Nani mmiliki wa Vituo vya Mafuta vya “Victoria”?

Proud Christian
 
Material, bwana kidevu, aliishi sana Kenya baadae akarudi nchini na kama alijiunga na kuwa kariba sana na Marehemu Mchungaji LWAKATARE,ameokoka kwa sasa
 
Sheli nyingi zna mizik labda hujawahi fika kanda ya ziwa....nenda Kahama pale jamaa wanaweka music kabsa eg mathayo filling station,migori filling station....huyu kaenda mbali zaid kafunga tv kabsa kwa kila pump.....
Hapo kwenye tv tutaibiana mafuta wazee[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
ni mchagga mmoja wa marangu
 
Yaani mtu mzima kabisa uvutiwe na kituo kisa kina mziki au TV!!

Huwa mkaa foleni kiasi ufaidi huo mziki maana kama ni wese tu dakika mbili ushajaza.
 
Kuzoeleka hakuhalalishi kila kituo cha mafuta kukiita Sheli coz Sheli "Shell'' ni jina la Kampuni ya US.kwa

Kuzoeleka hakuhalalishi kila kituo cha mafuta kukiita Sheli coz Sheli "Shell'' ni jina la Kampuni ya US.
Nikukumbushe tu kwamba, "Lugha" ni mfumo wa sauti za nasibu zenye maana na zilizokubaliwa na jamii ya watu fulani ili zitumike katika kuleta mawasiliano.

Hivyo jamii ya watanzania imeshakubaliana itumie neno Shell likimaaanisha kituo cha mafuta. Kwa imekua hivyo na itaendelea kuwa hivyo.
 
Agip
Bp
Shell
Engen
Total
Gapco

Hayo ni baadhi makampuni makubwa dunia ya uuzaji usambazaji na uchimbaji mafuta.
Sio kila kituo cha mafuta kinaitwa shell.

Sent from my SM-A025F using JamiiForums mobile app
Wewe falaaa..unazan kuna asiyejua hilo...neno SHELI n TRADITIONAL NAME... The founder ndo wanaeziwa hadi leo ....na itabaki hvoo milele na milele uspoteze mda ukazan hapa n Facebook
 
Jamii ya watanzania ilikuabaliana lini? hicho kikao kilifanyika wapi? Baraza linaloshughulika na lugha ya Kiswahili Tanzania limepitisha kua hilo neno litumike kama kiwakilishi cha kila kituo cha mafuta? kama jamii ilikubaliana mbona humu wengi tu wanapinga kwa kila kituo cha mafuta kuitwa Shell?

Tatizo mmekariri jambo ambalo ni wrong ila kwa mazoea na uvivu mnataka kulihalalisha,Shell ni jina la kampuni tambua hilo.
 
Mzee flan hivi mlokole sana na mstaarabu sana , nishafanya nae kazi yule mzee yuko vizuri hana longo longo
 
Victoria mwenyewe
 
tajiri ni mama mmoja mlokole
 
Imezoeleka kutumia neno Shell kwa sababu shell ndio kampuni kubwa sana inayojihusisha na utafutaji na usambazaji wa petrol duniani. Pia ni ya kwanza kufungua vituo vya mafuta nchini Tanganyika by then.
Isizoeleke.Utumike uhalisia.Naongeza "Gas station/Gasoline.
 
Sheli ni kituo cha mafuta, imekuwa hivyo, iko hivyo ma itabaki kuwa hivyo..Majina ya vitu au mahali fulani hiwa na historia yake.

Unataka mtu aiite pikipiki ya matairi matatu badala ya bajaji? Nani atakuelewa. Imeenda hiyo
Siyo hivyo na haitakiwi ukakariri upotofu.Siyo kila gari ni mitsubishi(mistubishi).Kuna pikipiki za matairi mawili au matatu zinazopewa majina kutokana na viwanda vyao.Kwa mfano Honda,Enduro,Kawasaki,TVS,Bajaj,SanLg,Boxer n.k.
 
Binafsi nimekuwa mteja wa VICTORIA kwa miaka zaidi ya 10
kwa kweli... ukiwa una safari hasa ya mkoani na ukajaza mafuta VICTORIA hutojutia......
hawana michezo ya kijinga kwenye mafuta mpaka ujazo....!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…