Nani kaipa mamlaka Israel ya kuishambulia Syria?


Ushabiki maandazi mnao ninyi! Turkey kafanye kile kile ! Kwa sababu zake....akifanya Israel ni makosa! Turkey na Israel wote wanajua hivyo vikundi vina misimamo gani dhidi ya nchi zao!

Israel Vs Turkey In Syria: Turkey Launches Major Air Attack On ...

https://www.youtube.com/watch?v=tiGUnGahKMs
https://youtu.be/tiGUnGahKMs
 
Tusiwe na mihemuko mkuu Uturuki hushambulia base za waasi wa kikurd wa PKK Netanyahu anapora ardhi ya Syria huku akiendelea kushambulia, unataka kuniambia Israel ina waasi wanaoishi syria msijizime data basi wakuu, mpaka sasa Yahudi yupo km19 tu kutoka damascus...na uturuki kavamia upande gani wa Syria!?
 
Kule Syria kulikuwa na makundi ya kigaidi yaliyokuwa yanafadhiliwa na IRAN, Kazi yao kubwa ilikuwa ni kufundisha, na kutoa silaha kwa Hezbollah na HAMAS.

Sasa yale makundi yanatakiwa kusawazishwa kabisa. Na Israel hakuanza Juzi kupiga maeneo hayo, mara kwa mara alikuwa akifanya mashambulizi kule, na Syria walikuwa hawalalamiki ila IRAN ndiye alikuwa analalamika. hata Israel alipofanya shambulizi ubalozi wa IRAN nchini Syria, Syria hawakulalamika, bali IRAN ndiye alilalamika kwa sanbabu alikuwa ana makundi ya kigaidi nchini Syria.

Hivyo sasa ni muda wa kusafisha vichaka nyoka aliisha onekana, sasa unachoma kuakikisha kama kuna mazalia nayo yafe.

Hahaha, Kiburi cha Ayatollah kimeisha, nadhani jumapili hii lazima aende kanisani kutubu.
 

Unajua ideology ya hivyo vikundi? Au unavijua hata hivyo vikundi? Niliwahi kumuuliza mwana jamvi mmoja kama amewahi kuisoma Charter ya Hamas! Mswei mnashabikia mambo bila kujua kina chake!
 
Hizo habari za ushabiki maandazi zipo kwenye akili yako wewe, Syria wenyewe tuu hawalalamiki wewe ni nani kujitia kiherehere kulalamika🤔🤔 lakini unatakiwa kujua ngonjera na taarabu unazoandika humu hazita badilisha chochote kile kaa tulia ukiweza agiza na popcorn uendelee kushudia wenye nguvu wakifanya watakavyo
 
this time USA wataingia YEMEN
 
this time USA wataingia YEMEN
Hata Afghanistan na Iraq walingia je walibaki, kubaki Iraq ni kama vile nchi zingine ana base peke yake tena kwa makubaliano na serekali ya Iraq, hata kuna nchivita hakuingia nao. Mimi na uhakika pale Syria atakimbia.mwenyewe, na Yemen hataweza kuingia hata ikingia ni ile ile story ya Afghanistan, laki sio rahisi US kuingia Yemen waulize wa Turkey na Waingereza watakuwambia Wayemen ni watu gani, au kamulize Saud Arabia tu atakupa jibu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…