Nani huyu anayepigwa hivi? Amekosa nini? Au ndio wasiojulikana?

Hakuna aliebisha kwamba amefanya kosa, lakini kila siku tunahimiza raia kuacha kujichukulia sheria mkononi, sasa wao wanafanya nini hapo? Washughulikiwe
 
Huo muda WA kwenda mahakamani Nani atawalipa ? Solution ni kuacha uhalifu
Solution pia ni kuacha kujichukulia sheria mkononi, maana wengi wameshauwawa wakiwa hawana hatia, pia wanapewa adhabu zisizoendana na makosa yao. Tuache kuvunja sheria kwa mtu alievunka sheria, maana wote mnakuwa wahalifu na mnapaswa kwenda gerezani
 
Kweli kabisa mkuu
 
Well said mkuu
 
Wewe ni Polisi. Raia wachache sana wanaweza kutumia neno polisi waaminifu. Wachache sana.
 
sasa kama linatumia simu kindezi kama haya mapopoma mengine humu jf kwanini lisionywe!!!

stick bado ni adhabu rasmi kwa watu wakorofi[emoji23][emoji23][emoji23].
Kapost nini huyo jamaa [emoji23][emoji23]
 
Hajajifanya kutoka intel ya polisi, wanaompiga siyo polisi(kwa sababu mmoja wao niliyemtambua anatoka idara nyingine, nilishafanya Naye kazi 'joint operation') hivyo hata hao wengine bila shaka watakuwa nae upande huo.
 
Haya tumeona anayepiga mgambo wa jiji la Ilala sawa si mnajua op zenu mlikutana jeikeitiii mazee ila mwambie ameonekana akifanya unyama hadharani
 
Hajajifanya kutoka intel ya polisi, wanaompiga siyo polisi(kwa sababu mmoja wao niliyemtambua anatoka idara nyingine, nilishafanya Naye kazi 'joint operation') hivyo hata hao wengine bila shaka watakuwa nae upande huo.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Ndomaana taskforce watu hawazipendi. Unless wakubwa walishaamua kuwa wako tayari "uumbuke"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…