Jamani nauliza swali tu; Kama si mzee Ngosha kuibuka kutoka kule kwenye mabox alokuwa anajisitiri, hao kina Farahani na Makabati yangetokea wapi?? Mwacheni mzee wa watu ajilambie dume katika siku zake za mwisho. Wivu ukizidi ni hatari. Wengine weshaanza humu ati Ngosha atapewa kwa kuwa ni wa kutoka kule, mbona mnataka kuutuliza muungano kwa kumleta Farahani?? Ngosha apewe chochote. Kwanza jiulize, hiyo nembo ilikuwa na faida gani hata hao waliotoa tenda wasiwalipe?? Mkitaka kuwalipa walipeni kila atakayekuja kusema alitia mkono pale. Hata tarishi aliyeipokea pale langoni magogoni.