cassavaleaves
JF-Expert Member
- Oct 28, 2010
- 1,799
- 2,237
Kwaiyo ukitoa sababu zako tu unaruhusiwa kushambulia nchi iliyo huru!? Kwann binadamu tunajitoa akili Kiasi hiki!!!? hivi leo Iran iamke itangaze tuna taarifa za kiitelijensia Saudi wanataka kutuvamia aanze kuporomosha mabomu Riyadh nani atakayemuelewa kama hakuangushiwa mabom na Nato yote!? Tuacheni ushabiki maandazi Israel ni taizo kubwa sana katika dunia hii anafanya anavyotaka na dunia imekaa kimya kabisa
Ushabiki maandazi mnao ninyi! Turkey kafanye kile kile ! Kwa sababu zake....akifanya Israel ni makosa! Turkey na Israel wote wanajua hivyo vikundi vina misimamo gani dhidi ya nchi zao!
Israel Vs Turkey In Syria: Turkey Launches Major Air Attack On ...
https://www.youtube.com/watch?v=tiGUnGahKMshttps://youtu.be/tiGUnGahKMs