Nani mkweli kati ya Rais Samia na Waziri Bashungwa?

JFMemba

Senior Member
Joined
Jun 28, 2021
Posts
134
Reaction score
247
Wakati anaapisha baadhi ya viongozi Mh. Rais Samia alimshushia sifa Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Malinyi Joan Kataraiya. Ikumbukwe huyu ni miongoni mwa mabinti wadogo kabisa kutoka CCM walioteuliwa katika nafasi hiyo.

Mh. Rais alisema Mkurugenzi huyo amefanya vizuri sana katika utendaji kazi wake kwa ujumla na sifa nyingine kibao.

Leo Mh. Bashungwa (Waziri wa TAMISEMI) ametoa taarifa ya utendaji kazi wa Halmashauri zote nchini ambapo Halmashauri hiyo ya Malinyi haina sifa yoyote iliyostahili kupewa na Rais. Taarifa ya Bashingwa inaonesha kuwa;

Katika asilimia za ukusanyaji wa mapato kwa ujumla Malinyi ni ya 142. Katika wingi wa mapato ni 119. Katika kutoa mikopo ya wanawake, vijana na wenye ulemavu ni ya 96 na wala haijatoa 10% kama sheria inavyotaka.

Katika kujibu hoja za CAG ni ya 45 na tathmini ya jumla ya utendaji kazi Malinyi ni ya 103.

Sasa najiuliza Rais Samia alitumia kigezo gani kuimwagia sifa Malinyi na kuziacha Halmashauri nyingine zilizofanya vizuri zaidi. Au alidanganywa na vyanzo vyake?

Rais haoni kama anatengeneza mazingira ya sisi kutokuamini maneno yake mengine maana tutahisi yamejaa uongo?

Kauli ya Rais ni nzito yenye mamlaka na ya kuaminika, so asivunje sifa hiyo kwa sababu zozote zile.
 
Katika asilimia za ukusanyaji wa mapato kwa ujumla Malinyi ni ya 142. Labda niulize kabla ya hapo Malinyi ilikuwa nafasi yangapi ili tuanzie hapa
Mkuu, muhimu ni kuwa, chawa kasema MBAYA, mwenye mali kasema NZURI SANA. Ilikuaje kabla na baada sio muhimu kwasasa.....wamepishana kauli na kauli iliyotoka mwisho ni ya waziri, ndio kusema....?

Naona huu mtindo unazidi kushamiri, alianza IGP sio?
 
Tulipofika hutakiwi kushangaa maana unaweza lala ukaamka ukakutana na gazeti uyo waziri kamsifia uyo mccm
 
Ukitaka kujua nchi hii inaendeshwa kwa ulaghai na uongo basi kaa chini na kuchunguza takwimu za utalii sasa hivi, booking zilizokuwa zimefanyika tokea miaka ya nyuma na kuwa suspended kutokana na COVID 19 Halafu linganisha na mbwembwe tunazopewa kuhusu "Loyotua".

Utagundua kuwa viongozi wamekuwa waongo mpaka wenyewe wanaamini huo uongo wao.
 
Naona huu mtindo unazidi kushamiri, alianza IGP sio?
Hata Kafulila alisifiwa wakati wa uapisho uliofanyika ikulu kabla ya huu. Akaambiwa akaze kamba na aendelee kuwashughulikia waliokula hela zake za uviko. Lkn sasa ametumbuliwa.
 
Ilikuwa inakusanya shilingi ngapi na baada ya kuingia DED Joan sasa inakusanya shilingi ngapi? Na ilikuwa ni halmashauri ya ngapi kabla kwa ukusanyaji mapato? Tuanzie hapa.🙏🙏🙏
 
Wakati anaapisha baadhi ya viongozi Mh. Rais Samia alimshushia sifa Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Malinyi Joan Kataraiya. Ikumbukwe huyu ni miongoni mwa mabinti wadogo kabisa kutoka CCM walioteuliwa katika nafasi hiyo.

Mh. Rais alisema Mkurugenzi huyo amefanya vizuri sana katika utendaji kazi wake kwa ujumla na sifa nyingine kibao.

Leo Mh. Bashungwa (Waziri wa TAMISEMI) ametoa taarifa ya utendaji kazi wa Halmashauri zote nchini ambapo Halmashauri hiyo ya Malinyi haina sifa yoyote iliyostahili kupewa na Rais. Taarifa ya Bashingwa inaonesha kuwa;

Katika asilimia za ukusanyaji wa mapato kwa ujumla Malinyi ni ya 142. Katika wingi wa mapato ni 119. Katika kutoa mikopo ya wanawake, vijana na wenye ulemavu ni ya 96 na wala haijatoa 10% kama sheria inavyotaka.

Katika kujibu hoja za CAG ni ya 45 na tathmini ya jumla ya utendaji kazi Malinyi ni ya 103.

Sasa najiuliza Rais Samia alitumia kigezo gani kuimwagia sifa Malinyi na kuziacha Halmashauri nyingine zilizofanya vizuri zaidi. Au alidanganywa na vyanzo vyake?

Rais haoni kama anatengeneza mazingira ya sisi kutokuamini maneno yake mengine maana tutahisi yamejaa uongo?

Kauli ya Rais ni nzito yenye mamlaka na ya kuaminika, so asivunje sifa hiyo kwa sababu zozote zile.
Kama huyo Mkurugenzi Mtendaji alikuwa akikwazwa na DC wake kwenye utendaji wake bado hakustahili hizo sifa za Rais?
 
Eti kahama haipo😁 kimbulu, kibabati na kisimanjiro vyote vimo. Haya bwana, tunduma hongereni sana.
 
Bila picha ya Binti Mkurugenzi mambo hayaendi.
 
Wakati anaapisha baadhi ya viongozi Mh. Rais Samia alimshushia sifa Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Malinyi Joan Kataraiya. Ikumbukwe huyu ni miongoni mwa mabinti wadogo kabisa kutoka CCM walioteuliwa katika nafasi hiyo.

Mh. Rais alisema Mkurugenzi huyo amefanya vizuri sana katika utendaji kazi wake kwa ujumla na sifa nyingine kibao.

Leo Mh. Bashungwa (Waziri wa TAMISEMI) ametoa taarifa ya utendaji kazi wa Halmashauri zote nchini ambapo Halmashauri hiyo ya Malinyi haina sifa yoyote iliyostahili kupewa na Rais. Taarifa ya Bashingwa inaonesha kuwa;

Katika asilimia za ukusanyaji wa mapato kwa ujumla Malinyi ni ya 142. Katika wingi wa mapato ni 119. Katika kutoa mikopo ya wanawake, vijana na wenye ulemavu ni ya 96 na wala haijatoa 10% kama sheria inavyotaka.

Katika kujibu hoja za CAG ni ya 45 na tathmini ya jumla ya utendaji kazi Malinyi ni ya 103.

Sasa najiuliza Rais Samia alitumia kigezo gani kuimwagia sifa Malinyi na kuziacha Halmashauri nyingine zilizofanya vizuri zaidi. Au alidanganywa na vyanzo vyake?

Rais haoni kama anatengeneza mazingira ya sisi kutokuamini maneno yake mengine maana tutahisi yamejaa uongo?

Kauli ya Rais ni nzito yenye mamlaka na ya kuaminika, so asivunje sifa hiyo kwa sababu zozote zile.
ID yako imenishangaza. Imebidi nijiridhishe kama sijadukuliwa.
 
Kuna takwimu pamoja na uhalisia wake lakini sio kigezo cha perfomance ya Wilaya husika. Yaani kusema kua Wilaya ni ya 119 kwa ukusanyaji mapato haimaniishi Wilaya imefanya vibaya.

Ungeandika labda katika Wilaya zilizoshindwa kufikia lengo ni ya 119 ingekua uko sahihi kusema imefanya vibaya.

Nilipata kusikia kua kuna jengo moja liko Posta hapa Dar es Salaam PAYE tu serikali inayopokea hapo inazidi PAYE ya Wilaya moja huko mikoa ya kusini. Sasa Wilaya hiyo huwezi kuikandia eti haikusanyi mapato wakati and ndio uwezo wake wa kiuchumi tulipofikia.
 
Wakati anaapisha baadhi ya viongozi Mh. Rais Samia alimshushia sifa Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Malinyi Joan Kataraiya. Ikumbukwe huyu ni miongoni mwa mabinti wadogo kabisa kutoka CCM walioteuliwa katika nafasi hiyo.

Mh. Rais alisema Mkurugenzi huyo amefanya vizuri sana katika utendaji kazi wake kwa ujumla na sifa nyingine kibao.

Leo Mh. Bashungwa (Waziri wa TAMISEMI) ametoa taarifa ya utendaji kazi wa Halmashauri zote nchini ambapo Halmashauri hiyo ya Malinyi haina sifa yoyote iliyostahili kupewa na Rais. Taarifa ya Bashingwa inaonesha kuwa;

Katika asilimia za ukusanyaji wa mapato kwa ujumla Malinyi ni ya 142. Katika wingi wa mapato ni 119. Katika kutoa mikopo ya wanawake, vijana na wenye ulemavu ni ya 96 na wala haijatoa 10% kama sheria inavyotaka.

Katika kujibu hoja za CAG ni ya 45 na tathmini ya jumla ya utendaji kazi Malinyi ni ya 103.

Sasa najiuliza Rais Samia alitumia kigezo gani kuimwagia sifa Malinyi na kuziacha Halmashauri nyingine zilizofanya vizuri zaidi. Au alidanganywa na vyanzo vyake?

Rais haoni kama anatengeneza mazingira ya sisi kutokuamini maneno yake mengine maana tutahisi yamejaa uongo?

Kauli ya Rais ni nzito yenye mamlaka na ya kuaminika, so asivunje sifa hiyo kwa sababu zozote zile.
Tumeshuhudia Kauli za Magufuli zikuwa za UONGO
 
Weka hapa pdf tujionee..

Harafu usiwe kiazi, Halmashauri kama ilikuwa inakusanya mil.600 inakusanya Bil.1.5 hata ikiwa ya mwisho Kwa makusanyo ghafi ila kwa hicho kiasi ni ufanisi wa Hali ya Juu..

Ndio maana amehitimisha kwa kusema hakuna Halmashauri iliyokusanya chini ya 50%
 
Back
Top Bottom