Hoja ni hivi kuna desturi na amri za Mungu ktk maandiko. Mbona wafuasi wa Kristu hawanawi mikono yote mpaka kwenye kiwiko wakitoja sokoni kuwa wako najisi? Hili la kutawadha miguu na mikono ni amri ya ngapi ya Mungu na adhabu ipi apewe kama kuzini ni kupigwa mawe kwa Wayahudi? Ila Mungu hajaruhusu MTU YOYOTE KUMWUA MTU KUMSAIDIA MUNGU KUTOA ADHABU.DHAMBI HUADHIBIWA NA KUSAMEHEWA NA MUNGU TU. HUO NDIO UKWELI.Toa hoja acha ngonjera