Nani kanimiss?

Nimekumiss ila naogopa mwenye mali asije kunitafuta kwa mapanga na marungu kisa tu nimekumiss pisi kali "The Unique Black Beautiful Girl" [emoji1787]

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
Hakuna yeyote humu jf ambae chakorii ni mali yake.kama umenimiss nichane mwamba usivunge.

Hebu tuwe siriazi kidogo mkuu.ningekuwa na mtu humu jf wallah kuna mwandiko wala comments zangu usingewahi kuziona.
 
Nacheka km mazuri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…