Nani Mkubwa kati ya Mkuu wa Majeshi na Mkurugenzi wa Usalama wa Taifa?

Nani Mkubwa kati ya Mkuu wa Majeshi na Mkurugenzi wa Usalama wa Taifa?

Kabla haujapindua Nchi, Tayari unakuwa tayari Mipango yako ishajulikana na Usalama wa Taifa na kudhibitiwa chini ya Ulinzi, Maana Usalama wapo kila Mahali
Kama ndio hivyo mbona wanajeshi upindua nchi mara kwa mara
 
Huwezi undermine power of intelligence service. Hili ni jeshi la watu wenye akili na waliobobea ktk ku silence pasipo kuonekana ktk mazingira ya kawaida. Ingekuwa jeshi lina nguvu kuliko hawa jamaa basi ni dhahiri shahiri ingekuwa rahisi kupinduwa nchi ila hawa jamaa wana network ndani ya jeshi kwa kazi moja tu kulinda usalama wa Nchi. Jeshi halina intelligence walio nayo Tiss. Na ndio maana hata jeshi wana depend on taarifa ya Tiss. Why ? Mifumo yakiusalama kwa Tiss ni mipana sana nayenye nguvu hawana majeshi kama ya jeshi letu ila wao wanasilaha hatari sana sana ambazo vault yake wanaijuwa wao. Usalama wa Taifa ukiwa weak nirahisi kuangusha nchi ila ukiwa imara sio rahisi kuangusha nchi. Ndio maana unaambiwa Mkurugenzi Nzena alikuwa moja ya makachero alizuwia mapinduzi ktk taifa hili wakati wa Nyerere na kama utakumbuka Hayati Kombe ndie mkuu wa idara ya usalama wa Taifa alie fanya maboresho mengi ikiwepo na kupenyeza Tiss Jwtz.
Mbona mapinduzi yakitokea anayechukua nchi ni CDF na sio hao tiss
 
Mmoja anaitwa Mkurugenzi wa usalama mwingine anaitwa mkuu wa vikosi vya ulinzi na usalama.

Unafikiri Nani mkubwa? Uliwahi kuona Rais akimbatana DGIS kwenye hafla yeyote rasmi mfano ukaguzi wa gwaride.... Na mengine.

Bettle na Scania yote ni magari Yana kazi tofauti lakini mmoja linawwza kumbeba mwingine Ila mbebwaji hawezi kumbeba mwengine
Kwa waliofuatilia hotuba ya mama Leo mmeona protocol ya ukaaji na seniority
 
Sio kweli, CDF hata kwenye utambulisho huwa anatambulishwa kama mkuu wa majeshi ya ulinzi na usalama. Na wote wale wa polisi, magereza, uhamiaji wanampigia salute
Sijawahi ona IGP au CGP akimpigia salute CDF
 
😄😄😄
kuna kitu unamiss hapo mkuu,
hao waliotoka jeshi ndo hao tunaosema ni tiss waliokua jeshi (rejea mfano wa DG wa sasa)
hata DG aliyopita alikua mkurugenzi NIDA huko, kwa mawazo yako utasema ametoka tu mtu NIDA akaja kuwa DG wa tiss
Kazi sana..Hans Kitine alitokea wapi
Sijawahi ona IGP au CGP akimpigia salute CDF
Duh
 
Kama walivyo jipanga hapo...
IMG_20210322_220628.jpg
 
Kazi sana..Hans Kitine alitokea wapi

Duh
naona bado huelewi,
huyo Hans Kitine alikua tiss kabla ya kwenda jeshini (wanapokua huko wala hakuna anayejua) aliporudi tiss ndio watu wanastuka..kwa lugha nyepesi amerudi nyumbani yaani.

usipoelewa tena shauri yako
 
Hakuna Rank / Cheo kinaitwa Mkuu wa Vikosi vya Ulinzi na Usalama
Kama una Maana CDF hapa utakuwa ama huelewi ama umeamua kupotosha
CDF ni Mkuu wa Majeshi ya ulinzi, Chief Of Defence Forces.
Na Majeshi ya ulinzi ama Defence Forces una Maana Kamandi tatu za TPDF, yaani Airforce, Navy na Nchi Kavu.
Siku hizi JKT nayo imekuwa Kamandi ya Jeshi.
Ni Hayo tu.
Tukirudi kwenye Swali la Mleta uzi.
Ki Protokali, CDF ni Senior kwa DG wa TISS
DG wa TISS ki Protokali ni Mdogo hata kwa IGP.
CDF,IGP, DG TISS, CGP, CGI, CGF na DG PCCB
CGI hawezi kusomwa kabla ya CGF
 
IO wa JWTZ wanakusanya hadi data za nje na ndani. Na kuna JWTZ kibao TISS
Uongo ulio wazi kabisa huu, IO wa JWTZ anakusanya taarifa wapi!! Kasome mjukumu ya TISS kwenye Sheria ya iliyounda TISS,halafu kasome majukumu ya JWTZ kikatiba Ni yapi.
Hao JWTZ waliopo TISS Sana Sana walinzi tu au wakufunzi wa masomo Fulani ya kimedani.
 
Sio kweli, CDF hata kwenye utambulisho huwa anatambulishwa kama mkuu wa majeshi ya ulinzi na usalama. Na wote wale wa polisi, magereza, uhamiaji wanampigia salute
Vitoto vya JF mnatia Kinyaa sana.
Nikadhan unaleta Maana kumbe unalete unachosikia kwa kuambiwa.
Salute hata Chalamila wa Mbeya anapigiwa
 
Back
Top Bottom