Munch wa annabelletz47
JF-Expert Member
- Aug 13, 2019
- 1,885
- 3,227
- Thread starter
- #21
Hadi sasa hakuna mla nguruwe yeyote aloweza kumtetea huyu mdudu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hyo sio hojaJuzi tu taifa limeingiza nyama ya mdudu kutoka nchi za nje baada ya kitoweo hicho kuadimika mwishoni mwa mfungo wa kwaresma na ule mwingine.
Kuliko wewe unayetaka kupangia watu kitu cha kula?Tangaza uzuri wa dini/dhehebu lako upate wafuasi.Kujibanza kwenye nguruwe na siku ya kuabudu hakukuondolei mahangaiko yako.Toa hoja acha ngonjera
Unataka inayokufurahisha?Hyo sio hoja
Hyo sio hoja piaKuliko wewe unayetaka kupangia watu kitu cha kula?Tangaza uzuri wa dini/dhehebu lako upate wafuasi.Kujibanza kwenye nguruwe na siku ya kuabudu hakukuondolei mahangaiko yako.
Nakuletea pua ya nguruwe uwe unatembea nayo kwenye shumizi yako.Hyo sio hoja pia
Hadi nimepaliwa dah...unamtatanisha sana mtoa mada jamani🤣Tying erro?Agiza chai vikombe viwili.Nakuja kulipa kwa cheque!
Hajui huyo.Amezubaa sana.Juzi tu taifa limeingiza nyama ya mdudu kutoka nchi za nje baada ya kitoweo hicho kuadimika mwishoni mwa mfungo wa kwaresma na ule mwingine.
Ivi Kuna nyama tamu zaidi ya nguruwreKatika dini ya Ukristo, maandiko matakatifu ya Biblia yanapinga ulaji wa nguruwe kwa sababu inachukuliwa kuwa ni mnyama najisi. Hii inapatikana katika kitabu cha Mambo ya Walawi 11:7-8 ambapo inasema " Nguruwe msimle; ana kwato zilizogawanyika lakini hacheui; kwenu huyo ni najisi. .Hamtakula nyama yao, wala hamgusi mizoga yao. Hao ni najisi kwenu." Pia, kuna vifungu vingine vinavyopinga ulaji wa nguruwe kama vile Kitabu cha Kumbukumbu la Torati 14:8 ambacho kinapinga ulaji wa nguruwe, na Matendo ya Mitume 15:28-29 ambayo yanahimiza waumini kuepuka kula nyama iliyotolewa kwa sanamu na damu.
Kwa upande wa Uislamu, Quran inapinga ulaji wa nguruwe na inachukuliwa kuwa ni haramu kwa Waislamu. Kifungu cha Quran Surat al-Baqarah 2:173 kinakataza ulaji wa nguruwe pamoja na nyama ya wanyama waliochinjwa kwa njia ya kuchinjwa bila kumtaja Mungu, damu, nyama ya wanyama wanaouliwa kwa sababu ya miungu, na wanyama waliofariki kwa kifo cha asili. Kwa hivyo, Waislamu wanachukulia ulaji wa nguruwe kama jambo la kinyume na mafundisho ya dini yao.
NB: TUJADILI KWA AYA NA VIFUNGO MBALIMBALI ZA VITABU MBALIMBALI VYA DINI NGOJERA HAZITAKIWI.
View attachment 2613342
what a coincidence?!!! nimetoka kupiga Nusu kavu na Ugali, Allah anijalie maisha marefu
Huwa wanakuja hawajajipanga.Wanadhani JF watawakuta watu wanachagua mchele kibarazani.Hadi nimepaliwa dah...unamtatanisha sana mtoa mada jamani🤣
Mueleze huyo.Utakuta kavaa zake shati la kitenge kama Tshala Muana.Ivi Kuna nyama tamu zaidi ya nguruwre
Sio hoja hyoNakuletea pua ya nguruwe uwe unatembea nayo kwenye shumizi yako.
Sio hojaIvi Kuna nyama tamu zaidi ya nguruwre
Najisi unayotembea nayo tumboni ni ndogo?Umekula Najisi na Ugali??!!-- Mungu akusamehe.
Mueleze huyo.Utakuta kavaa zake shati la kitenge kama Tshala Muana.