Nani Karuhusu Waturuki kufanya umachinga wa kukopesha vyombo vya umeme mitaani? TBS na FCC mnayajua haya?

Hizo zote ni juhudi za mama!

#Mitatuyamama.

Mama anaupiga mwingi.

Cc: Lucas Mbwa wa Shamba.
 
Mimi nilinunua kwao multicooker ipo vizuri sana, binti wa kazi alidondosha mfuniko raba ya valve ikapotea nikawaambia wakanibadilishia mfuniko buree kabisa.. Ingekua ni bwashee apo ananikataa mapemaa... Tatizo lao bei zao nikubwa especially kama hujui ku negotiate.
 
ENDAPO KAMA UMEWAKOPA TAFADHALI WALIPIE FEDHA ZAO.
 
Huwez kuingiza electronic kama nyaya nk bila kibali cha ubora cha TBS chief
Unaongea kama fala fulani hivi , kwa hiyo hivi vitu feki vilivyopo mitaan na madukani wamevipitisha wao viuzwe !? Kumbe basi hakuna haja ya kuwa na TBS kama wanapitisha vitu bandia viingie sokon
 
Unaongea kama fala fulani hivi , kwa hiyo hivi vitu feki vilivyopo mitaan na madukani wamevipitisha wao viuzwe !? Kumbe basi hakuna haja ya kuwa na TBS kama wanapitisha vitu bandia viingie sokon
Sometimes za uso zinatakiwa. Mtu anajua kabisa mafeki mengi yapo mitaani serikali yetu imeshindwa kuyazuia richa ya kujua wafanyabiashara waaoingiza bidhaa feki.
 
Ndio nasema Umachinga ni kielezo cha Taifa lilip shindwa, Umachinga ni ujimga na full indicator za umasikini
 
Serikali zote hata ukienda Burundi wana Descourage Uchuuzi, Uchuuzi ni ujinga na full umasikini
 
Biashara kubwa kubwa zipi za uchuuzi mkubwa?
 
Serikali zote hata ukienda Burundi wana Descourage Uchuuzi, Uchuuzi ni ujinga na full umasikini
Sasa Burundi ni ya kuifananishia Tanganyika?Burundi ni Kakonko yenye kuhudhuria mikutano ya Umoja wa Afrika.Marekani/USA kuna machinga/marching-guys.Jitetee ukiwa hapohapo.
 
Mtu mweusi ni jamii dhaifu na jinga kuliko races zingine zote

Usishangae kuambiwa hizo Rice cooker zitatufanya tuwe mashoga na Blender zao zinapunguza nguvu za kiume 🤣
 
Mtu mweusi ni jamii dhaifu na jinga kuliko races zingine zote

Usishangae kuambiwa hizo Rice cooker zitatufanya tuwe mashoga na Blender zao zinapunguza nguvu za kiume 🤣
Duh!Watakuwa wametuona ni karunguyeye kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…