kibobori mahoro
JF-Expert Member
- Dec 12, 2022
- 7,452
- 10,785
Ila ajue imeandikwa kuwa "tafuteni kwanza ufalme wa mbinguni mengine yote ni ziada".
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Proud ChristianAnaitwa Harlod Matemba. Yeye pia ni Mchungaji wa kanisa lake. Aliwahi kupata zabuni ya kujaza mafuta baadhi ya magari ya serikali, akakua.
Sijui kama hadi sasa bado anayo hiyo zabuni. Yeye ni mtu wa dini ya Kikristo kwelikweli hata sehemu kubwa ya staff wake ni Wakristo pia.
Aliwahi 'kupigwa' na wajanja kwa kuuziwa sehemu ya kiwanja cha Kanisa Katoliki, pale Msimbazi Center, jirani na mnara wa mawasiliano ya ndege.
Akaweka kituo cha kuuzia mafuta. Ila kanisa kwa busara, iliamua kumuuzia upya kihalali ili kumpunguzia hasara ya kuondoa kituo chake.
Ova
Material, bwana kidevu, aliishi sana Kenya baadae akarudi nchini na kama alijiunga na kuwa kariba sana na Marehemu Mchungaji LWAKATARE,ameokoka kwa sasaTajiri wa hizi sheli kafanikiwa kumaintain discipline na uaminifu kwa wafanyakazi wake napendezwa sana na utamaduni wao karibia kwa sheli zote.
Naonaga zinapigwa nyimbo za dini au ni sheli ya kanisa fulani au mchungaji kiukweli huduma zao ni bora bila kusahau wahudumu wa kiiraq.
Hapo kwenye tv tutaibiana mafuta wazee[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Sheli nyingi zna mizik labda hujawahi fika kanda ya ziwa....nenda Kahama pale jamaa wanaweka music kabsa eg mathayo filling station,migori filling station....huyu kaenda mbali zaid kafunga tv kabsa kwa kila pump.....
ni mchagga mmoja wa maranguTajiri wa hizi sheli kafanikiwa kumaintain discipline na uaminifu kwa wafanyakazi wake napendezwa sana na utamaduni wao karibia kwa sheli zote.
Naonaga zinapigwa nyimbo za dini au ni sheli ya kanisa fulani au mchungaji kiukweli huduma zao ni bora bila kusahau wahudumu wa kiiraq.
Kuzoeleka hakuhalalishi kila kituo cha mafuta kukiita Sheli coz Sheli "Shell'' ni jina la Kampuni ya US.kwa
Nikukumbushe tu kwamba, "Lugha" ni mfumo wa sauti za nasibu zenye maana na zilizokubaliwa na jamii ya watu fulani ili zitumike katika kuleta mawasiliano.Kuzoeleka hakuhalalishi kila kituo cha mafuta kukiita Sheli coz Sheli "Shell'' ni jina la Kampuni ya US.
Wewe falaaa..unazan kuna asiyejua hilo...neno SHELI n TRADITIONAL NAME... The founder ndo wanaeziwa hadi leo ....na itabaki hvoo milele na milele uspoteze mda ukazan hapa n FacebookAgip
Bp
Shell
Engen
Total
Gapco
Hayo ni baadhi makampuni makubwa dunia ya uuzaji usambazaji na uchimbaji mafuta.
Sio kila kituo cha mafuta kinaitwa shell.
Sent from my SM-A025F using JamiiForums mobile app
Lakini alishindwa kujua madhara ya kuweka mti wa ujuzi pale bustanini na kumnyima binadamu akili?Sirgodi anajua hata wangekuwepo wangekuwa upande gani
Mbona ametupa akili yakutombana ndo akili kubwa kuliko yote.Lakini alishindwa kujua madhara ya kuweka mti wa ujuzi pale bustanini na kumnyima binadamu akili?
Wachaga wezi sana, wateja wangekuwa wanalia kuibiwaAisee nilijua tu atakuwa Mchagga
Jamii ya watanzania ilikuabaliana lini? hicho kikao kilifanyika wapi? Baraza linaloshughulika na lugha ya Kiswahili Tanzania limepitisha kua hilo neno litumike kama kiwakilishi cha kila kituo cha mafuta? kama jamii ilikubaliana mbona humu wengi tu wanapinga kwa kila kituo cha mafuta kuitwa Shell?Nikukumbushe tu kwamba, "Lugha" ni mfumo wa sauti za nasibu zenye maana na zilizokubaliwa na jamii ya watu fulani ili zitumike katika kuleta mawasiliano.
Hivyo jamii ya watanzania imeshakubaliana itumie neno Sheli likimaanisha kituo cha mafuta. Kwa imekua hivyo na itaendelea kuwa hivyo.
Endeleeni kuamini wachaga ni wezi na kila biashara ya mchaga kuna kuibiwa wakati wachaga wanazidi kusonga mbele.Wachaga wezi sana, wateja wangekuwa wanalia kuibiwa
SawaMbona ametupa akili yakutombana ndo akili kubwa kuliko yote.
Mzee flan hivi mlokole sana na mstaarabu sana , nishafanya nae kazi yule mzee yuko vizuri hana longo longoTajiri wa hizi sheli kafanikiwa kumaintain discipline na uaminifu kwa wafanyakazi wake. Napendezwa sana na utamaduni wao karibia kwa sheli zote.
Naonaga zinapigwa nyimbo za dini, au ni sheli ya kanisa fulani au mchungaji?
Kiukweli huduma zao ni bora bila kusahau wahudumu wa kiiraq.
Victoria mwenyeweTajiri wa hizi sheli kafanikiwa kumaintain discipline na uaminifu kwa wafanyakazi wake. Napendezwa sana na utamaduni wao karibia kwa sheli zote.
Naonaga zinapigwa nyimbo za dini, au ni sheli ya kanisa fulani au mchungaji?
Kiukweli huduma zao ni bora bila kusahau wahudumu wa kiiraq.
tajiri ni mama mmoja mlokoleTajiri wa hizi sheli kafanikiwa kumaintain discipline na uaminifu kwa wafanyakazi wake. Napendezwa sana na utamaduni wao karibia kwa sheli zote.
Naonaga zinapigwa nyimbo za dini, au ni sheli ya kanisa fulani au mchungaji?
Kiukweli huduma zao ni bora bila kusahau wahudumu wa kiiraq.
Isizoeleke.Utumike uhalisia.Naongeza "Gas station/Gasoline.Imezoeleka kutumia neno Shell kwa sababu shell ndio kampuni kubwa sana inayojihusisha na utafutaji na usambazaji wa petrol duniani. Pia ni ya kwanza kufungua vituo vya mafuta nchini Tanganyika by then.
Siyo hivyo na haitakiwi ukakariri upotofu.Siyo kila gari ni mitsubishi(mistubishi).Kuna pikipiki za matairi mawili au matatu zinazopewa majina kutokana na viwanda vyao.Kwa mfano Honda,Enduro,Kawasaki,TVS,Bajaj,SanLg,Boxer n.k.Sheli ni kituo cha mafuta, imekuwa hivyo, iko hivyo ma itabaki kuwa hivyo..Majina ya vitu au mahali fulani hiwa na historia yake.
Unataka mtu aiite pikipiki ya matairi matatu badala ya bajaji? Nani atakuelewa. Imeenda hiyo