Nani kawaleta hawa Wavuta Bangi hapa Mlimani City kwenye Uchaguzi wa CHADEMA?

Master Legendary

JF-Expert Member
Joined
Apr 28, 2013
Posts
576
Reaction score
876
Kuna Vijana Wahuni wamelewa hapa Mlimani City wanapiga Makelele hovyo ya Lissu na Heche kila mahali kuanzia asubuhi hadi muda huu kiasi cha kuwa Kero kwa kila mtu hapa Mlimani City hata ambaye hajaja kwa mambo ya Uchaguzi, Hizi Siasa za kipumbavu hazikuwepo CHADEMA ambayo huko nyuma ilizoeleka kwa Siasa za hoja.

Mtu anakuvamia ananuka Pombe anakupigia Makelele ya Lissu na Heche anakuvuta mkono akikuachia mkono wote unabaki na harufu ya Bangi. Wanapiga Makelele,wanazuia Magari,wanatisha watu yani Vurugu tupu.

Tatizo ninaloliona hapa watu wastaarabu wengi waliofika hapa wamekwazika sana na kadhia ya hawa vijana hadi imefikia hata hao wapiga kura wao wanasema hawawezi kumpa Kura Lissu na mimi Binafsi kama Lissu ndiyo ana akili hizi na Siasa hizi siwezi kumpa Kura yangu hata siku moja.

Nashauri Uongozi wa juu wa CHADEMA ujitokeze mapema kwa Umma kutoa kauli ya kujitenga na hawa wahuni na kadhia walizosababisha ili kuepusha hasira ya Watu wastaarabu kwa Chama, ni vyema pia Viongozi wote walioandaa na kusababisha kadhia hii wakatangazwa hadharani na hatua zilizochukuliwa dhidi yao.
 
HUNA AKILI.
 
Na sio "wavuta bhangi" bali ni watu na akili zao Ila wapo hapo kwa kazi maalum yenye malipo mazuri ambayo wameshachukia advance
 
Kuna Vijana Wahuni wamelewa hapa Mlimani City wanapiga Makelele hovyo ya Lissu na Heche kila mahali kuanzia asubuhi hadi muda huu kiasi cha kuwa Kero kwa kila mtu hapa Mlimani City hata ambaye hajaja kwa mambo ya Uchaguzi, Hizi Siasa za kipumbavu hazikuwepo CHADEMA ambayo huko nyuma ilizoeleka kwa Siasa za hoja.

Mtu anakuvamia ananuka Pombe anakupigia Makelele ya Lissu na Heche anakuvuta mkono akikuachia mkono wote unabaki na harufu ya Bangi. Wanapiga Makelele,wanazuia Magari,wanatisha watu yani Vurugu tupu.

Tatizo ninaloliona hapa watu wastaarabu wengi waliofika hapa wamekwazika sana na kadhia ya hawa vijana hadi imefikia hata hao wapiga kura wao wanasema hawawezi kumpa Kura Lissu na mimi Binafsi kama Lissu ndiyo ana akili hizi na Siasa hizi siwezi kumpa Kura yangu hata siku moja.

Nashauri Uongozi wa juu wa CHADEMA ujitokeze mapema kwa Umma kutoa kauli ya kujitenga na hawa wahuni na kadhia walizosababisha ili kuepusha hasira ya Watu wastaarabu kwa Chama, ni vyema pia Viongozi wote walioandaa na kusababisha kadhia hii wakatangazwa hadharani na hatua zilizochukuliwa dhidi yao.
Kwa akili yako ndogo unaamini hao wameandaliwa na lisu?
 
Hao polisi waliojaza hapo sasa wana kazi gani!!?
 
Back
Top Bottom