Nani Mkubwa kati ya Mkuu wa Majeshi na Mkurugenzi wa Usalama wa Taifa?

Kabla haujapindua Nchi, Tayari unakuwa tayari Mipango yako ishajulikana na Usalama wa Taifa na kudhibitiwa chini ya Ulinzi, Maana Usalama wapo kila Mahali
Kama ndio hivyo mbona wanajeshi upindua nchi mara kwa mara
 
Mbona mapinduzi yakitokea anayechukua nchi ni CDF na sio hao tiss
 
Kwa waliofuatilia hotuba ya mama Leo mmeona protocol ya ukaaji na seniority
 
Sio kweli, CDF hata kwenye utambulisho huwa anatambulishwa kama mkuu wa majeshi ya ulinzi na usalama. Na wote wale wa polisi, magereza, uhamiaji wanampigia salute
Sijawahi ona IGP au CGP akimpigia salute CDF
 
Kazi sana..Hans Kitine alitokea wapi
Sijawahi ona IGP au CGP akimpigia salute CDF
Duh
 
Kazi sana..Hans Kitine alitokea wapi

Duh
naona bado huelewi,
huyo Hans Kitine alikua tiss kabla ya kwenda jeshini (wanapokua huko wala hakuna anayejua) aliporudi tiss ndio watu wanastuka..kwa lugha nyepesi amerudi nyumbani yaani.

usipoelewa tena shauri yako
 
CGI hawezi kusomwa kabla ya CGF
 
IO wa JWTZ wanakusanya hadi data za nje na ndani. Na kuna JWTZ kibao TISS
Uongo ulio wazi kabisa huu, IO wa JWTZ anakusanya taarifa wapi!! Kasome mjukumu ya TISS kwenye Sheria ya iliyounda TISS,halafu kasome majukumu ya JWTZ kikatiba Ni yapi.
Hao JWTZ waliopo TISS Sana Sana walinzi tu au wakufunzi wa masomo Fulani ya kimedani.
 
Sio kweli, CDF hata kwenye utambulisho huwa anatambulishwa kama mkuu wa majeshi ya ulinzi na usalama. Na wote wale wa polisi, magereza, uhamiaji wanampigia salute
Vitoto vya JF mnatia Kinyaa sana.
Nikadhan unaleta Maana kumbe unalete unachosikia kwa kuambiwa.
Salute hata Chalamila wa Mbeya anapigiwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…