Kwani tiss hawana hizo smg na silaha nyinginezo?IGP ana jeshi na silaha vitu ambavyo TISS hana!
Wapo level sawa ingawa IGP na Polisiccm wana kimbele mbele cha kuwaonea kuwanyanyasa chadema Mama Kaburu mkoloni toka Zanzibar humuona kama ngao yake, mkuu wa JWTZ yeye ana Ndege za kivita makombora vifaru na jeshi lake ni kubwa kwa idadi yeye ni boss wao wote kwani wao wana pistol na SMG tu na kwa idadi siyo wengi kama jwtzNauliza tu maana kiutendaji Mkurugenzi wa TISS anampa maagizo mengi IGP kuliko IGP anavyompa maagizo Mkurugenzi wa TISS.
Inakuwaje mtu katika utambulisho anatangulia kutambulishwa IGP?
Huu ni ubovu wa katiba au Kuna changamoto juu ya uanzishwaji wa TISS ?
Wanasheria nielewesheni!!
Wana pistol SMG na bunduki zingine za kawaida, Ukumbuke Polisiccm nao wana chombo cha usalama kinafanya kazi za kiusalama kina mkurugenzi wake kinaitwa kitengo cha intelijensia na pia JWTZ kipo kitengo cha Usalama kina mkurugenzi wake na kinafanya kazi kwa kushirikiana na TSS hivyo mfumo wa Usalama upo Magereza, uhamiaji na sehemu zingine nyingi hususani BOT TRA nkK
Kwani tiss hawana hizo smg na silaha nyinginezo?
Polisiccm kwa upande wa Nidhamu ya kijeshi wapo chini sana polisiccm wale wa chini hula Rushwa nyingi kupelekea kutowaheshimu boss zaoKwahiyo tunavunja katiba katika utendaji?
Kwanini RSO hawi chini ya RPC kikawaida?
Kuna muda RSO anamzunguka mpaka RC wakati ndiye bosy wake
Hii imekaaje ?
Mkuu wa majeshi ndiyo mwenyekiti wa vyombo vya ulinzi na UsalamaKiptotokali IGP ni mkubwa ila impact ya kiutendaji Kwa wote DG ni mkubwa.
Polisiccm wana mpangilio wa hovyo sanaUma uhakika RSO anawajibika kwa Mkuu wa mkoa?
Huyo na IGP wapo level sawaCommissioner General of Prisons, Mkuu wa jeshi la Magereza
Umemaliza mkuu, tatizo story zinakuwa nyingi huko mitaani watu wanaaminishwa tofauti na uhalisia. Hata wakikaa tu utaona nani yupo kushoto kwa mwenzake, hiyo inatosha kuonesha nani ni nani.Umenena vyema ila hiyo ya dhana kwamba mmoja yuko juu ya mwenzake wewe umeitoa wapi?
Kwamba TISS wana weledi wa stratejia za kivita kuliko Majenerali waliopiganisha vita kadhaa ndani na nje ya nchi?
Kwamba TISS wanaelewa zaidi stratejia za kivita kwenye mambo infatry, air force na navy kuliko walio bobea katika hizo field na kupiga kozi mbalimbali za ndani na nje ya nchi?
Kwamba TISS wana weledi zaidi wa kutuliza ghasia kuliko wanaocheza na CS kila kukicha?
Hivi hiyo TISS unayodai iko juu kuliko vyombo ulivyoilinganisha navyo unajua ilianzaje na ilianza mwaka gani?
Tusimawge mchele kwenye kuku wengi ila jua tu, under no circumstance TISS Inaweza kuthubutu kuvipanda kichwani hivyo vyombo ulivyovitaja.
Huwa wana heshimiana na kushirikiana ili mambo yaende na walioweka hiyo hierrachy wanajua zaidi kuliko wewe unayelishwa story za kijiweni
DGIS mkubwa. Anaweza kumzingua IGP akapigwa chini! Pia anaweza akawepo IGP ambaye pia ni yupo TISS.Nauliza tu maana kiutendaji Mkurugenzi wa TISS anampa maagizo mengi IGP kuliko IGP anavyompa maagizo Mkurugenzi wa TISS.
Inakuwaje mtu katika utambulisho anatangulia kutambulishwa IGP?
Huu ni ubovu wa katiba au Kuna changamoto juu ya uanzishwaji wa TISS ?
Wanasheria nielewesheni!!
Marekebisho ya Sheria kwa Tiss umeyasoma?DGTIS hawezi kumpa maelekezo IGP , kwenye vyombo vya ulinzi na Usalama Ki seniority akitoka mkuu wa majeshi CDF anaefata ni IGP kwahiyo IGP ni mkubwa kwa DGTIS, hata kwenye vikao vya Rais huwa wanajipanga ki seniority akitoka CDF anafata IGP.
Isipokua kazi ya TIS ni kutafuta taarifa kiutaratibu hawaruhusiwi kukamata ukamataji wowote wanaoufanya ni kinyume na sheria , kwahiyo baada ya kutafuta taarifa ndo zinatolewa kwenye vyombo vingine vya ulinzi ili zifanyiwe kazi ikiwepo kukamata ikiwa itahitajika, kwahiyo DGTIS hamna namna anaweza kumpa maelekezo IGP, yeye atapeleka taarifa kwa Rais , alafu Rais ndo ataangalia hayo maelekezo ayashushe kwa mkuu yupi wa vyombo vya usalama kama CDF, IGP au CGP
SijuiMarekebisho ya Sheria kwa Tiss umeyasoma?
kwa katiba yetu anayependwa na rais ndiyo mkubwa. Unakumbuka kipindi cha jiwe Makonda alikuwa ndiyo anakaimu nafasi ya RaisNauliza tu maana kiutendaji Mkurugenzi wa TISS anampa maagizo mengi IGP kuliko IGP anavyompa maagizo Mkurugenzi wa TISS.
Inakuwaje mtu katika utambulisho anatangulia kutambulishwa IGP?
Huu ni ubovu wa katiba au Kuna changamoto juu ya uanzishwaji wa TISS ?
Wanasheria nielewesheni!!
Yapitie mkuu:Sijui
Umenena vyema ila hiyo ya dhana kwamba mmoja yuko juu ya mwenzake wewe umeitoa wapi?