Spiritual Peregrinus
JF-Expert Member
- Feb 1, 2020
- 223
- 442
Usipende sana kutumia Chatgpt itakuja kukuumbua mbele ya watu wanaojua mambo kuliko hiyo Chatgpt alafu ukirudi kuiuliza itakuomba msamaha kwa kusema ilikosea kukupa taarifa, siyo muda wote inakua sahihi.
Yes, niliwahi kutoa mapendekezo hapa wakati wa utawala wa hayati JPM:Tunaomba link ya muongozo uliotoa
TissNauliza tu maana kiutendaji Mkurugenzi wa TISS anampa maagizo mengi IGP kuliko IGP anavyompa maagizo Mkurugenzi wa TISS.
Inakuwaje mtu katika utambulisho anatangulia kutambulishwa IGP?
Huu ni ubovu wa katiba au Kuna changamoto juu ya uanzishwaji wa TISS ?
Wanasheria nielewesheni!!
1.DGIS hii ndio Taasisi inapata siri zote za nchi kutoka idara zote za nchi hii including private sector hawa jamaa wapo ulipo it will depend na vile unawatafasiri.1. CDF
2. IGP
3. DGIS
4. Makamishna wa:-
a. Magereza
b. Zimamoto
c. Uhamiaji
Ufanunuzi:
Kwa wale mnaouliza maagizo ya kiamri baina ya wakuu wa vyombo vya ulinzi na usalama. Jibu ni kuwa HAKUNA itifaki inayoruhusu mkuu wa chombo fulani tofauti kumpa amri mkuu wa chombo kingine cha usalama.
Kiongozi wao mkuu ni rais wa Nchi, na wanafanya kazi kwa ushirikiano na mashauriano kupitia mabaraza, kamati na vikao maalumu vya kiusalama.
Amri ya kimamlaka kwenye vyombo vya ulinzi hutolewa toka ngazi za juu hadi ngazi za chini kwenye chombo husika tu na si nje ya chombo hicho.
Mfano: CDF hana mamlaka ya "kumuamuru" IGP bali watashauliana.
Ndiyo maana wakuu wa vyombo vingine vya ulinzi na usalama wanaanza na title ya 'Mkuu wa jeshi la.....' na sio 'Mkurugenzi Mkuu' wa....Umesoma marekebisho ya Sheria Yao ya mwaka 2023?
Idara ya usalama Sasa ni jeshi kamili.
Tena la ulinzi na Usalama
Yaani wanapiga kote kote
Vyote sawa maana wanafanya kazi pamoja vitengo tofautiNauliza tu maana kiutendaji Mkurugenzi wa TISS anampa maagizo mengi IGP kuliko IGP anavyompa maagizo Mkurugenzi wa TISS.
Inakuwaje mtu katika utambulisho anatangulia kutambulishwa IGP?
Huu ni ubovu wa katiba au Kuna changamoto juu ya uanzishwaji wa TISS ?
Wanasheria nielewesheni!!
upo sahihi ingawa kiuhalisia dgtis ana nguvu sana kuliko igpDGTIS hawezi kumpa maelekezo IGP , kwenye vyombo vya ulinzi na Usalama Ki seniority akitoka mkuu wa majeshi CDF anaefata ni IGP kwahiyo IGP ni mkubwa kwa DGTIS, hata kwenye vikao vya Rais huwa wanajipanga ki seniority akitoka CDF anafata IGP.
Isipokua kazi ya TIS ni kutafuta taarifa kiutaratibu hawaruhusiwi kukamata ukamataji wowote wanaoufanya ni kinyume na sheria , kwahiyo baada ya kutafuta taarifa ndo zinatolewa kwenye vyombo vingine vya ulinzi ili zifanyiwe kazi ikiwepo kukamata ikiwa itahitajika, kwahiyo DGTIS hamna namna anaweza kumpa maelekezo IGP, yeye atapeleka taarifa kwa Rais , alafu Rais ndo ataangalia hayo maelekezo ayashushe kwa mkuu yupi wa vyombo vya usalama kama CDF, IGP au CGP
Uhalisia upi?upo sahihi ingawa kiuhalisia dgtis ana nguvu sana kuliko igp
Kiutendaji dgtis ni kama kivuli cha raisi, file la igp dgtis ndio anafanya vettingUhalisia upi?
FBI sio idara ya ujasusiMkuu ni kweli usemayo lakini DG wa TISS nimeongelea hapo juu kiufundi yupo juu ya IGP kwani kwa mfano ana uwezo wa kumweka kizuizini IGP au pia kiongozi yoyote wa ngazi za juu.
Lakini kama ni yeye uamuzi ukipitishwa ni Deputy na mazee wa MI ndo watamweka DG wao kizuizini kama sio…
Huu ni mfano mojawapo wa kwanini DG wa TISS ni mkubwa kwa IGP.
Mfano mwingine ni kuhusu special operations kama kuwashugulikia magaidi au majasusi wa kitoka nje ambao ni TISS ambao huzisimamia na kutoa maagizo kwa IGP ( behind the scenes) ambae atatoa ushirikiano kwa logistics.
Operesheni kama ya kumkamata mtuhumiwa wa uhaini Mohamed Tamim iliongozwa na TiSS na MI, mzee Mabere Marando akiwemo na si Solomon Liani aliekuwa IGP wa wakati huo. Hivyo ukiona hawa TISS wako kazini fahamu Mkuu wa nchi amepewa brief na ameOK operation na IGP apigiwa simu aandae logistics.
Kwa sheria na katiba TISS yapaswa kugawanywa kwa kuwa na ya ndani (domestic kama FBI) inokuwa chini ya Mambo ya Ndani na TiSS foreign (Kama CIA) ambayo inakuwa chini ya wizara ya mambo ya Nje au hukohuko Utawala Bora au Ofisi ya Raisi.
TISS ni idara muhimu kwa nchi si ya kuichukulia poa na huko nyuma niliwahi kutoa mapendekezo ya muundo wake.
Hivyo ni kweli mabadiliko ya katiba na sheria ni muhimu ili kuhakikisha integrity inakuwepo kwenye Idara na vyombo vingine.
Nipe maana yake mkuuNdiyo hivyo mkuu title ya CDF inasomeka mkuu wa majeshi ya ulinzi na usalama na sio mkuu wa jeshi.
Neno 'forces' lina maana zaidi ya jeshi mkuu na halipo pale kwa bahati mbaya bali kwa maksudi kabisa.
Soma section 4(3) iliyofanyiwa marekebisho 2023 Tanzania Intelligence and Security systemNarudia tena mkuu, TISS sio 'jeshi kamili' hakuna sehemu yoyote ya sheria inayoitambua TISS kama jeshi bali kama idara ama chombo kinachoshughulikia masuala ya usalama kwa kutumia intelijensia.
Mfano sheria ya Uhamiaji namba 54 ya ambayo imefanyiwa marejeo mwaka 2016 inaitambua idara ya uhamiaji kama jeshi kamili kifungu cha 4 (3).
Lakini ukisoma sheria yote ya TISS hakuna mahali inataja TISS kama jeshi kamili.
Hii ni hoja mufilisiNdiyo maana wakuu wa vyombo vingine vya ulinzi na usalama wanaanza na title ya 'Mkuu wa jeshi la.....' na sio 'Mkurugenzi Mkuu' wa....
Mfano kuna Mkuu wa jeshi la wananchi, Mkuu wa jeshi la polisi, mkuu wa jeshi la Magereza na mkuu wa jeshi la uhamiaji kwasababu hayo yote ni majeshi rasmi na kamili kimuundo na kiutendaji.
Lakini upande wa TISS mkuu wao anaitwa 'Mkurugenzi Mkuu' wa 'Idara' ya usalama wa Taifa kwakuwa sio jeshi kamili bali idara.
Ingekuwa ni jeshi kamili angeitwa Mkuu wa jeshi la usalama wa Taifa.
Kama hadi hapa hujanielewa mkuu basi utakuwa umeamua kubishana tu badala ya kueleweshana.
Jibu utalipata S.4(3)Samahani mkuu. Kama hutojali naomba nipatie specific provision inayoitambua idara kama jeshi kamili.
Mkuu FBI ni Idara ya ujasusi wa ndani ya Marekani.FBI sio idara ya ujasusi
Ni federal bureau of Investigation inahusisha na upelelezi/ushushu.
Kwenye upelelezi wao wanaweza kwenda deep zaidi mpaka kugusa baadhi ya vitu vya intelejensia ila wako specialized kwenye kuzuia crime iwe jinai, madawa, money laundering.
Majasusi wenyewe ni:
1) Central Intelligence Agency (CIA)
Hawa wanajulikana na wametapakaa Dunia nzima kulinda American interest
2) National Security Agency (NSA)
Hawa wamebase USA na nje, kama unalikumbuka tukio la simu za maraisi duniani kuwa tapped basi kilifanya n Hawa.
3) Secret service
Hawa wamespecialize kwenye ulinzi wa viongozi the bordguard per see, makazi yao na mambo mengine.
Mara nyingi hutangulia maeneo ya tukio kabla jamaa hajaja.
Kifungu hicho kinazungumzia kwamba idara itatambulika kama 'kikosi' na sio 'jeshi kamili' kama unavyotaka kuaminisha.Jibu utalipata S.4(3)
Na ukitaka kwamba wenyewe ndio chief advisor nitakuwekea
Tupe tofauti ya kikosi na jeshiKifungu hicho kinazungumzia kwamba idara itatambulika kama 'kikosi' na sio 'jeshi kamili' kama unavyotaka kuaminisha.
Kuna tofauti kubwa kati kikosi na jeshi mkuu.
Sheria haisomwi kama gazeti mkuu bali sheria imeandikwa kwa minajili ya kufanyiwa 'interpretation' ndiyo maana kazi ya muhimili wa Mahakama ni kutafsiri sheria sio kuisoma tu kama ilivyoandikwa.