Pure_sapiens
JF-Expert Member
- Dec 25, 2016
- 2,228
- 2,064
- Thread starter
-
- #21
Solo thang mwanazuoni aliekomaa,
Nakumbuka baada ya mfalme sele kupewa ule ushindi Solo theng alitoa ngoma ya Ndugu zangu ndugu zangu alitoa hisia zake nje alishindwa kuvumilia kabisa.
Ila jamaa alikuwa anajuwa kuchora mistari na flow tamu Sanaa
Hivi solo si alitokeaga wateule,,?
Kwa mwaka ule Afande alistahili kabisaa kushika namba moja.
Huyo unayemtaja hata kwenye ushiriki hakuwemo.. Kifupi alikuwa bado underground
Huyo unayemtaja hata kwenye ushiriki hakuwemo.. Kifupi alikuwa bado underground
Kwa ile ngoma ya mtazamo basi afande alistahiri..Prof jay alikua mkali lakin ndio alikuepo kwenye mtazamo,so automatically afande anashinda
Hakuna s bila oTruth be tol.Katika ile ngoma ya mtazamo japo ilikuwa ya Afande sele lakini alifichwa Vijaya sana mule.
Dah aisee miaka inakwenda kweli mtoto amekuwa kweli kweli.....Afande alistahili,miaka inakimbia hiyo picha ya albamu yake yuko na mwanae Tunda akiwa mdogo sasa hivi katunda kamekuwa kabinti[emoji116]View attachment 1111644
Bila shaka na usikute wahuni wanabiriga bila tabuAfande alistahili,miaka inakimbia hiyo picha ya albamu yake yuko na mwanae Tunda akiwa mdogo sasa hivi katunda kamekuwa kabinti[emoji116]View attachment 1111644
Hakuna s bila o
L bila o
Mwingine aitwe thang bila solo....
Solo aliua sana
Mtazamo afande aliwashirikisha prof jay na solo thang
Lakini ukisikiliza vizuri ndani ya ule wimbo afande alifunikwa vibaya na aliowashirikisha
Yale mashindano ilikuwa yafanyike kila mwaka lakini kutokana na zile figisu ukawa ndio mwanzo na mwisho
Katika yale mashindano aliyestahili haswa alikuwa prof jay na endapo angeshibda jay basi yale mashindano yangeendelea kwa miaka mingine pia
Wimbo uliompa ufalme wa rhymes Afande ni MTAZAMO na sio darubini ila siku anatangazwa kua mfalme ndio siku alipoitambulisha rasmi DARUBINI had akawa anaombwa na mashabiki aurudie mara kwa mara!!Mfalme wa rhymes ilikuwa inachukuliwa kwa nyimbo za ndani ya mwaka, sio uwezo wa mwanamuziki kiujumla, ni wimbo fulani katika mwaka husika ndio unashindanishwa.
Sasa kwa mwaka 2003/2004 darubini kali haikuwa na mpinzani tizama mistari yake mule, kidogo nhoma nyingine kali nadhani ni msinitenge ya prof jize..
Fid q hakuwa na ngoma kali msimu huo..
Ila fid alikuwa anaelekea kuchukua ya mwaka 2005 na ngoma yake ya mwanza mwanza kama sikosei, ila watu ndio wakaleta zengwe shindano likafa na wasanii walileta utata baada ya kuona mshindi ameshajulikana..
Ukisikiliza ngoma ya nako2nako na fid inaitwa hakuna mahali kama, fid ameongelea hii ishu.