Nani kaipa mamlaka Israel ya kuishambulia Syria?

Nani kaipa mamlaka Israel ya kuishambulia Syria?

Kwaiyo ukitoa sababu zako tu unaruhusiwa kushambulia nchi iliyo huru!? Kwann binadamu tunajitoa akili Kiasi hiki!!!? hivi leo Iran iamke itangaze tuna taarifa za kiitelijensia Saudi wanataka kutuvamia aanze kuporomosha mabomu Riyadh nani atakayemuelewa kama hakuangushiwa mabom na Nato yote!? Tuacheni ushabiki maandazi Israel ni taizo kubwa sana katika dunia hii anafanya anavyotaka na dunia imekaa kimya kabisa

Ushabiki maandazi mnao ninyi! Turkey kafanye kile kile ! Kwa sababu zake....akifanya Israel ni makosa! Turkey na Israel wote wanajua hivyo vikundi vina misimamo gani dhidi ya nchi zao!

Israel Vs Turkey In Syria: Turkey Launches Major Air Attack On ...

https://www.youtube.com/watch?v=tiGUnGahKMs
https://youtu.be/tiGUnGahKMs
 
Ushabiki maandazi mnao ninyi! Turkey kafanye kile kile ! Kwa sababu zake....akifanya Israel ni makosa! Turkey na Israel wote wanajua hivyo vikundi vina misimamo gani dhidi ya nchi zao!

Israel Vs Turkey In Syria: Turkey Launches Major Air Attack On ...

View: https://www.youtube.com/watch?v=tiGUnGahKMs
https://youtu.be/tiGUnGahKMs

Tusiwe na mihemuko mkuu Uturuki hushambulia base za waasi wa kikurd wa PKK Netanyahu anapora ardhi ya Syria huku akiendelea kushambulia, unataka kuniambia Israel ina waasi wanaoishi syria msijizime data basi wakuu, mpaka sasa Yahudi yupo km19 tu kutoka damascus...na uturuki kavamia upande gani wa Syria!?
 
Kule Syria kulikuwa na makundi ya kigaidi yaliyokuwa yanafadhiliwa na IRAN, Kazi yao kubwa ilikuwa ni kufundisha, na kutoa silaha kwa Hezbollah na HAMAS.

Sasa yale makundi yanatakiwa kusawazishwa kabisa. Na Israel hakuanza Juzi kupiga maeneo hayo, mara kwa mara alikuwa akifanya mashambulizi kule, na Syria walikuwa hawalalamiki ila IRAN ndiye alikuwa analalamika. hata Israel alipofanya shambulizi ubalozi wa IRAN nchini Syria, Syria hawakulalamika, bali IRAN ndiye alilalamika kwa sanbabu alikuwa ana makundi ya kigaidi nchini Syria.

Hivyo sasa ni muda wa kusafisha vichaka nyoka aliisha onekana, sasa unachoma kuakikisha kama kuna mazalia nayo yafe.

Hahaha, Kiburi cha Ayatollah kimeisha, nadhani jumapili hii lazima aende kanisani kutubu.
 
Tusiwe na mihemuko mkuu Uturuki hushambulia base za waasi wa kikurd wa PKK Netanyahu anapora ardhi ya Syria huku akiendelea kushambulia, unataka kuniambia Israel ina waasi wanaoishi syria msijizime data basi wakuu, mpaka sasa Yahudi yupo km19 tu kutoka damascus...na uturuki kavamia upande gani wa Syria!?

Unajua ideology ya hivyo vikundi? Au unavijua hata hivyo vikundi? Niliwahi kumuuliza mwana jamvi mmoja kama amewahi kuisoma Charter ya Hamas! Mswei mnashabikia mambo bila kujua kina chake!
 
Kwaiyo ukitoa sababu zako tu unaruhusiwa kushambulia nchi iliyo huru!? Kwann binadamu tunajitoa akili Kiasi hiki!!!? hivi leo Iran iamke itangaze tuna taarifa za kiitelijensia Saudi wanataka kutuvamia aanze kuporomosha mabomu Riyadh nani atakayemuelewa kama hakuangushiwa mabom na Nato yote!? Tuacheni ushabiki maandazi Israel ni taizo kubwa sana katika dunia hii anafanya anavyotaka na dunia imekaa kimya kabisa
Hizo habari za ushabiki maandazi zipo kwenye akili yako wewe, Syria wenyewe tuu hawalalamiki wewe ni nani kujitia kiherehere kulalamika🤔🤔 lakini unatakiwa kujua ngonjera na taarabu unazoandika humu hazita badilisha chochote kile kaa tulia ukiweza agiza na popcorn uendelee kushudia wenye nguvu wakifanya watakavyo
 
Hio hadith ilisema sio kwa jina Israel, sababu hakuna taifa linaitwa Israel wakati wa Mtume Muhammad, alicho ongea ni hivi; Wasimuliaji wanazungumzia mapambano kati ya majeshi mawili makubwa ya Kiislamu huko Syria,, na uingiliaji kati kutoka kaskazini na magharibi mwa nchi. Hadith ipo si utani.

It was narrated that Ibn Hawaalah said: The Messenger of Allah (blessings and peace of Allah be upon him) said: “This matter will end with you becoming massed troops: troops in ash-Shaam, troops in Yemen, and troops in Iraq.”

Ibn Hawaalah said: Choose for me, O Messenger of Allah, if I should live to see that.

He said: “You should go to ash-Shaam, for it is Allah’s chosen land, to which He will gather His chosen slaves. But if you refuse, then go to Yemen and draw water from your ponds, for Allah has promised me that He will take care of ash-Shaam and its people.” Narrated by Abu Daawood (2483). Classed as saheeh by al-Albaani in Saheeh Sunan Abi Daawood (2483).

Any way mimi siamini sana hadith nacho kubaliana na hi hadithi ni wengi masheikh wa kislam wanasema Syria ndio itakuwa vita kati ya Waislam na mataifa mengine.

Narudia Israel ana someka ni wale wako against Uislam. Ndio hapo inaongelea sio jina la Israel. Hilo taifa silimeundwa mwaka 1948 na Muingereza tu. Halikuwepo na litaondoka tu.

View: https://youtu.be/E4bss0_rc10?si=Ysb1GabKaEVrj_Ph

this time USA wataingia YEMEN
 
this time USA wataingia YEMEN
Hata Afghanistan na Iraq walingia je walibaki, kubaki Iraq ni kama vile nchi zingine ana base peke yake tena kwa makubaliano na serekali ya Iraq, hata kuna nchivita hakuingia nao. Mimi na uhakika pale Syria atakimbia.mwenyewe, na Yemen hataweza kuingia hata ikingia ni ile ile story ya Afghanistan, laki sio rahisi US kuingia Yemen waulize wa Turkey na Waingereza watakuwambia Wayemen ni watu gani, au kamulize Saud Arabia tu atakupa jibu.
 
Back
Top Bottom