Nani kawaleta Kawe hawa Panya wa maajabu na wa kimkakati wanaosemekana kutokea nchini Malawi?

Brother, tafuta maji kwanza unywe upoze koo na upunguze mihemko.
Sijasema afukuzwe mtu, nimesema jeshi kwa sababu kama wanahisiwa ni panya wa intelijensia huoni kama jeshi lipo hatarini?
Mimi Wanyasa nimeanza kuwaona Kawe miaka mingi, umesikia nimeenda kureport wapi?
Mi naishi maisha yangu.......
Mtajua wenyewe na nchi yenu ya laana hii.
 
wewe ni mtu muhimu kwenye hili taifa siku ukifa pengo lako litaonekana na hakutakuwa na wa kuliziba mkuu
hadi nimetamani kulia mkuu nakuombea uishi maisha marefu karismatic fella gemu chenja
 
Hao kunguru wa Mafia ni tofauti na wale kunguru wa Zanzibar? Mafia hakujawahi kuwa na kunguru weusi, wa Zsnzibar walitoka India wakapelekwa Zanzibar kisha wakaletwa Dar.
Pesa za mradi wa kuangamiza kunguru nakumbuka pale kwenye ofisi za jiji tuligawana baada ya kufanikiwa kuyatokomeza mayai.
 
Hawa panya wanategeka kwa sumu bila shida, haujawahi au haujui jinsi ya kutumia sumu unaanza kusema hawategeki kwa sumu! Changanya unga kidogo sana na sumu nyeusi ya chenga, onja kama imekolea kisha weka sehemu kavu na yasiwepo maji yoyote karibu.
Aonje 😂
 
 
mshamba kama mshamba
 
wewe ni mtu muhimu kwenye hili taifa siku ukifa pengo lako litaonekana na hakutakuwa na wa kuliziba mkuu
hadi nimetamani kulia mkuu nakuombea uishi maisha marefu karismatic fella gemu chenja
Asante sana Mkuu kwa hizi Sincerely Credits zako Kwangu GENTAMYCINE na Ubarikiwe mno nawe.

Sikuwahi kujua nina Watu ( Members ) wanaotambua Uwezo wangu na Vipaji / Vipawa vyangu vingi na tukuka.

Ashukuriwe Baba Mwenyezi Mungu.

Cc: Mtani wa Taifa, Prince Luanda, Dr Matola PhD, Ubena Zomozi na HATERS Wengine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…