Nani huwa nyuzi zake zinakuvutia sana?

Kuna mtu anaitwa DeepPond huyu jamaa nyuzi zake huwa nikisoma nacheka sana.

Kuna mchepuko wake unaitwa Mama J kwa sasa wamekaushiana. Alafu anatoka na mdogo wa mke wake.

Pia ana duka na gari, ni shabiki wa mpira na ana vijana wake wa dukani kwake huwa anawazinguaga sana.

Kwa taarifa zaidi mnaweza kupitia nyuzi zake maana zipo hapa JF.

Asanteni !
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…