Kweli mkuu, tatizo ni ccm. Ccm ni dudu baya sana linasababisha watu binafsi na taasisi kupoteza kumbukumbu.Watanzania ccm sijui imeturogaje yani kuhusu swala la kumbukumbu hatuna kabisa. Mfano kuna mchezaji kumbukumbu ya kupigwa kadi tatu mpaka leo imekuwa kitendawili? Maisha chini ya serekali ya ccm ni magumu ila siku ya kupiga kura watu watapotezaa kumbukumbu ya njaa wataipa kura ccm tena dah!
Wewe mtoto acha ujinga wako. Niache kumuamini balozi Sefue niiamini hii takataka iliyoandika. Matusi gani haya tena kuwa na adabu.Mkuu, elewa tu hakuna hati iliyoonyeshwa, tafuta uzi umo humu. Tukastuka kumbe hati ikulu haijui hati ipoje!!!
Hati ya Muungano ya IKULU na Wasira ni FEKI,
[emoji13] [emoji13] [emoji13]Kwenye hii Mechi Mzee Ngosha ataibuka Kidedea
Kabila litambeba
Moja iko Ikulu ya pili anayo Maalim Seif aliipata alipokuwa waziri kiongozi wa SMZ aliing'ania kwa sababu hakulipwa mafaoSasa hivi babu anaenjoy matibabu bure toka kwa serikali. Sishangai serikali kutokuwa na kumbu kumbu kwani hata hati ya Muungano haijulikani ilipo
Mzanzibari mwaka 1961 huu ni uongo wa mchanaAtakuwa ni Farahani hao wengine wote wamechangamkia Fursa
Hilo nalo nenoJamani nauliza swali tu; Kama si mzee Ngosha kuibuka kutoka kule kwenye mabox alokuwa anajisitiri, hao kina Farahani na Makabati yangetokea wapi?? Mwacheni mzee wa watu ajilambie dume katika siku zake za mwisho. Wivu ukizidi ni hatari. Wengine weshaanza humu ati Ngosha atapewa kwa kuwa ni wa kutoka kule, mbona mnataka kuutuliza muungano kwa kumleta Farahani?? Ngosha apewe chochote. Kwanza jiulize, hiyo nembo ilikuwa na faida gani hata hao waliotoa tenda wasiwalipe?? Mkitaka kuwalipa walipeni kila atakayekuja kusema alitia mkono pale. Hata tarishi aliyeipokea pale langoni magogoni.
Sijakupangia cha kuamini, halafu uwe na adabu...akafi ka ndope..Wewe mtoto acha ujinga wako. Niache kumuamini balozi Sefue niiamini hii takataka iliyoandika. Matusi gani haya tena kuwa na adabu.
Baba wachoraji wapo wengi tu waliochora kwenye maofisi ya chama kwenye majiwe ya msingi...hapa tutafute mgunduzi wa huo mchoro ni nan.....huyo wa zanziba nae ni mchoraji tu alipewa design achore makao makuu ya chama zanzibarHapo mi nadhan labda tunachanganya mbunifu na mchoraji. Mi nadhan ngosha Ni mchoraji mbunifu Ni m znz.
Kwa zile picha zake alizochora nilivyoziona kwenye TV huyu mzee hawezi kuchora ngao nzuri kama ile. Babu anatumia fursaSasa hivi babu anaenjoy matibabu bure toka kwa serikali. Sishangai serikali kutokuwa na kumbu kumbu kwani hata hati ya Muungano haijulikani ilipo