Nani kasema Nguruwe halali? Sio Ukristo au Uislamu kote wamemkana.

Nani kasema Nguruwe halali? Sio Ukristo au Uislamu kote wamemkana.

Watu bwana, mtu yupo radhi aue mwenzake/afanye uzinzi/matusi kwa sana/Pombe kwa sana ila kitimoto atakuambia sili hata kwa bunduki. Kwamba kula kitimoto ni dhambi isiyosameheka ama? Hizi dini tuzifuate lakini zisitufunge akili pia.

Wazee kama ukila hufi na wala haikuletei madhara kiafya kula tu kwa sana. Mimi hapa nina mzigo wa kutosha kwenye banda soon nawatoa.
 
Back
Top Bottom