Bufa
JF-Expert Member
- Mar 31, 2012
- 12,599
- 26,263
Kijiweni 101 🤣 . Story zote utazipata.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama ndio hivyo mbona wanajeshi upindua nchi mara kwa maraKabla haujapindua Nchi, Tayari unakuwa tayari Mipango yako ishajulikana na Usalama wa Taifa na kudhibitiwa chini ya Ulinzi, Maana Usalama wapo kila Mahali
Mbona mapinduzi yakitokea anayechukua nchi ni CDF na sio hao tissHuwezi undermine power of intelligence service. Hili ni jeshi la watu wenye akili na waliobobea ktk ku silence pasipo kuonekana ktk mazingira ya kawaida. Ingekuwa jeshi lina nguvu kuliko hawa jamaa basi ni dhahiri shahiri ingekuwa rahisi kupinduwa nchi ila hawa jamaa wana network ndani ya jeshi kwa kazi moja tu kulinda usalama wa Nchi. Jeshi halina intelligence walio nayo Tiss. Na ndio maana hata jeshi wana depend on taarifa ya Tiss. Why ? Mifumo yakiusalama kwa Tiss ni mipana sana nayenye nguvu hawana majeshi kama ya jeshi letu ila wao wanasilaha hatari sana sana ambazo vault yake wanaijuwa wao. Usalama wa Taifa ukiwa weak nirahisi kuangusha nchi ila ukiwa imara sio rahisi kuangusha nchi. Ndio maana unaambiwa Mkurugenzi Nzena alikuwa moja ya makachero alizuwia mapinduzi ktk taifa hili wakati wa Nyerere na kama utakumbuka Hayati Kombe ndie mkuu wa idara ya usalama wa Taifa alie fanya maboresho mengi ikiwepo na kupenyeza Tiss Jwtz.
Kwa waliofuatilia hotuba ya mama Leo mmeona protocol ya ukaaji na seniorityMmoja anaitwa Mkurugenzi wa usalama mwingine anaitwa mkuu wa vikosi vya ulinzi na usalama.
Unafikiri Nani mkubwa? Uliwahi kuona Rais akimbatana DGIS kwenye hafla yeyote rasmi mfano ukaguzi wa gwaride.... Na mengine.
Bettle na Scania yote ni magari Yana kazi tofauti lakini mmoja linawwza kumbeba mwingine Ila mbebwaji hawezi kumbeba mwengine
Sijawahi ona IGP au CGP akimpigia salute CDFSio kweli, CDF hata kwenye utambulisho huwa anatambulishwa kama mkuu wa majeshi ya ulinzi na usalama. Na wote wale wa polisi, magereza, uhamiaji wanampigia salute
Kazi sana..Hans Kitine alitokea wapi😄😄😄
kuna kitu unamiss hapo mkuu,
hao waliotoka jeshi ndo hao tunaosema ni tiss waliokua jeshi (rejea mfano wa DG wa sasa)
hata DG aliyopita alikua mkurugenzi NIDA huko, kwa mawazo yako utasema ametoka tu mtu NIDA akaja kuwa DG wa tiss
DuhSijawahi ona IGP au CGP akimpigia salute CDF
Kijiweni 101 🤣 . Story zote utazipata.
We ni raia mjinga,Mkuu wa usalama ni mkubwa! Jeshi ni sehemu ya vyombo vya usalama vingine ni magereza, polisi, uhamiaji nk. Mkuu wa usalama anacontrol vyote hivyo
Ni mdogo kuliko private...?🤣🤣🙌🏽Usalama wa taifa ni wamwisho kwenye ranki za kijeshi kabisa
naona bado huelewi,Kazi sana..Hans Kitine alitokea wapi
Duh
CGI hawezi kusomwa kabla ya CGFHakuna Rank / Cheo kinaitwa Mkuu wa Vikosi vya Ulinzi na Usalama
Kama una Maana CDF hapa utakuwa ama huelewi ama umeamua kupotosha
CDF ni Mkuu wa Majeshi ya ulinzi, Chief Of Defence Forces.
Na Majeshi ya ulinzi ama Defence Forces una Maana Kamandi tatu za TPDF, yaani Airforce, Navy na Nchi Kavu.
Siku hizi JKT nayo imekuwa Kamandi ya Jeshi.
Ni Hayo tu.
Tukirudi kwenye Swali la Mleta uzi.
Ki Protokali, CDF ni Senior kwa DG wa TISS
DG wa TISS ki Protokali ni Mdogo hata kwa IGP.
CDF,IGP, DG TISS, CGP, CGI, CGF na DG PCCB
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23]Anaezitoa ni baba yako hapa kijiweni kwetu!
Uongo ulio wazi kabisa huu, IO wa JWTZ anakusanya taarifa wapi!! Kasome mjukumu ya TISS kwenye Sheria ya iliyounda TISS,halafu kasome majukumu ya JWTZ kikatiba Ni yapi.IO wa JWTZ wanakusanya hadi data za nje na ndani. Na kuna JWTZ kibao TISS
kwani nani kakuambia ni sahihi ?Uongo ulio wazi kabisa huu, IO wa JWTZ anakusanya taarifa wapi!! Kasome mjukumu ya TISS kwenye Sheria ya iliyounda TISS,halafu kasome majukumu ya JWTZ kikatiba Ni yapi.
Hao JWTZ waliopo TISS Sana Sana walinzi tu au wakufunzi wa masomo Fulani ya kimedani.
[emoji23][emoji23][emoji23]Wote sisi hatujaelewa swali mpaka Sasa. NANI MKUBWA?kwani nani kakuambia ni sahihi ?
Vitoto vya JF mnatia Kinyaa sana.Sio kweli, CDF hata kwenye utambulisho huwa anatambulishwa kama mkuu wa majeshi ya ulinzi na usalama. Na wote wale wa polisi, magereza, uhamiaji wanampigia salute
JF kuna Vitoto sana siku hiziMkuu wa bandari na Mkuu wa TRA nani mkubwa???
Jeshi na TISS ni vitu viwili tofauti sasa huo mlinganisho mnautoa wapi???
Najiona hapo kijiweni 🤣🤣🤣