Nani kwa Hakika alistaili ufalme wa rhymes ~2004?

Solo thang mwanazuoni aliekomaa,

Nakumbuka baada ya mfalme sele kupewa ule ushindi Solo theng alitoa ngoma ya Ndugu zangu ndugu zangu alitoa hisia zake nje alishindwa kuvumilia kabisa.
Ila jamaa alikuwa anajuwa kuchora mistari na flow tamu Sanaa
 
Hivi solo si alitokeaga wateule,,?
Nakumbuka baada ya mfalme sele kupewa ule ushindi Solo theng alitoa ngoma ya Ndugu zangu ndugu zangu alitoa hisia zake nje alishindwa kuvumilia kabisa.
Ila jamaa alikuwa anajuwa kuchora mistari na flow tamu Sanaa
 
Kwa ile ngoma ya mtazamo basi afande alistahiri..Prof jay alikua mkali lakin ndio alikuepo kwenye mtazamo,so automatically afande anashinda
 
Washindi...

1. AFANDE SELE

2. INSPECTOR HAROUN

3. MANDOJO NA DOMOKAYa

4. Mwanafa

5. Prof Jay

Sele alistahili.. Ila Solo kukosekana hata 5 bora hakika walizingua sana..
 
Kwa ile ngoma ya mtazamo basi afande alistahiri..Prof jay alikua mkali lakin ndio alikuepo kwenye mtazamo,so automatically afande anashinda

Truth be tol.Katika ile ngoma ya mtazamo japo ilikuwa ya Afande sele lakini alifichwa Vijaya sana mule.
 
Mtazamo afande aliwashirikisha prof jay na solo thang
Lakini ukisikiliza vizuri ndani ya ule wimbo afande alifunikwa vibaya na aliowashirikisha
Yale mashindano ilikuwa yafanyike kila mwaka lakini kutokana na zile figisu ukawa ndio mwanzo na mwisho
Katika yale mashindano aliyestahili haswa alikuwa prof jay na endapo angeshibda jay basi yale mashindano yangeendelea kwa miaka mingine pia
 
Nakubaliana na wewe kwa 100% kwa wakati ule kulikuwa hakuna Mc mkali zaidi ya profesa Jay na huo ndo ukweli.
 
Mfalme wa rhymes ilikuwa inachukuliwa kwa nyimbo za ndani ya mwaka, sio uwezo wa mwanamuziki kiujumla, ni wimbo fulani katika mwaka husika ndio unashindanishwa.
Sasa kwa mwaka 2003/2004 darubini kali haikuwa na mpinzani tizama mistari yake mule, kidogo nhoma nyingine kali nadhani ni msinitenge ya prof jize..
Fid q hakuwa na ngoma kali msimu huo..
Ila fid alikuwa anaelekea kuchukua ya mwaka 2005 na ngoma yake ya mwanza mwanza kama sikosei, ila watu ndio wakaleta zengwe shindano likafa na wasanii walileta utata baada ya kuona mshindi ameshajulikana..
Ukisikiliza ngoma ya nako2nako na fid inaitwa hakuna mahali kama, fid ameongelea hii ishu.
 
Kwa upande wangu nadhani profesa j alistahili kupewa ile tuzo hasa nikikumbuka ngoma kali zilizokuwepo kwenye album yake ya kipind hicho
 
Mfalme wa rhymes ilikuwa inachukuliwa kwa nyimbo za ndani ya mwaka, sio uwezo wa mwanamuziki kiujumla, ni wimbo fulani katika mwaka husika ndio unashindanishwa.
Sasa kwa mwaka 2003/2004 darubini kali haikuwa na mpinzani tizama mistari yake mule, kidogo nhoma nyingine kali nadhani ni msinitenge ya prof jize..
Fid q hakuwa na ngoma kali msimu huo..
Ila fid alikuwa anaelekea kuchukua ya mwaka 2005 na ngoma yake ya mwanza mwanza kama sikosei, ila watu ndio wakaleta zengwe shindano likafa na wasanii walileta utata baada ya kuona mshindi ameshajulikana..
Ukisikiliza ngoma ya nako2nako na fid inaitwa hakuna mahali kama, fid ameongelea hii ishu.
Wimbo uliompa ufalme wa rhymes Afande ni MTAZAMO na sio darubini ila siku anatangazwa kua mfalme ndio siku alipoitambulisha rasmi DARUBINI had akawa anaombwa na mashabiki aurudie mara kwa mara!!
 
Back
Top Bottom