Nani kachora Nembo ya Taifa kati ya Ngosha, Kabati au Farahani?

Nani kachora Nembo ya Taifa kati ya Ngosha, Kabati au Farahani?

ni mzee farhan wa zanzibar kafa miaka ya 1980's hope kuna wanae na wajukuu zanzibar pia waulizwe
 
Kama wote wapo hai na wanaweza kuchora, basis tuwape nafasi wachore tena nembo ya Taifa kisha tulinganishe na mchoro uliopo. Kwa kufanya hivyo tunaweza kujua ni nani hasa mbunifu wa nembo ya Taifa.
 
Kama wote wapo hai na wanaweza kuchora, basis tuwape nafasi wachore tena nembo ya Taifa kisha tulinganishe na mchoro uliopo. Kwa kufanya hivyo tunaweza kujua ni nani hasa mbunifu wa nembo ya Taifa.
Haki sisi watanzania inabidi wananchi wote tupate study tour kwenda Marekani kujifunzia namna ya kutunza na kuheshimu tunu za taifa.
 
Watu wote walioweka maagano kule Bagamoyo akiwepo na mzee Shekhe Yahaya Hussein kwa ajili ya tambiko la nchi na maagano waliyopewa ya kuwasha mwenge kila mwaka wameshakufa wote,,sasa cjui nan atatutoa kwenye tambiko lao hilo ili tujisimamie kwa nguvu za Mungu
 
Na yule Mzee aliebuni jina Tanzania yupo wapi siku hiz?
 
hii ndo tatzo za system za elim ya nchi nying za Africa leo hata viongoz hawajui nan kachora nembo ya taifa waulize sasa nan aligundua bara la america kusin watakavogombania kujibu..shame on us
 
Huyu wa mwaka 1957 yaani Ngosha na Mwenzie wa Tanga ndio wabunifu wa mchoro huo. Hao wengine walionekakana wakiuboresha tu. Si kila kitu alichokifanya Mwal Nyerere kimewekwa kwenye kumbukumbu. Ngosha na Nyerere kukutana hayakuwa makutano ya kiserikali. Ni wazi ilikuwa ni harakati za ukombozi huko kwenye mashamba ya mkonge. Je mwaka huo Nyerere hakufika huko? Je Mzee Ngosha hakuwahi kuwa mchoraji?

Nembo ya taifa ni utambulisho wa muungano uliozaliwa mwaka 1964.

Inakuwaje ichorwe 1957 na bado watu tunabishania hilo?

Hapa mzee Ngosha OUT of sense, labda alipiga ramli kuwa hapo mbele kitakuja kitu cha namna hiyo.

Nembo ya Taifa ilikuja baada ya muungano.

Ubunifu au usanifu vyote hivyo vije baada ya 1964.

Mzee Ngosha ugua pole.
 
Watu wote walioweka maagano kule Bagamoyo akiwepo na mzee Shekhe Yahaya Hussein kwa ajili ya tambiko la nchi na maagano waliyopewa ya kuwasha mwenge kila mwaka wameshakufa wote,,sasa cjui nan atatutoa kwenye tambiko lao hilo ili tujisimamie kwa nguvu za Mungu
China ,India washirikina wakutupwa lakini angalia maendeleo yao

Mabudha ,Hindu nk

USA kuna masonic ya kutisha


Tatizo wa Africa tuna IQ ndogo tu ,tusitafute mchawi,wa Africa tunafanana
 
Acheni Babu Ngosha apate matibabu ya bure.Kwani hao wengine walikuwa wapi wanaibuka saa hizi baada ya kuona Ngosha anapata tiba bure?Acheni hizo bhana,Acha Ngosha afaidi dakika za mwisho.
 
KUMBE MAMBO YA KUTOTUNZA KUMBUKUMBU HAJAANZA JANA,NDO MANA HATA TFF WANAZINGUA,KUMBE SOURCE KITAMBO TU....
 
Yule Ngosha anaakili sana maana kaona President anaasili ya Ngosha akatumia chaka hilo hilo kujificha kingoshangosha [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Nembo ya taifa ni utambulisho wa muungano uliozaliwa mwaka 1964.

Inakuwaje ichorwe 1957 na bado watu tunabishania hilo?

Hapa mzee Ngosha OUT of sense, labda alipiga ramli kuwa hapo mbele kitakuja kitu cha namna hiyo.

Nembo ya Taifa ilikuja baada ya muungano.

Ubunifu au usanifu vyote hivyo vije baada ya 1964.

Mzee Ngosha ugua pole.
Kuwa na akili hata kidogo basi. Wimbo Malaika ulitungwa na Fadhil Wilium wa kenya. Wimbo huo umekuwa ukirudiwa na kuhiti kila mara. Wanaorudia hawana sifa ya ubunifu.
Ngosha kasaidia kutujuza kuwa nembo hiyo ilibuniwa mwaka 1957 na Ngosha na mwenzie huko Amboni Tanga. Huyo wa mwaka 1960 na wa 1964 ni warudiaji tu.
 
Sasa hivi babu anaenjoy matibabu bure toka kwa serikali. Sishangai serikali kutokuwa na kumbu kumbu kwani hata hati ya Muungano haijulikani ilipo
[emoji3] [emoji3] [emoji3] wajekwangu hati ya muungano ninayo.
 
Back
Top Bottom