King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 56,205
- 79,515
Mi ht sielewi watu wanapanic nin
Wkt ni km mtu asahau kirefu cha TRA ama PCCB
Inabidi tuwashangae ninyi kutokujua umuhimu wa yeye kutofahamu mambo yanayomuhusu...unaambiwa huko kwenye hizo taasisi pana kesi ambazo zimeshika fedha nyingi zaidi ya bajeti ya Nchi hayo mashauri yapo kwenye taasisi anazozisimamia kusema kuwa asijue ni nini kazi tunayo...Inashangaza sana hadi kipindi cha michezo kwenye hizi FM radio usiku huu wanajadili hii issue!
Upo sahihiKwa Mwigulu sio kwamba kasahau bali kashindwa kujua maana ya TRAT na TRAB ,kasema kabisa hazipo kwenye mashauri haya ya kikodi ya yaya ya ya yaya yayaya yaya ya TRAT na TRAB.
Watu wanataka kujua TRAT na TRAB nini nini kisha unarudia vile vile.
Kwahiyo kwa sasa kaikosa?Huyu Waziri atatugharimu sana.
Mungu ampe Mama hekima afanye jambo kwaajili ya Mwigulu
Hujui kirefu chake na hujui zinahusika na Nini (Dakitari wa Uchumi))?Mi ht sielewi watu wanapanic nin
Wkt ni km mtu asahau kirefu cha TRA ama PCCB
Yaani ni kama VILE unaambiwa, Define chemistry, halafu unatoa definition hii.. CHEMISTRY IS CHEMISTRY..!!Kwa Mwigulu sio kwamba kasahau bali kashindwa kujua maana ya TRAT na TRAB ,kasema kabisa hazipo kwenye mashauri haya ya kikodi ya yaya ya ya yaya yayaya yaya ya TRAT na TRAB.
Watu wanataka kujua TRAT na TRAB nini nini kisha unarudia vile vile.
Kasema ukweli hazipo, kwani zilishatolewa? Ingekuwa zimeshatolewa halafu hazipo ndio ingekuwa hoja.Kama haziko TRAB/TRAT inamaana zikio vibindoni mwa watu?
Budget gani Tena.Budget ya 300Tr...!!!!!!
Watanzania tumefanywa mambumbumbu vyakutosha sasa!!!!!
Anajua ni alisahauHujui kirefu chake na hujui zinahusika na Nini (Dakitari wa Uchumi))?
Kamon-meeeeeen
Manake hazipo kwny hayo mashauri ni ishu ingineKwa Mwigulu sio kwamba kasahau bali kashindwa kujua maana ya TRAT na TRAB ,kasema kabisa hazipo kwenye mashauri haya ya kikodi ya yaya ya ya yaya yayaya yaya ya TRAT na TRAB.
Watu wanataka kujua TRAT na TRAB nini nini kisha unarudia vile vile.
Kusahau kirefu sio tatizo sana lakini si unaelewa kazi ya TRA?Mi ht sielewi watu wanapanic nin
Wkt ni km mtu asahau kirefu cha TRA ama PCCB
Na ndo mana alisema hio Tril 300+ hazipo kwenye mashauri ya TRAB na TRATKusahau kirefu sio tatizo sana lakini si unaelewa kazi ya TRA?
Manake hazipo kwny hayo mashauri ni ishu ingine
Hapo kisichoeleweka ni nini
TRAB na TRAT ni Tax Tribunals
So hio issue haipo huko
Speaker Aliuliza nini maana ya hiyo TRAB na TRAT? Then ndo maelezo yafateNa ndo mana alisema hio Tril 300+ hazipo kwenye mashauri ya TRAB na TRAT
Implying ana ufahamu hio issue haipo kwenye Tax Tribunals
Ni issue nyingine
Ni kama mtu aseme hii ni issue nyingine haipo TRA manake anaelewa what TRA does
Kwanini hamuelewi
I fail to comprehend
Na lilikua swali la ghafla
Mi naiona ni issue ndogo sn
Mtu ukiulizwa ghafla ukajibu hili suala linachunguzwa na TAKUKURU/PCCB af mtu akuambie nipe kirefuSpika alitaka kujua TRAT na TRAB ni nini mkuu ,kuhusu hayo mashauri hayapo TRAB na TRAT spika alielewa ila Neno TRAP na TRAB ndio kauliza maana yake ni nini? Ilitakiwa Mwigulu ajibu straight TRAB na TRAB ni kitu fulani ila yeye akarudia ni mashauri ya kikodi ya ya ya ya ya ya ya ya ya ya ya ya ya ya ya ya ya ya ya TRAB na TRAT.
Daaaah kama kweli sina maana hapa duniani nipeni kamba nikajininginize tumwanawe ni Notorious thug
Watu wanafki sana humuwatu wengi wanajifanyaga wataalamu lakini ukweli Ni kwamba Ni washika terminologies ambazo wengi zinatupita hewani .. kimbembe mkamate akuelezee hizo terminologies.
Shida gulu ni kiongozi na inabidi awe makin Sana Mana yeye Ni Kama msumari uliojitokeza Ni rahisi kupigwa nyundo.Watu wanafki sana humu
Ukiwadaka tu ghafla uwaulize kirefu hata cha NHIF ama UNESCO
Mwigulu ana afadhali