EvilSpirit
JF-Expert Member
- Jun 15, 2017
- 10,576
- 16,644
- Thread starter
- #81
The point men mkuuJina LA movie nikumbushe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
The point men mkuuJina LA movie nikumbushe
Wala hajaugua ni upumbavu tuUgonjwq wa akili huu mkuu.huyu alikuwa ameugua
Huyo sio yeye ni mtu aliyekuwa jirani akikimbia yeye mwenyewe yupo kwenye huo mlipukoView attachment 3010280Pamoja na kwamba ni movie, wale wa ukweli yakiripuka huwa haonekani hivyo, ila inaonekana damu na vipande vya nyama.
Sasa kwanini mindsets za hawa akina alaaakibaluu tu ndo ziweze hadi sasa?kila mtu anaweza awe mkristo au muslamu au mhindu , mbudha, mpangani na n.k niswala la mindset tu ukiotewa ukapewa sumu vizuri zikaingia mbona sekunde tu..
Wanawake mara nyingi huanza kupenda baada ya kupata attention ya mwanaumeKwa hio wanawake hawapendi wanaume?
Nitarejea baadaeSuala la Jihad na Fatwa yamo kwenye Quran.Na matendo haya ya ugaidi ni sehemu ya Jihad iliyohalalishwa na Muhammad.Kumbuka mtume ndio alikuwa kiongozi kwenye vita nyingi vya kueneza uislamu na mateka waliokamatwa na mtume katika vita hivyo walikuwa na chaguzi mbili kuchinjwa au kusilimu,ukikataa kusilimu unachinjwa tena imenenwa mateka waliokuwa wanaadhibiwa na mtume mwenyewe direct walikuwa wanakufa vifo vibaya sana.
Jambo jingine ni kwamba baadhi ya mateka wa kike walikuwa wanatwaliwa kuwa vimada wa mtume inawezekana ametumia hulka yake binafsi kuwahadaa kuhusu mabikira.
Kwa muhtasari huu nahitimisha uislam ulianza ku-terrorize jamii enzi na enzi na sasa kuterrorize huko kumefika kwenye viwango vya juu katika kipindi hiki tulichopo sasa
Amechoka maisha yeye halafu anamsingizia AllahOne blow only and there goes the terrorist
View attachment 3009962
Hukuweza kuangalia au hujui kufuatilia movie mkuu!.Huyo sio yeye ni mtu aliyekuwa jirani akikimbia yeye mwenyewe yupo kwenye huo mlipuko
Ni EvilSpirit ilikuwa ndani yakeWala hajaugua ni upumbavu tu
AiseeNi EvilSpirit ilikuwa ndani yake
Una matatizo ya macho au?,huyo uliomuwekea alama ni mtu aliyerushwa na.mlipuko suicide bomber mwenyewe kazingirwa vibaya na milipuko.We umeona wapi mtu aliyejifunga mabomu hachanwichanwi au unawafanya waliotengeneza muvi ni wajinga hawalijui hilo?Hukuweza kuangalia au hujui kufuatilia movie mkuu!.
Bado uko Tabora??Hey what's up here...[emoji1781]
Haha Kwahiyo kamtumia Allah kufikia hiyo kwenye hiyo haliAmechoka maisha yeye halafu anamsingizia Allah
Ni kipande cha movie hicho ila hao wangese nawachukia mno sina amani kabisa akiwa mbele yangu na hayo maguoHivi ni kweli au igizo,huyo mpiga picha alijiaandaaje na tukio Hilo?
Pambaf kabisaHahaha. Kwani kipindi hiko zilikuwepo hizo? Dah! Hiyo ndo mojawapo ya hasara za kuendeleza michepuko. Ona sasa; Unaanzisha kizazi cha magaidi. Mzee Ibrahimu siku hiyo laiti angelijiendea shambani kulima ngano kuliko hicho alichofanya.
Aisee hauwqshindi wengine kwa kuichukia hii mijituNi kipande cha movie hicho ila hao wangese nawachukia mno sina amani kabisa akiwa mbele yangu na hayo maguo
Kwa nini mkuu?Pambaf kabisa
Nasomeka Musoma leo, kesho nitasomeka Mwanza mkuu.Bado uko Tabora??