Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe unaota mchana kweupeHadi vitu vinaingia nchini maana yake vimekaguliwa na tbs.labda iwe TBS hawakutimiza wajibu wao sahihi.Maana Kila sehemu ya nchi hii panavuja
Serikali ndiye wa kulaumiwa kwa hakika kabisa. Imeshindwa kabisa kutimiza wajibu wake wa kuhakikisha usalama na ustawi wa watu wake.Mkuu ulitaka waingize kipato kwa serkali badala yao?
Unafikiri wanaweza kuwepo hapa bila Serkali kujua?
Kumbuka wana Visa, Wana Permit, na Balozi zao zinajua wamekuja kufanya nini!
Kwahyo tuilaumu serkali yetu tu kwa hilo
Hacha umbeya bro, na wewe nenda uturuki uksfsnye biashara, hapa kwetu ni shamba la bibi, Rais mpigsji, mpaka katibu kata wote wezi,Wana JF.
Si kwa nia mbaya maana waturuki wametoa ajira lakini kuna haya.
Waturuki wamekuwa wakizunguka mitaani na bajaji wakikopesha vyombo mbali mbali. Msala wangu kwao ni kwamba, nani ametoa kibali cha ukaguzi wa vyombo vyao vya umeme?
Kama kuna mtu wa TBS na FCC inabidi kwa pamoja kuchunguza vifaa vinavyosambazwa na waturuki wanaofanya kazi zao kama wamachinga. Waturuki wana bajaji nyingi zinazunguka mjini nyumba kwa nyumba wakikopesha vifaa mbali mbali vya umeme.
Hasa Rice Cooker na Multicooker. Vifaa vingi vinavyotumia moto, hasa wakati wa kupika vimekuwa nyaya za machine zinapata moto kiasi cha kuyeyuka na kusababisha hatari ya kuunguza nyumba. Ni kweli Tanzania ni dampo kuu la vifaa vilivyoigiziwa na kufanywa original , lakini vingi vinaingizwa kwa njia ya panya.
Hipo haja ya kupita nyumba kwa nyumba na kukagua vifaa vya umeme vya majumbani. Hapa tutaepusha nyumba kuwa zinaungua hovyo na kusababisha uharibifu mkubwa wa vitu. Kama FCC na TBS wasipochunguza vifaa vya umeme vinavyoingizwa nchini. Basi tutegemee nyumba nyingi kuungua.
Nimeiona Zazibar hii wamekuja ofisini na madide Yao.Wana JF.

Cjui lakin nakumbuka miaka ya nyuma niliwah kuleta container la nyaya na ma glope cjui nini kama vile wanavyouza Tronic. Moja ya vitu wanavyohtaji serikali ni pamoja na vibali vya TBS kudhibitisha ubora wa hizo nyaya. Sasa kwasasa cjui maana ile biashara niliacha by that time.Unaongea kama fala fulani hivi , kwa hiyo hivi vitu feki vilivyopo mitaan na madukani wamevipitisha wao viuzwe !? Kumbe basi hakuna haja ya kuwa na TBS kama wanapitisha vitu bandia viingie sokon
Utaweza kununua original from German?Sometimes za uso zinatakiwa. Mtu anajua kabisa mafeki mengi yapo mitaani serikali yetu imeshindwa kuyazuia richa ya kujua wafanyabiashara waaoingiza bidhaa feki.
Serikali ya CCM inasikitisha sana...Huu ni uhuni mwingine wa serikali. Hawa waturuki na machinga wengine kutoka mataifa mengine hawana hata vibali vya kuishi nchini achilia mbali kufanya biashara
Hapa swali la msingi ni serikali imeanza kutoa vibali kwa wageni kufanya umachinga wa vyombo? Sheria za nchi zinaruhusu?
Ukitaka kujua hawana vibali, chelewesha malipo halafu mshauri aende kufungua madai mahakamani. Hana huo ujanja badala yake kuna baadhi ya viongozi hasa askari polisi wanakuwa wameshaunda nao urafiki. Hawa watu hawana hata jeuri ya kwenda kituo cha polisi
Kingine cha ajabu, wanatembea na siraha kwenye hizi Noah au bajaji wanazotembea nazo na ukitaka kujua ni wakorofi chelewesha malipo yao
Hili binafsi nimelishudia kwa jamaa mmoja aliyechukua vitu vyao kwa makusudi (hakua na lengo la kuvinunua) akivitunza kama vilivyo kwa zaidi ya miezi minne huku akiendelea kusumbuana nao kwenye malipo. Baadae akawaambia hana hela ya kulipa na vifaa vimeshahalibika hivyo waende kushitaki popote ataenda kujieleza
Wee...timbwili lake lilikuwa si la kitoto. Polisi hawataki kwenda badala yake wanawapigia mapolisi "wao" na kwa bahati mbaya simu hazikupokelewa. Uzuri jamaa alishaweka mitego yake ya kujilinda. Vurugu ilipozidi, walitokea watu waliokuwa wamekwisha andaliwa na jamaa wakawakamata wote ili wawapeleke central. Walioanza kuomba yaishe ni wale waturuki na hawakuwa tayari kufika kituoni
Hawana vibali vya kuishi nchini, hawana vibali vya kufanya kazi nchini wapo kihuni huni tu
Huu nao ni wizi tuuHuu ni uhuni mwingine wa serikali. Hawa waturuki na machinga wengine kutoka mataifa mengine hawana hata vibali vya kuishi nchini achilia mbali kufanya biashara
Hapa swali la msingi ni serikali imeanza kutoa vibali kwa wageni kufanya umachinga wa vyombo? Sheria za nchi zinaruhusu?
Ukitaka kujua hawana vibali, chelewesha malipo halafu mshauri aende kufungua madai mahakamani. Hana huo ujanja badala yake kuna baadhi ya viongozi hasa askari polisi wanakuwa wameshaunda nao urafiki. Hawa watu hawana hata jeuri ya kwenda kituo cha polisi
Kingine cha ajabu, wanatembea na siraha kwenye hizi Noah au bajaji wanazotembea nazo na ukitaka kujua ni wakorofi chelewesha malipo yao
Hili binafsi nimelishudia kwa jamaa mmoja aliyechukua vitu vyao kwa makusudi (hakua na lengo la kuvinunua) akivitunza kama vilivyo kwa zaidi ya miezi minne huku akiendelea kusumbuana nao kwenye malipo. Baadae akawaambia hana hela ya kulipa na vifaa vimeshahalibika hivyo waende kushitaki popote ataenda kujieleza
Wee...timbwili lake lilikuwa si la kitoto. Polisi hawataki kwenda badala yake wanawapigia mapolisi "wao" na kwa bahati mbaya simu hazikupokelewa. Uzuri jamaa alishaweka mitego yake ya kujilinda. Vurugu ilipozidi, walitokea watu waliokuwa wamekwisha andaliwa na jamaa wakawakamata wote ili wawapeleke central. Walioanza kuomba yaishe ni wale waturuki na hawakuwa tayari kufika kituoni
Hawana vibali vya kuishi nchini, hawana vibali vya kufanya kazi nchini wapo kihuni huni tu
Kwanini nisiweze wakati ninafanya kazi? Haya mafeki feki ni kuharibu hela aiseeUtaweza kununua original from German?
Nilidhani rais wenu yupo makini. Kumbe nako waturuki wametinga. Huku kwetu wamekuwa mafundi selemala. Alaf wanajidai kuoa madada zetu.Nimeiona Zazibar hii wamekuja ofisini na madide Yao.
Ni hatari Kuna watu wanaitwa Kikuu , niliwahinkuagiza saa ikawa, poa , nikamwagizia wife nywele za singa' zikawapoa akapiga Bei mara Nne ya Bei , nikaanza kunogewa . Mara nikaona shaving machine .. Wahl Brand heavy Duty😴 Bei poa , ikaagiza!Vifaa vingi vya umeme havikaguliwi. Mchina anaingiza vifaa feki kibao.
Acha utapeli mbwa weweJuzi multicooker ilitaka kuunguza nyumba na sijamaliza deni lao. Nawasubiri nikawatupie dude lao. Wakisumbua nitawaambia wakanishitaki.
Kumbe nawe humoo, yaani hapo ukuona ukweli. Mimi bidhaa zao natilia shaka FCC na TBS kama wamezipitia.Hacha umbeya bro, na wewe nenda uturuki uksfsnye biashara, hapa kwetu ni shamba la bibi, Rais mpigsji, mpaka katibu kata wote wezi,
Kutajirika nchi hii ni rahisi sana kwa mgeni,waturuki wapo kibao Kigamboni, wamefungua kampuni za tiles, magenereta nk, wana watoto wanaongea ki Swahili kama wazaramo! We unsfikri wamekuja Leo bongo!
Watafute Hao waturuki piga nao biashara, wapo mbali sana kwa tekinolojia, unaweza ukawa agent wa bidhaa kutoka Uturuki, vifaa vya ndani, umeme, vifaa vya solar, nk, acha tabia za kimaskini
Mwenyewe wahedi.Acha utapeli mbwa wewe
Wamezagaa sana mtaaniWana JF.
Si kwa nia mbaya maana waturuki wametoa ajira lakini kuna haya.
Waturuki wamekuwa wakizunguka mitaani na bajaji wakikopesha vyombo mbali mbali. Msala wangu kwao ni kwamba, nani ametoa kibali cha ukaguzi wa vyombo vyao vya umeme?
Kama kuna mtu wa TBS na FCC inabidi kwa pamoja kuchunguza vifaa vinavyosambazwa na waturuki wanaofanya kazi zao kama wamachinga. Waturuki wana bajaji nyingi zinazunguka mjini nyumba kwa nyumba wakikopesha vifaa mbali mbali vya umeme.
Hasa Rice Cooker na Multicooker. Vifaa vingi vinavyotumia moto, hasa wakati wa kupika vimekuwa nyaya za machine zinapata moto kiasi cha kuyeyuka na kusababisha hatari ya kuunguza nyumba. Ni kweli Tanzania ni dampo kuu la vifaa vilivyoigiziwa na kufanywa original , lakini vingi vinaingizwa kwa njia ya panya.
Hipo haja ya kupita nyumba kwa nyumba na kukagua vifaa vya umeme vya majumbani. Hapa tutaepusha nyumba kuwa zinaungua hovyo na kusababisha uharibifu mkubwa wa vitu. Kama FCC na TBS wasipochunguza vifaa vya umeme vinavyoingizwa nchini. Basi tutegemee nyumba nyingi kuungua.
Hahaha! Mkuu we kweli kiranja.Huu ni uhuni mwingine wa serikali. Hawa waturuki na machinga wengine kutoka mataifa mengine hawana hata vibali vya kuishi nchini achilia mbali kufanya biashara
Hapa swali la msingi ni serikali imeanza kutoa vibali kwa wageni kufanya umachinga wa vyombo? Sheria za nchi zinaruhusu?
Ukitaka kujua hawana vibali, chelewesha malipo halafu mshauri aende kufungua madai mahakamani. Hana huo ujanja badala yake kuna baadhi ya viongozi hasa askari polisi wanakuwa wameshaunda nao urafiki. Hawa watu hawana hata jeuri ya kwenda kituo cha polisi
Kingine cha ajabu, wanatembea na siraha kwenye hizi Noah au bajaji wanazotembea nazo na ukitaka kujua ni wakorofi chelewesha malipo yao
Hili binafsi nimelishudia kwa jamaa mmoja aliyechukua vitu vyao kwa makusudi (hakua na lengo la kuvinunua) akivitunza kama vilivyo kwa zaidi ya miezi minne huku akiendelea kusumbuana nao kwenye malipo. Baadae akawaambia hana hela ya kulipa na vifaa vimeshahalibika hivyo waende kushitaki popote ataenda kujieleza
Wee...timbwili lake lilikuwa si la kitoto. Polisi hawataki kwenda badala yake wanawapigia mapolisi "wao" na kwa bahati mbaya simu hazikupokelewa. Uzuri jamaa alishaweka mitego yake ya kujilinda. Vurugu ilipozidi, walitokea watu waliokuwa wamekwisha andaliwa na jamaa wakawakamata wote ili wawapeleke central. Walioanza kuomba yaishe ni wale waturuki na hawakuwa tayari kufika kituoni
Hawana vibali vya kuishi nchini, hawana vibali vya kufanya kazi nchini wapo kihuni huni tu
Visinge kuwepo madukania itakuwa ulishindwa kunyoosha mkono , TBS wao ukinyoosha mkono vizuri huwa hawajaliCjui lakin nakumbuka miaka ya nyuma niliwah kuleta container la nyaya na ma glope cjui nini kama vile wanavyouza Tronic. Moja ya vitu wanavyohtaji serikali ni pamoja na vibali vya TBS kudhibitisha ubora wa hizo nyaya. Sasa kwasasa cjui maana ile biashara niliacha by that time.