MWANAHARAMU
JF-Expert Member
- Dec 12, 2021
- 5,350
- 13,622
Ulipo quote Sheria y Uhamiaji Cap 54, S.4(3) uliqoute Sheria ya kusapoti hoja yako. Kila mtu anajua ni jeshi kamili ila wamejicomouflage kutokana na masuala ya diplomasia na siasa za bongo.Kifungu hicho kinazungumzia kwamba idara itatambulika kama 'kikosi' na sio 'jeshi kamili' kama unavyotaka kuaminisha.
Kuna tofauti kubwa kati kikosi na jeshi mkuu.
Sheria haisomwi kama gazeti mkuu bali sheria imeandikwa kwa minajili ya kufanyiwa 'interpretation' ndiyo maana kazi ya muhimili wa Mahakama ni kutafsiri sheria sio kuisoma tu kama ilivyoandikwa.
Inatofauti gani na Tanzania Police Force?Mkuu FBI ni Idara ya ujasusi wa ndani ya Marekani.
Soma hapa kupitia Wikipedia.
The Federal Bureau of Investigation (FBI) is the domestic intelligence and security service of the United States and its principal federal law enforcement agency. An agency of the United States Department of Justice, the FBI is a member of the U.S. Intelligence Community and reports to both the attorney general and the director of national intelligence.[3] A leading American counterterrorism, counterintelligence, and criminal investigative organization, the FBI has jurisdiction over violations of more than 200 categories of federal crimes.[4][5
Ni sawa na FSB ya Russia na MI5 ya UK, ujasusi wa ndani ya nchi.
Kikosi ni sehemu tu ya kitu fulani kilichokamilika.Tupe tofauti ya kikosi na jeshi
Wakati unatupa tofauti hiyo Kuna Wazee wa Tpd wanasema vingine ni vikosi, wakati wengine wanadai ni jeshi kama ulivyo tetea huko juu.
Wewe ni system kabisa Mzee wetuDGTIS hawezi kumpa maelekezo IGP , kwenye vyombo vya ulinzi na Usalama Ki seniority akitoka mkuu wa majeshi CDF anaefata ni IGP kwahiyo IGP ni mkubwa kwa DGTIS, hata kwenye vikao vya Rais huwa wanajipanga ki seniority akitoka CDF anafata IGP.
Isipokua kazi ya TIS ni kutafuta taarifa kiutaratibu hawaruhusiwi kukamata ukamataji wowote wanaoufanya ni kinyume na sheria , kwahiyo baada ya kutafuta taarifa ndo zinatolewa kwenye vyombo vingine vya ulinzi ili zifanyiwe kazi ikiwepo kukamata ikiwa itahitajika, kwahiyo DGTIS hamna namna anaweza kumpa maelekezo IGP, yeye atapeleka taarifa kwa Rais , alafu Rais ndo ataangalia hayo maelekezo ayashushe kwa mkuu yupi wa vyombo vya usalama kama CDF, IGP au CGP
Kwa hiyo majasusi wetu Tiss Ina uwanda mdogo?Kikosi ni sehemu tu ya kitu fulani kilichokamilika.
Mfano unaposema 'TRA task force ' maana yake ni kikosi kazi kilichoundwa kutoka taasisi inayojitegemea kwa madhumuni fulani tu.
Jeshi linajumuisha uwanda mpana wakati kikosi kimejikita kwenye mawanda madogo.
Immigration hata kwa layman anajua kabisa ni jeshi na limekaa katika muundo wa kijeshi kama ilivyo jeshi la polisi isipokuwa lenyewe limejikita kwenye kudhibiti Uhamiaji haramu hasa kupitia mipakani.Ulipo quote Sheria y Uhamiaji Cap 54, S.4(3) uliqoute Sheria ya kusapoti hoja yako. Kila mtu anajua ni jeshi kamili ila wamejicomouflage kutokana na masuala ya diplomasia na siasa za bongo.
Ila Mimi nilipo quote marekebisho ya Sheria ya Tiss, ghafra unasema haisomwi kama gazeti.
Nakusubiri tupate tofauti ya kikosi na jeshi
Umetaka nikupe tofauti kati ya kikosi na jeshi, nimefanya hivyo sasa badala ukiri kwanza kama umekubaliana na jawabu ndiyo uulize swali jingine wewe umeuliza swali wakati sijajua kama umeelewa ama lah.Kwa hiyo majasusi wetu Tiss Ina uwanda mdogo?
Kuliko jeshi la polisi, Uhamiaji, Zimamoto?
Umekula mchana kweli?
Hapana hili jibu halijakaa sawa.Immigration hata kwa layman anajua kabisa ni jeshi na limekaa katika muundo wa kijeshi kama ilivyo jeshi la polisi isipokuwa lenyewe limejikita kwenye kudhibiti Uhamiaji haramu hasa kupitia mipakani.
Umetaka nikupe tofauti kati ya kikosi na jeshi, nimefanya hivyo sasa badala ukiri kwanza kama umekubaliana na jawabu ndiyo uulize swali jingine wewe umeuliza swali wakati sijajua kama umeelewa ama lah.
Kwa hiyo majasusi wetu Tiss Ina uwanda mdogo?
Kuliko jeshi la polisi, Uhamiaji, Zimamoto?
Umekula mchana kweli?
Hoja ni kwamba ni kikosi ama jeshi?Hapana hili jibu halijakaa sawa.
Ni sehemu ya kitu kilicho kamilika ndio maana yako ya kikosi.
Hii umelitoa kwenye Sheria gani?
Tiss haijamilika kwa mujibu ya tafsiri yako ya vikosi, haya tuambie imejibananisha sehemu gani?
La mwisho Task force ya Tra Huwa inaundwa na wajumbe wa kijeshi, kijasusi na kiraia Ili kukamilisha lengo lililokusudiwa
CDF hukaa kulia kwa wote sheria za kimataifa mkuu wa majeshi hukaa kulia na wa chini yake hukaa kushoto kwake kwani CDF ni mkubwa sana ana ndege za kivita makombora vifaru na jeshi lake ni kubwa kwa idadi hawezi kuwa level sawa na wengineHata magereza ki protocol wanatakiwa wawe juu ya TIS maana katiba hadi muda huu haitambui TIS kama jeshi majeshi ya ulinzi na usalama yanayotambuliwa kwenye katiba ni Jwtz, Polisi, Magereza na Jeshi la kujenga taifa, kwahiyo ni basi tu huwa wanavunja protocol ilitakiwa aanze 1.CDF , 2. IGP, 3.CGP 4. DGTIS .
Ila huwa namuona anakaa wa 3 pembeni ya IGP sijui huwa wanatumia protocol gani
Kila jeshi wana Hospital zao na kitengo cha Usalama sasa kipo kwenye majeshi yote TSS sasa ni kama wapo ccm zaidiHapa umechemka, Polisi, Magereza na uhamiaji ni majeshi yapo chini ya wizara ya mambo ya ndani.
Huko kote idara ya usalama wa Taifa inaweza kuingia kwa njia zake na kupelekea hata kumng'oa IGP, CGP au Kamishna General wa Uhamiaji.
Mabadiriko mengi nyeti unayoyaona ni kazi ya Tiss.
Ukitaka kujuwa Tiss ndio engene ya nchi hata matibabu ya viongozi inatumika hospitali yao Mzena ambayo imewezeshwa kila kitu na huduma zake ni bora sana.
Hao siyo jeshi wao ni idara na wakifanya makosa hukamatwa na Polisiccm wenzaoHoja ni kwamba ni kikosi ama jeshi?
Suala la kukamilika sio sehemu ya hoja iliyopo.
Hata kikosi kazi cha 'kukusanya mapato' kinaweza kuwa kimekamilika kuanzia boss wao hadi mtu wa chini lakini haiwezi kuwa jeshi kwasababu tu ni kikosi kilichokamilika.
Nimekueleza wazi hata wao Tiss hawajiiti jeshi la usalama wa Taifa bali ni idara ya usalama wa Taifa na hata Rais kwenye utambulisho wake wakati wa kuvunjwa bunge aliwatambulisha wengine kama wakuu wa jeshi lakini mwingine alitambulishwa kama mkuu wa idara.
Kwamba wakuu wa protokali nao hawajui kazi yao?
Mkuu wa majeshi yaani CDF yeye ni Boss wao wote kwani ndiye mwenyekiti wa vyombo vya Ulinzi na Usalama kote Dunia huwa hivyoNatamani ungejua kwanini mmoja anaitwa 'Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na usalama' na mwingine anaitwa 'Mkurugenzi Mkuu' wa 'Idara' hapo ungekuwa na uwezo wa kung'amua mambo kiwepesi.
We jamaa ni kichwa ngumu sana.Hoja ni kwamba ni kikosi ama jeshi?
Suala la kukamilika sio sehemu ya hoja iliyopo.
Hata kikosi kazi cha 'kukusanya mapato' kinaweza kuwa kimekamilika kuanzia boss wao hadi mtu wa chini lakini haiwezi kuwa jeshi kwasababu tu ni kikosi kilichokamilika.
Nimekueleza wazi hata wao Tiss hawajiiti jeshi la usalama wa Taifa bali ni idara ya usalama wa Taifa na hata Rais kwenye utambulisho wake wakati wa kuvunjwa bunge aliwatambulisha wengine kama wakuu wa jeshi lakini mwingine alitambulishwa kama mkuu wa idara.
Kwamba wakuu wa protokali nao hawajui kazi yao?
Tupe Sheria inayompa uenyekiti.Mkuu wa majeshi yaani CDF yeye ni Boss wao wote kwani ndiye mwenyekiti wa vyombo vya Ulinzi na Usalama kote Dunia huwa hivyo
Wana kinga ya kutoshtakiwa wakiwa kazini kumbuka.Hao siyo jeshi wao ni idara na wakifanya makosa hukamatwa na Polisiccm wenzao
Watu hawaelewi tofauti ya Intelligence na InvestigationInatofauti gani na Tanzania Police Force?
Ni chombo Cha uchunguzi kama walivyo police wetu.
Kumbuka Police wa bongo wana intelejensia kubwa kabisa hapa bongo na Mkurugenzi wa intelejensia
Na wanahusika kwa kila kitu ikiwemo Sheria ya ugaidi wa ndani, Sheria ya utakatishaji fedha, intelejensia
Vipi nao ni chombo Cha kijasusi?
Ongeza nyama tujifunze mkuuWatu hawaelewi tofauti ya Intelligence na Investigation
Police wanafanya investigation.
But Kuna
Security Intelligence
Political Intelligence
Economic Intelligence
Social Intelligence
Sasa police wanaweza fanya hayo yote?