Black Sniper
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 32,406
- 55,148
Hawa wakianza kwenda mashambani mmeisha
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwenye hotuba zao mbalimbali e.g Mama na CDF wameonya na kuagiza hali ya Utayari iwepo. Au niliwaelewa vibaya mkuu?Wameonyaje mkuu!
Brother, tafuta maji kwanza unywe upoze koo na upunguze mihemko.Mkuu acha watu watafute maisha. Wamalawi wanachapa kazi ambazo waswahili wengi hawawezi. Wengi wapo very professional, wanathamini kazi. Watanzania wengi sisi ni wajanjawajanja. Unataka wafukuzwe hizo kazi utafanya wewe? possibly not. kwa nini uumie mtu kutumia nguvu na akili yake kujipatia riziki? hii mipaka iliwekwa na wajinga fulani huko Berlin kwa maslahi yao. Kuna ndugu zako wako SA, US, UK , Canada hawana vibali lakini wanapambana. Ndo hao wanasaidia ndugu zao hapa TZ na kwingineko.
Mpaka leo sioni sababu ya mwafrica kuwa mkimbizi Africa. wacheni vijana watafute maisha. Na wewe ukitaka nenda Congo au kwingineko. Ilmradi usiibe cha mtu.
Mwisho wa siku wakifanya makosa waadhibiwe kama wengine. Ila tusiwahukumu tuu kwa sababu wanaitwa wamalawi. It is just a name!
Africa maisha ni magumu sana. ukiona mtu ana hustle mheshimu baada ya kumfitini.
Hao kunguru wa Mafia ni tofauti na wale kunguru wa Zanzibar? Mafia hakujawahi kuwa na kunguru weusi, wa Zsnzibar walitoka India wakapelekwa Zanzibar kisha wakaletwa Dar.GENTAMYCINE
Wakati mwingine kuna makosa yanafanyika ya ki ecolojia nitatoa mfano
1. Kunguru wa Mafia waliletwa dar ajili ya kazi ya scavenging yaani kupunguza matakataka matokeo yake walivyo wakorofi wakawa wanawaangamiza wale kunguru wenye kizibao cheupe(white crested crow) zaid ya yote wakawa kero mno wanakula vifaranga yaani hawaogopi anashuka anakamata kifaranga ukiwepo.Ikafika mahali ikawekwa kampeni miaka 30 iliyopita mtu akipeleka yai lake anapewa shillingi 50 sijui iliishia wapi.
2. Samaki aina ya Sangara waliletwa Mwanza ajili ya kuangamiza magugu maji matokeo yake wakawa wanakuwa wakubwa mno wanakula samaki wengine.Wataalamu walivyo shtukia hili wakafungua viwanda vya minofu ya samaki sijui walifanikiwa vipi hadi sasa.
TOO MUCH OF ANYTHING IS MONOTONOUS
Aonje 😂Hawa panya wanategeka kwa sumu bila shida, haujawahi au haujui jinsi ya kutumia sumu unaanza kusema hawategeki kwa sumu! Changanya unga kidogo sana na sumu nyeusi ya chenga, onja kama imekolea kisha weka sehemu kavu na yasiwepo maji yoyote karibu.
1. Wana mikia mifupi
2. Wana mlio kama wa Mluzi
3. Wamewala Panya wote wa Kitanzania wenye mikia mirefu
4. Hawategeki kwa Sumu yoyote na hata Ukiwakimbiza hawakuogopi na wanaondoka kwa mwendo wa taratibu huku wakiwa hata hawana wasiwasi nawe
5. Paka wala hawaangaiki kuwakamata
6. Lishe yao wanaipata katika Matakataka na hasa Mashimo ya Nnya / Kinyesi
7. Mavi yao ni kama Utumbo wa Kuku, Meusi, Mafupi na yananuka balaa
Wapo sana Kawe na sina uhakika kama na Kwingineko pia wako na kuna taarifa zisizo rasmi na bado GENTAMYCINE nakataa kuziamini kuwa Panya hawa wameletwa na Wamalawi wanaokuja Kusali kwa Mwamposa na wengine wameenda mbali zaidi na kusema kuwa hawa Panya ni wa Kijasusi / Kinjagu kutoka nchini Malawi na kwamba wapo nchini Kimkakati zaidi.
Nivumilieni kidogo niwavizie wakitaka Kunya ( Kuukweka ) muda si mrefu nitawapiga Picha muwaone.
Kipimo cha dawa kama imekolea ni kuionja.Aonje 😂
mshamba kama mshamba1. Wana mikia mifupi
2. Wana mlio kama wa Mluzi
3. Wamewala Panya wote wa Kitanzania wenye mikia mirefu
4. Hawategeki kwa Sumu yoyote na hata Ukiwakimbiza hawakuogopi na wanaondoka kwa mwendo wa taratibu huku wakiwa hata hawana wasiwasi nawe
5. Paka wala hawaangaiki kuwakamata
6. Lishe yao wanaipata katika Matakataka na hasa Mashimo ya Nnya / Kinyesi
7. Mavi yao ni kama Utumbo wa Kuku, Meusi, Mafupi na yananuka balaa
Wapo sana Kawe na sina uhakika kama na Kwingineko pia wako na kuna taarifa zisizo rasmi na bado GENTAMYCINE nakataa kuziamini kuwa Panya hawa wameletwa na Wamalawi wanaokuja Kusali kwa Mwamposa na wengine wameenda mbali zaidi na kusema kuwa hawa Panya ni wa Kijasusi / Kinjagu kutoka nchini Malawi na kwamba wapo nchini Kimkakati zaidi.
Nivumilieni kidogo niwavizie wakitaka Kunya ( Kuukweka ) muda si mrefu nitawapiga Picha muwaone.
Asante sana Mkuu kwa hizi Sincerely Credits zako Kwangu GENTAMYCINE na Ubarikiwe mno nawe.wewe ni mtu muhimu kwenye hili taifa siku ukifa pengo lako litaonekana na hakutakuwa na wa kuliziba mkuu
hadi nimetamani kulia mkuu nakuombea uishi maisha marefu karismatic fella gemu chenja
Na niliye Masikini kama Masikini pia.mshamba kama mshamba
Hapa umetoroka kwenye mstari sina majibuNa niliye Masikini kama Masikini pia.
Majibu yako mengine katika Yeremia ( Jeremiah ) 1:19.Hapa umetoroka kwenye mstari sina majibu
Hata weye wajua mistariMajibu yako mengine katika Yeremia ( Jeremiah ) 1:19.
Ulidhani Mumeo tu ndiyo anaijua?Hata weye wajua mistari
Mume wangu kafirUlidhani Mumeo tu ndiyo anaijua?
Majibu yako mengine katika Yeremia ( Jeremiah ) 1:19.