Nani Karuhusu Waturuki kufanya umachinga wa kukopesha vyombo vya umeme mitaani? TBS na FCC mnayajua haya?

kumbuka dada zetu wanajiuza uturuki ohoo waache machinga wa kituruki dunia yetu sote mipaka tu isitutenganishe.
 
Mkuu ulitaka waingize kipato kwa serkali badala yao?
Unafikiri wanaweza kuwepo hapa bila Serkali kujua?
Kumbuka wana Visa, Wana Permit, na Balozi zao zinajua wamekuja kufanya nini!

Kwahyo tuilaumu serkali yetu tu kwa hilo
Serikali ndiye wa kulaumiwa kwa hakika kabisa. Imeshindwa kabisa kutimiza wajibu wake wa kuhakikisha usalama na ustawi wa watu wake.
 
Hacha umbeya bro, na wewe nenda uturuki uksfsnye biashara, hapa kwetu ni shamba la bibi, Rais mpigsji, mpaka katibu kata wote wezi,
Kutajirika nchi hii ni rahisi sana kwa mgeni,waturuki wapo kibao Kigamboni, wamefungua kampuni za tiles, magenereta nk, wana watoto wanaongea ki Swahili kama wazaramo! We unsfikri wamekuja Leo bongo!
Watafute Hao waturuki piga nao biashara, wapo mbali sana kwa tekinolojia, unaweza ukawa agent wa bidhaa kutoka Uturuki, vifaa vya ndani, umeme, vifaa vya solar, nk, acha tabia za kimaskini
 
Je,hakuna watanzania wanaofanya kama hivo kwa nchi za wengine? Na wao wanalalamika hivo? Nani alilazimishwa kuchukua kwa mkopo,tena kwa gharama kubwa,na sokoni vitu hivyo vipo? Tanzania ni nchi inayotegemea zilizoendelea,kwa hio,acha wivu wanaoweza wafanye biashara zao
 
Nimeiona Zazibar hii wamekuja ofisini na madide Yao.
 
Unaongea kama fala fulani hivi , kwa hiyo hivi vitu feki vilivyopo mitaan na madukani wamevipitisha wao viuzwe !? Kumbe basi hakuna haja ya kuwa na TBS kama wanapitisha vitu bandia viingie sokon
Cjui lakin nakumbuka miaka ya nyuma niliwah kuleta container la nyaya na ma glope cjui nini kama vile wanavyouza Tronic. Moja ya vitu wanavyohtaji serikali ni pamoja na vibali vya TBS kudhibitisha ubora wa hizo nyaya. Sasa kwasasa cjui maana ile biashara niliacha by that time.
 
Serikali ya CCM inasikitisha sana...
Kwenye mambo mazuri wanadai Mama anaupiga mwingi ila, kwenye HOVYO hawakubali kuwa ni "yeye" !
 
Huu nao ni wizi tuu
 
Nimeiona Zazibar hii wamekuja ofisini na madide Yao.
Nilidhani rais wenu yupo makini. Kumbe nako waturuki wametinga. Huku kwetu wamekuwa mafundi selemala. Alaf wanajidai kuoa madada zetu.
 
Vifaa vingi vya umeme havikaguliwi. Mchina anaingiza vifaa feki kibao.
Ni hatari Kuna watu wanaitwa Kikuu , niliwahinkuagiza saa ikawa, poa , nikamwagizia wife nywele za singa' zikawapoa akapiga Bei mara Nne ya Bei , nikaanza kunogewa . Mara nikaona shaving machine .. Wahl Brand heavy Duty😴 Bei poa , ikaagiza!
Ndani ya wiki mbili ikatua Dodoma! Majanga yalianza Sasa niijaribu! Ile kuichomeka tu wire wake ukaanza kuungua kama Uzi wa nlyon unavoungua moto! Ndani cart moja niliagiza na kettle... Hii haikuungua .. ila ilikuwa inakula umeme unit 1+ kuchemsha maji Lita moja!
Nami nilijiuloza nani anadhibiti vifaa Kwa wasambazaji Hawa wa Online kama Kikuu?!
 
Kumbe nawe humoo, yaani hapo ukuona ukweli. Mimi bidhaa zao natilia shaka FCC na TBS kama wamezipitia.
 
Je wabongo hawafanyi umachinga huko Uturuki?
 
Wamezagaa sana mtaani
 
Hahaha! Mkuu we kweli kiranja.
 
Visinge kuwepo madukania itakuwa ulishindwa kunyoosha mkono , TBS wao ukinyoosha mkono vizuri huwa hawajali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…