Nani mkubwa kati ya Mkurugenzi wa TISS na IGP?

Kwenye hierachy ya vyombo kwa nchi yetu TISS inafuata baada ya Polisi. Mkurugenzi wa hiyo idara ni equivalent na CP wa Polisi.
Ndiyo maana CP wa Polisi Diwani Athumani aliwahi kuwa Mkurugenzi wa hiyo idara.
Wakuu wengi wa vyombo ukiondoa TPDF level zao ni sawa na Commissioners of Police (CP's) rejea CP Andengenye ambaye alienda kuwa CGF Jeshi la Zimamoto na uokoaji, CP Hamduni ambaye alienda kuwa Mkurungenzi wa PCCB.
Hivi logic ya cgf kuwa jeshi ni nini?,wakipewa tu mafunzo ya uzimaji moto n uokoaji si inatosha kwani ni lazima liwe jeshi
 
Huenda mamlaka husika ziliona kuna haja ya kuwa hivyo tofauti na mwanzo zilivyokuwa chini ya halmashauri
 
Kwenye hierachy ya vyombo kwa nchi yetu TISS inafuata baada ya Polisi. Mkurugenzi wa hiyo idara ni equivalent na CP wa Polisi.
Ndiyo maana CP wa Polisi Diwani Athumani aliwahi kuwa Mkurugenzi wa hiyo idara.
Wakuu wengi wa vyombo ukiondoa TPDF level zao ni sawa na Commissioners of Police (CP's) rejea CP Andengenye ambaye alienda kuwa CGF Jeshi la Zimamoto na uokoaji, CP Hamduni ambaye alienda kuwa Mkurungenzi wa PCCB.
Mkuu, rejea karibu zote kwenye sheria wangesema ni per incurium, yaani sio sahihi kwa kuwa zilifanyika kimakosa.

Diwani Athumani aliteuliwa kuwa mkurugenzi, sio kwa kuwa alikuwa ni CP bali kwa kuwa alikuwa ni mtu wa TISS ingawa bado ilileta mtafaruku maana juu kulikuwa na wakubwa wengine kumzidi.

Andengenye alipewa ukuu wa jeshi la zimamoto, ambalo lilianzishwa kwa ajili ha kuondoa tu ugomvi kati yake na Changonja wakiwa wanaugombania u-IGP.

Nachojaribu kusema ni kuwa hakuna koneksheni yoyote ile kusema level za wakuu wa Idara za ulinzi ni sawa na ukamishna wa Polisi. Ni basi tu JPM aliamua kuvuruga vuruga mambo bila kujua kuwa alikuwa anasababisha utendaji kazi uwe mgumu kwenye hizo idara.
 
Nauliza tu maana kiutendaji Mkurugenzi wa TISS anampa maagizo mengi IGP kuliko IGP anavyompa maagizo Mkurugenzi wa TISS.

Inakuwaje mtu katika utambulisho anatangulia kutambulishwa IGP?

Huu ni ubovu wa katiba au Kuna changamoto juu ya uanzishwaji wa TISS ?

Wanasheria nielewesheni!!
IGP ana jeshi na silaha vitu ambavyo TISS hana!
 
Nauliza tu maana kiutendaji Mkurugenzi wa TISS anampa maagizo mengi IGP kuliko IGP anavyompa maagizo Mkurugenzi wa TISS.

Inakuwaje mtu katika utambulisho anatangulia kutambulishwa IGP?

Huu ni ubovu wa katiba au Kuna changamoto juu ya uanzishwaji wa TISS ?

Wanasheria nielewesheni!!
Kwa bongo hii inayoendeshwa na kishikaji na, samia, mkubwa, hapo ni Paul makonda, anaweza, kuwachachafya wote, maana, walipo, ni, sycophants tu wa, samia, wala, hawajielewi, ingekuwa, TOSS, ile ya, nyerere, boss wa, TISS, ni mkubwa, zaidi, kwa sababu, info na, duties, zake, ndio, zinalinda, hata, Hilo jeshi, yeye yupo kwa, Siri kunusa, nusa,kufanya, ujasusi, ndani ya, nchi, kwenye maatasisi, mpaka, nje ya, nchi
 
Nauliza tu maana kiutendaji Mkurugenzi wa TISS anampa maagizo mengi IGP kuliko IGP anavyompa maagizo Mkurugenzi wa TISS.

Inakuwaje mtu katika utambulisho anatangulia kutambulishwa IGP?

Huu ni ubovu wa katiba au Kuna changamoto juu ya uanzishwaji wa TISS ?

Wanasheria nielewesheni!!
Anayeongoza kuua na kuteka watu ndiyo mkubwa
Mafwele ni muuaji aliyepewa JAMBIA NA MAJALIWA
 
Mkuu, rejea karibu zote kwenye sheria wangesema ni per incurium, yaani sio sahihi kwa kuwa zilifanyika kimakosa.

Diwani Athumani aliteuliwa kuwa mkurugenzi, sio kwa kuwa alikuwa ni CP bali kwa kuwa alikuwa ni mtu wa TISS ingawa bado ilileta mtafaruku maana juu kulikuwa na wakubwa wengine kumzidi.

Andengenye alipewa ukuu wa jeshi la zimamoto, ambalo lilianzishwa kwa ajili ha kuondoa tu ugomvi kati yake na Changonja wakiwa wanaugombania u-IGP.

Nachojaribu kusema ni kuwa hakuna koneksheni yoyote ile kusema level za wakuu wa Idara za ulinzi ni sawa na ukamishna wa Polisi. Ni basi tu JPM aliamua kuvuruga vuruga mambo bila kujua kuwa alikuwa anasababisha utendaji kazi uwe mgumu kwenye hizo idara.
Concern yangu ni kwamba haijalishi unamuhamisha mtumishi kwasababu ipi, ila post unayompeleka kikawaida huwa inakuwa na uwiano wa kimamlaka na idara alipotoka labda tu kama uhamisho huo ni adhabu.
Unakumbuka yule CGP aliyetokea TPDF lakini mnadhimu aliyekuwepo wakati ule akapelekwa Ubalozi? Haikufanyika vile kwa bahati mbaya maana ingekuwa ni utashi wa kiongozi basi ingefanyika kinyume chake.
 
Nauliza tu maana kiutendaji Mkurugenzi wa TISS anampa maagizo mengi IGP kuliko IGP anavyompa maagizo Mkurugenzi wa TISS.

Inakuwaje mtu katika utambulisho anatangulia kutambulishwa IGP?

Huu ni ubovu wa katiba au Kuna changamoto juu ya uanzishwaji wa TISS ?

Wanasheria nielewesheni!!
Kwani wewe mwenye ujuzi mkubwa wa itifaki twambie kwa Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Itifaki yake inasemaje kwa hao Viongozi wawili?
 
TISS: kazi-tete
PT:Kazi-ngumu

IGP ni mkubwa Kwa Dg-tiss.
 
Kwenye hierachy ya vyombo kwa nchi yetu TISS inafuata baada ya Polisi. Mkurugenzi wa hiyo idara ni equivalent na CP wa Polisi.
Ndiyo maana CP wa Polisi Diwani Athumani aliwahi kuwa Mkurugenzi wa hiyo idara.
Wakuu wengi wa vyombo ukiondoa TPDF level zao ni sawa na Commissioners of Police (CP's) rejea CP Andengenye ambaye alienda kuwa CGF Jeshi la Zimamoto na uokoaji, CP Hamduni ambaye alienda kuwa Mkurungenzi wa PCCB.
Kwa hiyo unataka kusema diwani baada yakuondlewa tiss Kama hajastaafu anaweza kurudi polisi kuwa cp we vp ule ulikuwa uteuzi maana yake kuwa dgtiss tayari anakuwa na lenki ya igp.igp nayo ni utezi
 
Kwahiyo tunavunja katiba katika utendaji?

Kwanini RSO hawi chini ya RPC kikawaida?

Kuna muda RSO anamzunguka mpaka RC wakati ndiye bosy wake

Hii imekaaje ?
Ndio nashangaa maana Rso ndio katibu wa vikao vya kamati ya ulinzi na usalama mkoa
 
Back
Top Bottom