Nani mkubwa kati ya Mkurugenzi wa TISS na IGP?

Mkubwa ni CDF
 
1-CDF wa jwtz
2-IGP wa Polisiccm
3-DGI wa idara ya Usalama
Wengine yaani wa
Zimamoto
Jkt
Uhamiaji
Magereza
Ni level moja tu kwani hawapo na kazi kubwa kama ya hao namba moja hadi tatu
 
Uliona wapi akimpa maagizo?
 
IGP ni mkubwa...TISS ni ki segment ndani ya jeshi la Polisi...ki segment kinacho jitegemea ambacho kinaripoti moja kwa moja kwa number 1...ambae ndie sponsor

​
 
Idara tofauti....
Idara ya usalama wa taifa ipo chini ya Rais. Kiubinadamu Mkurungezi wa TISS yupo karibu saana na boss wa IGP....kama IGP anajipenda anapaswa tu amuheshimu mkurungezi....

Ni sawa na PA na Deputy kwenye maofisi.
 
Idara tofauti....
Idara ya usalama wa taifa ipo chini ya Rais. Kiubinadamu Mkurungezi wa TISS yupo karibu saana na boss wa IGP....kama IGP anajipenda anapaswa tu amuheshimu mkurungezi....

Ni sawa na PA na Deputy kwenye maofisi.
😁😁
 
1-CDF wa jwtz
2-IGP wa Polisiccm
3-DGI wa idara ya Usalama
Wengine yaani wa
Zimamoto
Jkt
Uhamiaji
Magereza
Ni level moja tu kwani hawapo na kazi kubwa kama ya hao namba moja hadi tatu
JKT ni JWTZ hiyo...

Kamandi za JWTZ
1. Land forces command
2. Airforce Command
3. Navy Command
4. National service Command (JKT)
5. Reserve Force Command (Mgambo)
6. Defence HQ Command
 
Tiss ni Chombo cha kiraia wala sio jeshi full stop
 
Mkuu wa jeshi la Polisi ni mtekelezaji wa sheria za nchi! Law enforcement unit is second largest unit in a country baada ya Jeshi! Huyo Mombo hawezi mpa maagizo IGP na anaongoza idara ambayo mkuu wake ni Rais!
Mnapotosha
 
Sio jeshi ndio ndo maana hata Kumkamata mtu walikua hawawezi mpaka watoe taarifa kwa police juzi tu ndo imetungwa sheria ya kukamata
Mnapotosha..Hilo ni Jeshi kama majeshi mengine, wanaenda vitani kama kawaida, tena wanashirikiana kwa karibu mno na MINT kuliko ilivyo kwa Polisi. Depo yao ni full combat, Polisi cha mtoto.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…