Kistaaj
JF-Expert Member
- Aug 29, 2015
- 424
- 198
Hahahahahahakuna mzee hapa jirani kwetu ndio kachora ivi nataka nimpeleke ITV
Hahahahahahakuna mzee hapa jirani kwetu ndio kachora ivi nataka nimpeleke ITV
Ni kweli mbona wengi tu wamefaidi kupitia ubunifu huo hadi leo. Kuna jamaa aliinakshi nembo hiyo pale mahakamani kisutu alipata hela ya kununua kiwanja na kujenga nyumba na jana katoa 20,000/= kumsaidia Ngosha. Hao wengine wajijue ni waboreshaji wa wazo.Watz ni roho mbaya daima!! Mzee Ngosha kalamba dume, ukoo wa Kabati unaibuka kutaka kutia vumbi kitumbua cha Mzee Ngosha, mwacheni Mzee ale kuku wakati wake umefika
Kweli litoto!!!!! Haya mtoto nenda kumuulize babu yako lisu hivi Kumbe Balozi Sefue alikuonesha hati ya Muungano kwanini hukuniambia? Akikujibu ukae ndani binti maana kihelehele cha kuvunja ungo kinakusumbua.Acha uongo Tundu Lissu aliidai haikuonyeshwa
Mambo kama haya ndo hushusha heshima ya Mwalim Nyerere,kwa nn hakuweka kumbukumbu? Michoro ya Leonardo Da Vince ya 1500s inajulikana ni ya nani hata kama ilinuunuliwa na mataifa mengine kama Monalisa pale Louvex museum Paris,last supper nk.Iweje nembo hii ya juzi tuu mchoraji hajulikana.Ngoja na mimi niseme kwamba aliyeichora ni babu yangu Nzee Kalyambabi.Kama taifa tulianza vibaya,tuchore mstari,tuanze upya.mi nauliza swali moja tu, huyo nembo ilichorwa kabla yesu hajazaliwa? maana kama ingekuwa ni baada ya hapo kusingekuwa na mkanganyiko huu lazima kungekuwa na kumbukumbu
Rais ndiye alipaswa kuweka kumbukumbu hii??? Hebu fikiria vizuri aisee... Nadhani wazazi wako wangekuwa wameelimika wangekuwa msaada mkubwa pia na kuliona hili... Kiasi kwamba, leo usingekuwa wafikiria haya!Mambo kama haya ndo hushusha heshima ya Mwalim Nyerere,kwa nn hakuweka kumbukumbu? Michoro ya Leonardo Da Vince ya 1500s inajulikana ni ya nani hata kama ilinuunuliwa na mataifa mengine kama Monalisa pale Louvex museum Paris,last supper nk.Iweje nembo hii ya juzi tuu mchoraji hajulikana.Ngoja na mimi niseme kwamba aliyeichora ni babu yangu Nzee Kalyambabi.Kama taifa tulianza vibaya,tuchore mstari,tuanze upya.
Misimamo ya rais ilikuwa muhimo katika kuweka kumbukumbu hasa kwa mambo ya msingi.Ni yeye wakulaumu hata kama utakataa,si kazi yangu kukufanya ukubaliane na mimi.Lugha uliyotumia siyo ya kiungwana,hivi ulibahatika kuwafahamu wazazi wangu? Tubishane kwa hoja siyo viloja.Rais ndiye alipaswa kuweka kumbukumbu hii??? Hebu fikiria vizuri aisee... Nadhani wazazi wako wangekuwa wameelimika wangekuwa msaada mkubwa pia na kuliona hili... Kiasi kwamba, leo usingekuwa wafikiria haya!
Rekodi za shule za Bashite tu, mtoto aliyezaliwa 1982, zina utata.mi nauliza swali moja tu, huyo nembo ilichorwa kabla yesu hajazaliwa? maana kama ingekuwa ni baada ya hapo kusingekuwa na mkanganyiko huu lazima kungekuwa na kumbukumbu
Mkuu, elewa tu hakuna hati iliyoonyeshwa, tafuta uzi umo humu. Tukastuka kumbe hati ikulu haijui hati ipoje!!!Kweli litoto!!!!! Haya mtoto nenda kumuulize babu yako lisu hivi Kumbe Balozi Sefue alikuonesha hati ya Muungano kwanini hukuniambia? Akikujibu ukae ndani binti maana kihelehele cha kuvunja ungo kinakusumbua.
Steve Bould alikuapo, Tony Adam, Paul Merson, Ray Parlour...tunasikitisha ila ni rahisi kwa mtanzania kukutajia listi nzima ya kikosi cha Arsenal mwaka 1995.
dduuuuu hiii kaliiii aiseee single touch double manifestation.Manikia ya nembo inaaslimia ngapi ya dhahabu
Maana iyo nembo haieleweki kama mchanga wa buzwagi
kaskazini kwanza,LOLKwenye hii Mechi Mzee Ngosha ataibuka Kidedea
Kabila litambeba