Nani kasema Nguruwe halali? Sio Ukristo au Uislamu kote wamemkana.

Mbona ngono kabla ya ndoa imekatazwa na dini karibu zote lakini kuanzia wasabato mpaka wavaa kobazi ni kunyanduana tu

Kitimoto na iheshimiwe na watu wote
 
KWA KIFUPI TU HII NCHI INA WAPUMBAVU NA WAJINGA WENGI SANA HIVI AMJUI TOFAUTI (HARAMU ) NA (DHAMBI) inasikitisha sana..... Nguruwe anaweza kuwa haramu ila siyo dhambi kitu chochote kinacho itwa haramu aimaanishi dhambi ...leo hii wapuuzi wa misikitini na makanisani wanapotosha .....wao kwao kutenda dhambi ni bora kuliko vitu haramu very very stuupid. Ukitaka kujua tofauti ya haramu na dhambi hata katika uislamu jiulize mbona nguruwe karuhusiwa kuliwa kunapokuwa na dharula je dhambi ilisha wai kuruhusiwa wakati wa dharula?
 
Ndo umeandika nn mbna kama reasoning yako ni ya mtoto wa form3
 
Kula lkn n najs
Unachanganyikiwa wewe Mdogo wangu

"Mambo ya Walawi 11:7-8"

Haya yalikuwa ni Maagizo Kwa Walawi, Sisi yanatuhusu nini ?, Kwani Sisi ni Walawi ?
Sisi tuna tamaduni zetu.
Unachanganyikiwa wewe sio bure
 
Nje ya hoja
 
Matendo ya Mitume 10:9
Hata siku ya pili, walipokuwa wakisafiri na kuukaribia mji, Petro alipanda juu darini, kwenda kuomba, yapata saa sita ya mchana;

Matendo ya Mitume 10:10
akaumwa na njaa sana, akataka kula; lakini walipokuwa wakiandaa, roho yake ikazimia,

Matendo ya Mitume 10:11
akaona mbingu zimefunuka, na chombo kikishuka kama nguo kubwa, inatelemshwa kwa pembe zake nne hata nchi;

Matendo ya Mitume 10:12
ambayo ndani yake walikuwamo aina zote za wanyama wenye miguu minne, na hao watambaao, na ndege wa angani.

Matendo ya Mitume 10:13
Kisha sauti ikamjia, kusema, Ondoka, Petro, uchinje ule.

Matendo ya Mitume 10:14
Lakini Petro akasema, Hasha, Bwana, kwa maana sijakula kamwe kitu kilicho kichafu au najisi.

Matendo ya Mitume 10:15
Sauti ikamjia mara ya pili, ikimwambia, Vilivyotakaswa na Mungu, usiviite wewe najisi.

Matendo ya Mitume 10:16
Jambo hili likatendeka mara tatu; kisha kile chombo kikapokewa tena mbinguni.

 
Kila aya ilifafanuliwa embu tufanunuliwa
 
Kila aya ilifafanuliwa embu tufanunuliwa
Roho Mtakatifu ukimuomba anakupa mafunuo.

Neno KILA MNYAMA ATEMBEAYE, ATAMBAAYE NA ARUKAYE....

Neno VIMETAKASWA maana yake hapo awali vililiwepo ambavyo havikuwa vimetakaswa na sasa viketakaswa vyote.

Just a tip in the iceberg
 
Roho Mtakatifu ukimuomba anakupa mafunuo.

Neno KILA MNYAMA ATEMBEAYE, ATAMBAAYE NA ARUKAYE....

Neno VIMETAKASWA maana yake hapo awali vililiwepo ambavyo havikuwa vimetakaswa na sasa viketakaswa vyote.

Just a tip in the iceberg
Petro alikua ktk hali gan muda huo
 
Matendo ya Mitume 10
9 Siku ya pili yake, walipokuwa wameukaribia mji, wakati wa adhuhuri, Petro alipanda juu ya nyumba kuomba. 10 Alipokuwa akiomba akahisi njaa, akatamani kupata chakula. Lakini wakati walikuwa wakiandaa chakula, akalala usingizi mzito sana. 11 Akaona mbingu zimefunguka na kitu kama nguo kubwa kikishushwa duniani kwa ncha zake nne. 12Ndani yake walikuwepo aina zote za wanyama wenye miguu minne, nao watambaao nchini, na ndege wa angani. 13Ndipo sauti ikamwambia “Petro, ondoka, uchinje na ule.”
14 Petro akajibu, “La hasha Bwana! Sijawahi kamwe kula kitu chochote kilicho najisi.”

15 Ile sauti ikasema naye mara ya pili, “Usikiite najisi kitu chochote Mungu alichokitakasa.”
16Jambo hili lilitokea mara tatu na ghafula ile nguo ikarudishwa mbinguni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…