Nani kwa Hakika alistaili ufalme wa rhymes ~2004?

Nani kwa Hakika alistaili ufalme wa rhymes ~2004?

Mbona watu walidai jamaa alibebwa kwa ushindi wa mezani kuliko uwezo wake
Hapana mkuu haukuwa ushindi wa mezani kabisaa, Sele alikua kalikamata jiji kwa mwaka ule haswaa na Nyimbo yake ya Darubini Kali.

Ile nyimbo ilipokelewa vizuri sana na jamii na hata alivyopanda kuiperform siku ile ye ndo alifunika maana sio kwa Shangwe lile.

Mimi binafsi namkubali sana Solo ila Afande alistahili kabisaa ile crown kwa msimu ule.
 
Ahaha unanichekesha unanipa furaha au unafikiri utapata zari kama yesu alivyopaa , hacha kujidangaya kwa mungu si kwa mzungu kwamba utapita njia za panya

Mwanamke kama hataki penzi usimbake,kulazimisja penzi sawa na kulazimisha fani kisha unaleta utani, sasa inakuaje unataja taja majina nyimbo tena nyimbo nzima kwa mistari isiyo kuwa na vina

Moja ya beat kali kutoka kwa majani ni kweli jamaa alistahili ushinde ule
Mimi ni msanii (mimi ni msanii)
Kioo cha jamii (kioo cha jamii)
Mimi naona mbali (mimi naona mbali)
Kwa darubini kali (kwa darubini kali)

Mimi ni msanii (mimi ni msanii)
Kioo cha jamii (kioo cha jamii)
Mimi naona mbali (mimi naona mbali)
Kwa darubini kali (kwa darubini kali)

Afande anasema wote (wote kimya)
Ntakayo nena hapa yatamgusa mwenye hekima
(Hapo!) hapo ulipo
Kama waipenda pepo kwanini uogope kifo?
(Eehee) unachekesha
(Aah) wanipa raha
Unafikiri mbinguni utakwenda kwa motor car eh?
(Ama utapata zali kama Yesu alivyopaa?)
Acha kujidanganya, kwa Mungu si kwa mzungu
Unapokwenda kwa pipa ikibidi kwa njia za panya
(Loo) haiwezekani
(Hasa?) bila ya imani
Unaelipiza baya kwa jema…
(We ni shetani)
Haufai kanisani, haufai msikitini
Na hutufai kwenye fani
Take care utapotea
(Aliwazalo mjinga ndilo litalomtokea)
Na hii ndo darubini (darubini)
Wasanii muweke akilini, hasa kwa mtu makini
Makini kiusanii
Ila kama mtalii (no sweat, tupa kapuni)
Watakuokota chini
Unafanya mziki Bongo unaekti kama matoni
(Ya nini?!)
Bora kuimba katuni
Lugha ngeni za nini kwenye mziki wa nyumbani?
(Wakati Bongo Flava inapeta zaidi uswahilini)
Mi n’nacheka sana (hee)
Kuna vitu vya kuimba vyenye maana kila kona
(Sasa?)
Inakuwa vipi unataja taja majina tu, nyimbo nzima
(Tena) kwa mistari isiyo na vina!

Mimi ni msanii (mimi ni msanii)
Kioo cha jamii (kioo cha jamii)
Mimi naona mbali (mimi naona mbali)
Kwa darubini kali (kwa darubini kali)

Mimi ni msanii (mimi ni msanii)
Kioo cha jamii (kioo cha jamii)
Mimi naona mbali (mimi naona mbali)
Kwa darubini kali (kwa darubini kali)

Yes, naona mbali, kwa darubini kali
Ndo maana mziki wangu unaegemea kwenye ukweli
Kwa mfano…
(Labda ungewapo mfano kabla hujashusha kibano)
Nasema rap ni ukweli mtupu, rap jasiri
Rap si kuimba uongo (kama siasa za bongo)
Useme kwenu una Benz wakati jumba la udongo! Mh!
Bwa’ mdogo acha upambe, unavyopelekwa tu
Unakwenda kama ling’ombe
(Simama utupe ujumbe)
Kama huwezi unyamaze
Nasema mara ya mwisho…
(Sio lazima wote tuimbe)
Watu wanataka ujumbe, sio majigambo tu
(Mnasifu ngono na pombe)
Pumbavu hamna soni eh, kwenye zama za ukimwi
Kwenye nchi masikini, ya pili kutoka chini
Afande nashangaa (hata Mungu anakataa)
Kwa msanii wa nchi hii
Kuimba nyimbo za furaha, kila saa
(Wakati huko kijijini watu wanakufa kwa njaa)
Haipendezi, kutomjali mwenzako eti kwa ajili ya mavazi (haipendezi)
Ama kujiona bora eti kwa ajili ya makazi (haipendezi)
Kuna tofauti gani kati ya Temeke na Mbezi?
Au labda ukiishi Mbezi utakapokufa hauozi? (twashangaa)
Eti Majani vipi? Kwanza stopisha beat
Nimuulize kijana alichokipata ni kipi
Aliponyoosha miguu wakati blanketi ni fupi
(Aling’atwa na mbu kwenye visigino huyo)

Mimi ni msanii (mimi ni msanii)
Kioo cha jamii (kioo cha jamii)
Mimi naona mbali (mimi naona mbali)
Kwa darubini kali (kwa darubini kali)

Mimi ni msanii (mimi ni msanii)
Kioo cha jamii (kioo cha jamii)
Mimi naona mbali (mimi naona mbali)
Kwa darubini kali (kwa darubini kali)

Na bado tu, mwaka huu haki ya nani
Mamluki kwenye game mtatoka taka msitake
(Na hii ndo maanake)
Mwanamke kama hataki basi muache aende zake (usimbake)
Kulazimisha penzi ni hatari sawa na kulazimisha fani
(Kisha unaleta utani)
Mpumbavu, hilo ni kosa kama padri kubaka muumini
(Au kama ticha mkuu kumbaka denti ofisini)
Utafungwa! (arabuni utanyongwa)
Bwa’ mdogo, ndani ya shamba la miwa hauwezi ukavuna miogo
(Kuna tofauti kubwa kati ya wivu na usongo)
Sahau superstar, superstar
Kujifanya msanii ndani ya jumba la sanaa
(Wasanii tunashangaa) unashuka si tunapaa
(Unainuka si tunakaa)
Ukipotea? (Kwetu furaha)
Adui? (Muombee njaa)
Ntanyoosha mikono juu hata kama alikuwa shujaa

Mimi ni msanii (mimi ni msanii)
Kioo cha jamii (kioo cha jamii)
Mimi naona mbali (mimi naona mbali)
Kwa darubini kali (kwa darubini kali)

Mimi ni msanii (mimi ni msanii)
Kioo cha jamii (kioo cha jamii)
Mimi naona mbali (mimi naona mbali)
Kwa darubini kali (kwa darubini kali)
 
Hii nilikuwa naikubali tatizo kipindi hicho hiphop ilikuwa imeshika game kabla wabanapua hawaja takeover,darubini kali ilikuwa overrated

Afande sele alideserve... ila solo thang pia mkali sana.. profjizze.... pia mkali......
Afande sele aliimba nyimbo moja na watu pori mpaka leo kila siku naiskizila.. inaitwa nafsi ya mtuuuu...

Mwingine anakuja kwako anashida tena mikono nyuma amekondaa,
Unamtazama kwa huruma na kukwepa lawama unasema looo lazima nimpige tafuu, kwa moyo mkunjufu, tena bila kujali skendo zake za uhalifuu, na uchafuu wa mwili na tabia unakua nae unaishi nae kama waifuuu.. kumbe ni naifuu anakusifu machoni moyoni anakusanifuuuu..

Aiseeee acha kabisa hii.verse
Kwa maoni yangu Afande Sele alistahili kihalali..ule wimbo ulishirikisha vichwa vyenye akili sana kwenye mashairi. Ni wimbo ambao mpaka leo una ujumbe
Kwakweli Afande sele alishinda kihalali kabisa..usinitenge ya Prof jize ilishika namba 2..ngoma zilikua Kali Sana
Ndio maana mtu yeyote akiniambia Tanzania ya sasa ina rappers anaweza kufikiri ninamdharau kwakuwa nitatikisa kichwa na kuondoka.
 
Mimi ni msanii (mimi ni msanii)
Kioo cha jamii (kioo cha jamii)
Mimi naona mbali (mimi naona mbali)
Kwa darubini kali (kwa darubini kali)

Mimi ni msanii (mimi ni msanii)
Kioo cha jamii (kioo cha jamii)
Mimi naona mbali (mimi naona mbali)
Kwa darubini kali (kwa darubini kali)

Afande anasema wote (wote kimya)
Ntakayo nena hapa yatamgusa mwenye hekima
(Hapo!) hapo ulipo
Kama waipenda pepo kwanini uogope kifo?
(Eehee) unachekesha
(Aah) wanipa raha
Unafikiri mbinguni utakwenda kwa motor car eh?
(Ama utapata zali kama Yesu alivyopaa?)
Acha kujidanganya, kwa Mungu si kwa mzungu
Unapokwenda kwa pipa ikibidi kwa njia za panya
(Loo) haiwezekani
(Hasa?) bila ya imani
Unaelipiza baya kwa jema…
(We ni shetani)
Haufai kanisani, haufai msikitini
Na hutufai kwenye fani
Take care utapotea
(Aliwazalo mjinga ndilo litalomtokea)
Na hii ndo darubini (darubini)
Wasanii muweke akilini, hasa kwa mtu makini
Makini kiusanii
Ila kama mtalii (no sweat, tupa kapuni)
Watakuokota chini
Unafanya mziki Bongo unaekti kama matoni
(Ya nini?!)
Bora kuimba katuni
Lugha ngeni za nini kwenye mziki wa nyumbani?
(Wakati Bongo Flava inapeta zaidi uswahilini)
Mi n’nacheka sana (hee)
Kuna vitu vya kuimba vyenye maana kila kona
(Sasa?)
Inakuwa vipi unataja taja majina tu, nyimbo nzima
(Tena) kwa mistari isiyo na vina!

Mimi ni msanii (mimi ni msanii)
Kioo cha jamii (kioo cha jamii)
Mimi naona mbali (mimi naona mbali)
Kwa darubini kali (kwa darubini kali)

Mimi ni msanii (mimi ni msanii)
Kioo cha jamii (kioo cha jamii)
Mimi naona mbali (mimi naona mbali)
Kwa darubini kali (kwa darubini kali)

Yes, naona mbali, kwa darubini kali
Ndo maana mziki wangu unaegemea kwenye ukweli
Kwa mfano…
(Labda ungewapo mfano kabla hujashusha kibano)
Nasema rap ni ukweli mtupu, rap jasiri
Rap si kuimba uongo (kama siasa za bongo)
Useme kwenu una Benz wakati jumba la udongo! Mh!
Bwa’ mdogo acha upambe, unavyopelekwa tu
Unakwenda kama ling’ombe
(Simama utupe ujumbe)
Kama huwezi unyamaze
Nasema mara ya mwisho…
(Sio lazima wote tuimbe)
Watu wanataka ujumbe, sio majigambo tu
(Mnasifu ngono na pombe)
Pumbavu hamna soni eh, kwenye zama za ukimwi
Kwenye nchi masikini, ya pili kutoka chini
Afande nashangaa (hata Mungu anakataa)
Kwa msanii wa nchi hii
Kuimba nyimbo za furaha, kila saa
(Wakati huko kijijini watu wanakufa kwa njaa)
Haipendezi, kutomjali mwenzako eti kwa ajili ya mavazi (haipendezi)
Ama kujiona bora eti kwa ajili ya makazi (haipendezi)
Kuna tofauti gani kati ya Temeke na Mbezi?
Au labda ukiishi Mbezi utakapokufa hauozi? (twashangaa)
Eti Majani vipi? Kwanza stopisha beat
Nimuulize kijana alichokipata ni kipi
Aliponyoosha miguu wakati blanketi ni fupi
(Aling’atwa na mbu kwenye visigino huyo)

Mimi ni msanii (mimi ni msanii)
Kioo cha jamii (kioo cha jamii)
Mimi naona mbali (mimi naona mbali)
Kwa darubini kali (kwa darubini kali)

Mimi ni msanii (mimi ni msanii)
Kioo cha jamii (kioo cha jamii)
Mimi naona mbali (mimi naona mbali)
Kwa darubini kali (kwa darubini kali)

Na bado tu, mwaka huu haki ya nani
Mamluki kwenye game mtatoka taka msitake
(Na hii ndo maanake)
Mwanamke kama hataki basi muache aende zake (usimbake)
Kulazimisha penzi ni hatari sawa na kulazimisha fani
(Kisha unaleta utani)
Mpumbavu, hilo ni kosa kama padri kubaka muumini
(Au kama ticha mkuu kumbaka denti ofisini)
Utafungwa! (arabuni utanyongwa)
Bwa’ mdogo, ndani ya shamba la miwa hauwezi ukavuna miogo
(Kuna tofauti kubwa kati ya wivu na usongo)
Sahau superstar, superstar
Kujifanya msanii ndani ya jumba la sanaa
(Wasanii tunashangaa) unashuka si tunapaa
(Unainuka si tunakaa)
Ukipotea? (Kwetu furaha)
Adui? (Muombee njaa)
Ntanyoosha mikono juu hata kama alikuwa shujaa

Mimi ni msanii (mimi ni msanii)
Kioo cha jamii (kioo cha jamii)
Mimi naona mbali (mimi naona mbali)
Kwa darubini kali (kwa darubini kali)

Mimi ni msanii (mimi ni msanii)
Kioo cha jamii (kioo cha jamii)
Mimi naona mbali (mimi naona mbali)
Kwa darubini kali (kwa darubini kali)
Umeitoa wapi aisee
😂😂lakini verse zake hazina tofauti na rap cartoon ya kina inspector haroun na gwangwe mob,that is why mziki umemtupa na kuidharirisha bangi.
 
Dah umenikumbusha mbali sana hilo tukio ulikuwa ni promo ya kumpaisha afande sele kitu ambacho wasanii wengine hawakujua kabisa

Promo ilianzia kwenye wimbo wa darubini wimbo ukawa nzuri sana wajanja wa mjini wakaa chini wakasema tunampaisha vipi afande sele, likaandaliwa shindano hili nakumbuka diamond jubilee ilitapika watu maana mpambano ulikuwa mkali pia kipindi hicho bongo ndio kwanza mambo ya burudani tunajifunza

Kiukweli mshindi pale alistahili awe prof jay ila kwakua walipanga wao nani wampe promo wakampa afande sele

Hili pambano ndio lilifanya prof na solo wasishiriki video y mtazamo walipogundua afande aliwasnitch wakamzilia video yake
 
Afande na P.Jay ndio ilikuwa bato kali.. yeyote kati yao alifaa.
Ila Afande zile rasta ni Mistari tupu.
 
Wakati ule AfandeSele alikuwa juu ya wote!
Mimi nilikuwa form 5 nakumbuka kila kitu.

Kwnye mtazamo kuna mstari anasema " mimi naogopa sana tunavyotukanana"

"Isije huko mbele tukachinjana"

Wakati huo alikuwa amechinjwa Steve 2k jamaa akaonekana kama nabii!

Afande alikuwa kileleni bhana, watu waliridhika japo haiwezekani wote wafurahie, fid q enzi hizo Alikuwa anatumbua tu chunusi!
Kwani huyu na yule ni ya mwaka gani?
 
Mkuu kuna Mahala hapa napingana na maneno yako, Nyimbo ya Mtazamo ilirekodiwa baada ya mashindano kuisha na ilikua ni kuthibitishia mashabiki kwamba hawana beef tena kati yao.

Na swala la kutoonekana kwenye video ilikua bahati mbaya tu kwa Prof Jay ndio alishindwa fika location siku hiyo maana alikua kikazi Tanga nadhani.

Solo Thang alikuepo na video walishoot morogoro ingia YouTube kaangalie vizuri tena mkuu.
Dah umenikumbusha mbali sana hilo tukio ulikuwa ni promo ya kumpaisha afande sele kitu ambacho wasanii wengine hawakujua kabisa

Promo ilianzia kwenye wimbo wa darubini wimbo ukawa nzuri sana wajanja wa mjini wakaa chini wakasema tunampaisha vipi afande sele, likaandaliwa shindano hili nakumbuka diamond jubilee ilitapika watu maana mpambano ulikuwa mkali pia kipindi hicho bongo ndio kwanza mambo ya burudani tunajifunza

Kiukweli mshindi pale alistahili awe prof jay ila kwakua walipanga wao nani wampe promo wakampa afande sele

Hili pambano ndio lilifanya prof na solo wasishiriki video y mtazamo walipogundua afande aliwasnitch wakamzilia video yake
 
Dah umenikumbusha mbali sana hilo tukio ulikuwa ni promo ya kumpaisha afande sele kitu ambacho wasanii wengine hawakujua kabisa

Promo ilianzia kwenye wimbo wa darubini wimbo ukawa nzuri sana wajanja wa mjini wakaa chini wakasema tunampaisha vipi afande sele, likaandaliwa shindano hili nakumbuka diamond jubilee ilitapika watu maana mpambano ulikuwa mkali pia kipindi hicho bongo ndio kwanza mambo ya burudani tunajifunza

Kiukweli mshindi pale alistahili awe prof jay ila kwakua walipanga wao nani wampe promo wakampa afande sele

Hili pambano ndio lilifanya prof na solo wasishiriki video y mtazamo walipogundua afande aliwasnitch wakamzilia video yake
Acha uongo kwenye video solo yupo .prof j hakuepo kwavile wakat wana shoot video prof j alikua mwanza kwenye show ndo akashindwa kuwepo kwenye video
 
Mkuu kuna Mahala hapa napingana na maneno yako, Nyimbo ya Mtazamo ilirekodiwa baada ya mashindano kuisha na ilikua ni kuthibitishia mashabiki kwamba hawana beef tena kati yao.

Na swala la kutoonekana kwenye video ilikua bahati mbaya tu kwa Prof Jay ndio alishindwa fika location siku hiyo maana alikua kikazi Tanga nadhani.

Solo Thang alikuepo na video walishoot morogoro ingia YouTube kaangalie vizuri tena mkuu.
zile picha ziliungwa ungwa kutoka video nyingine
 
zile picha ziliungwa ungwa kutoka video nyingine
Hapana mkuu napingana na wewe kwenye hili, Solo alikuepo kwenye video na wameshoot pamoja na Afande siku moja hamna clip zilizoungwa ungwa kutoka video nyingine

Nakushauri nenda YouTube kaangalie tena video tizama verse ya pili uone Solo na Afande wako pamoja wanarap mistari ya Prof Jay Ku cover pengo lake kwakuwa hakuwepo videoni.
 
Nashukuru umewasaidia vijana, walitaka tupigizane kelele tu

Japo najua wengine "wabishi kufa" watakubishia tu watakwambia Wikipedia hata wewe ukitaka unaweza edit.

Ila ukweli unabaki pale pale, afande sele alikuwa mkali wa rhymes kwa darubini kali.

Wew n legend humu ila nastaajabu unavyopotoshwa na huyo jamaa!
Katika kinyang'anyiro Msindi alikua amesimama na wimbo wa mtazamo na ndio huo uliompa ufalme.
Ile siku anatangazwa jukwaan kua ameshinda ufalme wa rhymes akapanda jukwaan akautambulisha wimbo mpya ambao ni darubini kali.. Na hata ukiangalia darubin kali ulikua hitsong kwa sababu ya ule ushindi wa Afande
Solo thang alikua analalamika akisema kua wimbo wa mtazamo wao ( Solo na Jay ) ndio wameubeba sana ule wimbo ila Msindi mule wamemfunika
 
Back
Top Bottom