MONEY IS NOT EVERYTHING
JF-Expert Member
- Sep 11, 2024
- 424
- 765
soma mada pale juu umeambiwa niwavuta bangi, wanywa pombe sasa polisi wetu wanatumia hivyo vitu?Unaweza kuta ni hao hao
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
soma mada pale juu umeambiwa niwavuta bangi, wanywa pombe sasa polisi wetu wanatumia hivyo vitu?Unaweza kuta ni hao hao
😀😀Ama kweli siasa! Watu wanamtaka 'Lissu' wewe wasema wanamchafua?Wameandaliwa hao kumchafulia LISSU
Wewe unajuaje kwamba hao unaowaita wahuni na wavuta bange wameletwa na Lissu?Kuna Vijana Wahuni wamelewa hapa Mlimani City wanapiga Makelele hovyo ya Lissu na Heche kila mahali kuanzia asubuhi hadi muda huu kiasi cha kuwa Kero kwa kila mtu hapa Mlimani City hata ambaye hajaja kwa mambo ya Uchaguzi, Hizi Siasa za kipumbavu hazikuwepo CHADEMA ambayo huko nyuma ilizoeleka kwa Siasa za hoja.
Mtu anakuvamia ananuka Pombe anakupigia Makelele ya Lissu na Heche anakuvuta mkono akikuachia mkono wote unabaki na harufu ya Bangi. Wanapiga Makelele,wanazuia Magari,wanatisha watu yani Vurugu tupu.
Tatizo ninaloliona hapa watu wastaarabu wengi waliofika hapa wamekwazika sana na kadhia ya hawa vijana hadi imefikia hata hao wapiga kura wao wanasema hawawezi kumpa Kura Lissu na mimi Binafsi kama Lissu ndiyo ana akili hizi na Siasa hizi siwezi kumpa Kura yangu hata siku moja.
Nashauri Uongozi wa juu wa CHADEMA ujitokeze mapema kwa Umma kutoa kauli ya kujitenga na hawa wahuni na kadhia walizosababisha ili kuepusha hasira ya Watu wastaarabu kwa Chama, ni vyema pia Viongozi wote walioandaa na kusababisha kadhia hii wakatangazwa hadharani na hatua zilizochukuliwa dhidi yao.
Gentleman vijana wa BAVICHA unawaita wavuta bangi, real?Kuna Vijana Wahuni wamelewa hapa Mlimani City wanapiga Makelele hovyo ya Lissu na Heche kila mahali kuanzia asubuhi hadi muda huu kiasi cha kuwa Kero kwa kila mtu hapa Mlimani City hata ambaye hajaja kwa mambo ya Uchaguzi, Hizi Siasa za kipumbavu hazikuwepo CHADEMA ambayo huko nyuma ilizoeleka kwa Siasa za hoja.