Culture Me
JF-Expert Member
- May 24, 2017
- 10,490
- 21,398
Kwa hiyo unakataa kua Darubini haikutoka mwaka huo au unakataa kua darubini iliimbwa na Afande Sele??unajua kuwa wikipedia hata ww unaweza ukaenda ukaandika,nimewahi kuedit mambo kibao kwenye taarifa mbalimbali,
Watoto wa 2000 hao, wasikupe shida sana.Nashukuru umewasaidia vijana, walitaka tupigizane kelele tu
Japo najua wengine "wabishi kufa" watakubishia tu watakwambia Wikipedia hata wewe ukitaka unaweza edit.
Ila ukweli unabaki pale pale, afande sele alikuwa mkali wa rhymes kwa darubini kali.
Hivi bila mademu aliimba nani?
Bila mademu na ingekuwa vipi ni ngoma mbili tofautiSio bila mademu.Ngoma iliitwa Ingekuwa vipi By mwana fa na Jaymo
Afande anasema wotee, wote kimyaa!!!Darubini ilitoka baada ya kupewa tayari ufalme was rhymes lakini kwenye mashindano aliingia na wimbo mtazamo ambao aliwashirikisha wasanii Wawili.Afande sele alibebwa sana katika ushindi ule kwa kuchukuwa wimbo ambao tyr alibebwa pia
Bila mademu nani angepiga pamba,bila mademu nani angejiona bomba .... wale mliosomba shule za bweni haya mambo mliyaona
Poa mkuu
Bora usinge comment mtazo ilitoka baada ya jamaa kuondoa tofauti zao kutokana na iyo tuzo
kama umeshindwa kujua solo alikuwa wateule basi huna haki ya kusema ulikuwa unaufatilia mziki wa hiphip bongo kwa ukaribuHapana yule alikuwa solo artist.
usishangae ni ID mbili za mtu mmoja hizo siunajua maisha ya JFMkuu samahani lakini. Kwanini kum” cc huyu mtu katika kila comments zako? Samahani lakini.
saaaaaafi naona mleta mada alikuwa darasa la 4 na akawa anawabishia kaka zake waliosema akishinda kwa wimbo wa darubinJibu hilo hapo.View attachment 1111967
huyu simba ndio yule alikujaga kuwa teja? wenzake wakawa wanamtungia nyimbo kamaYap yap Mox, Jay mo, Jafarai, Solo na Simba ndio waliunda wateule
Hivi bila mademu aliimba nani?
Sio bila mademu.Ngoma iliitwa Ingekuwa vipi By mwana fa na Jaymo
mleta mada alikuwa mtoto.Kuna sehemu juu kaulizwa kama solo alikuwa wateule akajibu hapana , yule alikuwa solo artist.Nkacheka nikaamua kutuliamleta mada kweli unasema ulikuwa unafatilia hiphop na unashindwa kujua kuwa "BILA MADEMU" na "INGEKUWA VIPI" ni ngoma mbili tofauti na watu wawili tofuati
mleta mada alikuwa mtoto.Kuna sehemu juu kaulizwa kama solo alikuwa wateule akajibu hapana , yule alikuwa solo artist.Nkacheka nikaamua kutulia
Ingekuwa vip angekuwa hai drob na chief ramso wa kidato amrudishe k single..
Wandago wakajibu ingekuwa poa
YOTE HAYO HAYAJUI
Niliwahi anzisha uzi kitambo kuhusu makund ya hiphop ya zaman , ngoja niufukue achungulie ajifunzekuhusu solo kuwa wateule hadi hapo juu nimpa na picha kabisa
Niliwahi anzisha uzi kitambo kuhusu makund ya hiphop ya zaman , ngoja niufukue achungulie ajifunze
Kahamia CcmKibongo bongo hatuna utamaduni wa kuwapa heshima legendary kama hawa ila tunawadhihaki na kuwakejeli ila waliweka misingi imara ya huu mziki.
Afande anasema wotee, wote kimyaa!!!
Nilikuwa live nafuatilia hii makitu, Darubini kali ndo ulikuwa wimbo wa mashindano na Afande Sele alishinda!
Maoni yangu: Darubini kali ulishinda kihalali kabisa
".....Au utapata zari kama Yesu alivyopaa?"