Nani mkubwa kati ya Mkurugenzi wa TISS na IGP?

Ongeza nyama tujifunze mkuu
Investigation
Kuchunguza matukio ya kihalifu yaliyotokea kwa lengo la kupata ushahidi na kuwafikisha wahusika kwenye vyombo vya sheria.
Kushughulikia uhalifu uliotokea

Intelligence
Kukusanya, kuchambua, na kutafsiri taarifa kwa ajili ya kufanya maamuzi ya kimkakati.
Kuzuia matishio kabla hayajatokea


Intelligence ni kinga (defensive shield), Investigation ni jibu (reaction).
 
Tukiwa fair bila kumuonea mtu.
Police wanafanya vyote Investigation na Intelligence.

Investigation hasa kwenye matukio yaliyo kwisha tokea uhalifu na mengineyo.

Intelligence
Ndio maana wamededicate kitengo kuzima hasa hii political intelligence na Social wapo vizuri.
 
Neno 'jeshi' kwa kiingereza huitwaje kama ungeambiwa uandike kwa kiingereza maelezo yako.
 
OKAY.
Nakuongezea nyama section 4(3) The Service shall operate as one of the defence and security organs under thegeneral superintendence of the President.

Hii maana yake ni nini?
JWTZ likifanya uasi kwa kumuasi Rais itakuwa vita kati ya JWTZ na TISS
 
Hapa mkuu umekuja sehemu patamu sana. Kuna mbwiga humu ilikuwa inakataa.
Umetisha kula Tano, wewe unajua mengi.
Upo vizuri
 
Hivi yanayoendelea sasa VITA VYA KIUCHUMI Je, JWTZ wanaweza kupigana vita hivyo?
Je, VITA VYA KISIASA Police wanaweza kupigana?

Naomba watu wanipatie majibu
Polisiccm wana kitengo cha Usalama na pia jwtz wana kitengo cha Usalama tena kikubwa sana vyote hufanya kazi kwa ushirikiano na TSS ingawa TSS wao mda mwingi wapo na ccm zaidi
 
Kwa sasa wote wanawatumikia ccm zaidi ya wananchi walipa kodi
 
Neno 'jeshi' kwa kiingereza huitwaje kama ungeambiwa uandike kwa kiingereza maelezo yako.
Ujue hata FFU wao hujiita jeshi ingawa kuna military ambao huko uingereza ni jeshi la Ulinzi wa Nchi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…