uliruhusu jamii mbali mbali ziabudu kwa uhuru kabisa.

Tuje kwenye swala la Mtume na mateka wa vita kuwafanya vimada,hakika Allah amewaepushe mitume yake na mambo machafu,bahati mbaya sana maandiko ya kikristo yanatoa taarifa mbaya kabisa kuhusu mitume wa Allah,,tangu lini Mitume ya Allah itembee na mabinti zao? Tangu lini mitume ya Allah itamani wake za watu? Tangu lini mitume ya Allah inywe pombe? Hakika hii ni dhuluma kubwa sana.

Kwahiyo katu Mtume Muhammad rehma na amani ziwe juu yake hakuwahi kufany hivyo,naitambulike kwamba Muhammad alikuwa na wake kumi na moja (11) na wote hao aliwaoa kwasababu maalumu na si kwakuwa labda alikuwa ana tamaa

Moja ya sababu ni kuonganisha koo na koo na kuepusha uhasama na muepusha mifarakano,,pili aliwaoa wajane ambao walihitaji kusitiriwa na kupata malezi ya watoto wao,tatu kuleta mshikamano zaidi kwa masahaba zake,mfano alimuoa binti wa rafiki yake mkubwa Abubakar sidik (r.a) na Mtume alimuoza binti yake kwa sahaba wake Uthuman bin Afan (r.a)

Na katika wengi za wake aliowaoa wengi walikuwa watu wazima ambao walifiwa na waume zao,,ni Aisha (r.a) ndio alikuwa mke mdogo kabisa, je kama angekuwa na tamaa kwanini wengi za wake zake walikuwa ni wajane?

Mtume unaambiwa hakuwahi kushuhudiwa akiiua mtu kwa panga lake,ila ilitokea tukio moja tu kuna mtu alitaka kumuua ndio hapo kwa kujihami akamchuna kidogo shingoni tena kwa bahati mbaya .

Na vita zote ambazo waislamu walipigana nyingi zilikuwa kudhima uasi katika dola yao,,vita kuu ambazo waislamu walipigana zilikuwa mbili tu tena hazikuziki hata muda wa masaa ishirini na nne (24),mfano vita vya badir vilipiganwa mda wa masaa yasiyo dhidi mawili,na vita vya tabuk hayakuzidi masaa sita

Kwahiyo nyingine hazikuwa vita kama vita hasa bali ilikuwa ni kuimarisha usalama katika dola ya kiislamu,mfano vita ya handak ilikuwa ni kuwazingira waasi miongoni mwa makabila ya kiyahudi,walizingirwa na jeshi la kiislamu kwa mda wa mwezi mmoja mpaka wakasalimu amri

Namalizia kwa kusema mjifunze historia vizur kabla hamjaja kuleta hoja ambazo hazina ukweli wowote ule.

Shukrani
 
Wanawake mara nyingi huanza kupenda baada ya kupata attention ya mwanaume

Vile vile wanawake wanatumia organ ya kusikia ndio waanze kukuelewa lkn wanaume tunatumia organ ya kuona ndio tunavutiwa

Kwahiyo ni sahihi kabisa kusema wanaume tunapenda
UBONGO WA MWANAMKE

PICHA :

Screenshot_20240607-211826.png

PICHA :

Screenshot_20240607-211452.png

Verses

UBONGO WA MWANAUME

PICHA :

Screenshot_20240607-211909.png

Umeelewa namaanisha nini?
 
Wakati Islam wanafundisha kifo na kujitoa mhanga nao ukristo haupo mbali Kwa kufundisha utapeli wa kimapato!!

Tukimbilie wapi eeh Mungu wangu!
 
Kwahiyo unakataa ugaidi haujazaliwa kutoka kwenye uislamu maalim
 
Hapo Allah katabasamu huku akisema that's my boy i like that! Let them murhirfukir learn the lesson
 
Wanawake mara nyingi huanza kupenda baada ya kupata attention ya mwanaume

Vile vile wanawake wanatumia organ ya kusikia ndio waanze kukuelewa lkn wanaume tunatumia organ ya kuona ndio tunavutiwa

Kwahiyo ni sahihi kabisa kusema wanaume tunapenda
Hiyo attention yenyewe bila shaka iwe imeambatana na kipato kizuri cha mtongozaji
 
Back
Top Bottom