Impossible on earth! Sana sana ni ukuu wa wilaya basi!Ccm oyeeee
Sasa kama nafasi ilivyokuwa wazi, ndivyo hivyo jina linalosemwa sana ndani ya chama kwa sasa ni kinara wa upinzani aliyeamua kuingia chama tawala .Mch Msigwa sasa kuyatwaa madaraka haya makubwa
Hakuna lisilowezekanaHakuna kitu kama hicho! Nafasi nzito kama hiyo huwezi kumpa mtu ambaye hajakijua chama vilivyo!
Anyway sijui.
Nakazia hapa,,Dr. Bashiru ni chuma cha pua. Samia kama anataka kutemana na wahuni basi amvute Polepole na Dr. Bashiru uone kama kuna mtu ataleta chokochoko. Huko kwingine TISS watajuana wao
Anaenda kumsaidia Mama?Ccm oyeeee
Sasa kama nafasi ilivyokuwa wazi, ndivyo hivyo jina linalosemwa sana ndani ya chama kwa sasa ni kinara wa upinzani aliyeamua kuingia chama tawala .Mch Msigwa sasa kuyatwaa madaraka haya makubwa
Kwenye siasa kila kitu kinawezekana. Maana haikuwa jambo la Kawaida Mch Kusaliti Wananchi na waumini wake.Ccm oyeeee
Sasa kama nafasi ilivyokuwa wazi, ndivyo hivyo jina linalosemwa sana ndani ya chama kwa sasa ni kinara wa upinzani aliyeamua kuingia chama tawala .Mch Msigwa sasa kuyatwaa madaraka haya makubwa
Bashiru alikuwa Mwalimu tu wa Udism na hakuwa kuwa mwanaccm wala active politician. Na alikuwa Katibu Mkuu CCM.Hakuna kitu kama hicho! Nafasi nzito kama hiyo huwezi kumpa mtu ambaye hajakijua chama vilivyo!
Anyway sijui.
πππππππππππππππ€£π€£
(Wimbo) CCM ni ile ile, ooh ni ile ileee. Wote wamechoka kwani hakuna mawazo mapya? Basi Makonda. Mbona CCM wanasema Wana watu wengi au wote kashfa ndogo ndogo zinawaandama?Mimi binafsi naona yeyote anafaa japo Kwa Dr.Nchimbi angeendelea na nafasi yake Ili azidi kujinoa Kwa baadae.
PM Mstaafu Mzee Pinda chaguo la kwanza na Mzee Wasirra chaguo la Pili(Kwa Wasirra Umri umeenda sana ).
Naomba kuwasilisha ππ
View: https://twitter.com/TanzaniaInsight/status/1818185281536766333?t=1txcLuW3OOBDWm9f8vBvOg&s=19