matunduizi
JF-Expert Member
- Aug 20, 2018
- 7,968
- 19,368
- Thread starter
-
- #61
Ooakay kumbe kwa kuchepukia nalo linamsaada. Nilikuwa sijajua hilo.Me naona wachepukaji ndio waligundua,hata ukifumaniwa unaweza kimbia huku unalishusha mwilini
waaleyqum salaam mamyy u hali ganiAhsalaam alaykhum my dear
Jamaa anaomba picha ya dela. Ninaomba msaada wako. Labda yuko huko ambako hayajafikasjaelewa umenimention kwa mantiki gani?? nimesoma ila sjapata maana
hahaha umenichekeshaNi mazoea tu kama umezoea wala halimpi tabu mvaaji
Raha ya diraa ni kulishikilia maana ukikuona kalishikilia ndio utajua huyo kafuata vazi lilivyo
Hata wanaijeria (wanaume) vazi lao mpaka ulibebe [emoji23][emoji23]
yani halijui dera?? anakutania tu banaJamaa anaomba picha ya dela. Ninaomba msaada wako. Labda yuko huko ambako hayajafika
Asili ya vazi hili ukiangalia vzuri sana utagundua kuna element kidgo ya mavazi ya kihindi kutokana na ile style yake.Mavazi mengi tumeiga.
Suti,sketi na brouzi, suruali, kaptula hata Nguo za ndani.
Kanzu,hijabu etc zote ni imported styles.
Hili vazi LA dera sijui dela asili yake ni wapi.
Nimefuatilia sioni wachina,wazungu,waarabu wakivaa hii kitu.
Licha ya kutengenezwa hasa na wachina lakini sijui imekuaje ghafla wabongo sijui nchi nyingine afrika, dela limebadilisha kabisa tasnia ya mavazi ya mwanamke nchini.
Kama kuna mwanamke hana basi ni wakuhesabu.
Kwa nini nahoji?
Nchi imetumia gharama na muda mwingi kutafuta vazi LA taifa. Lakini huyo mjasiliamali Kawa siku kadhaa tu kabadikisha upepo dela nimekuwa vazi LA mwanamke mtanzania.
Wakuu kuuliza sio UJINGA asili ya hii kitu ni wapi na imekuajekuaje ndani ya muda mfupi imekubalika sana.
Ndio ndioWanasema dela bila tako ni sawa na kuvaa kanzu
Alhamdulillah namshukuru Allah sijambo mwali wangu,hofu huko tuu??waaleyqum salaam mamyy u hali gani
Naam,Ooakay kumbe kwa kuchepukia nalo linamsaada. Nilikuwa sijajua hilo.
Ndio maana kwenye vigodoro huwa ni vazi kuu aisee
Asante kwa hekima zako mkurugenzi wa masihara nchini hahahahKuna wadada huwaga wanavaa madera lakini Mzigo unachana turubai walahi kuna mmoja ilibdi nijidai mwehu nikamwambia Dada kweli umejitahidi sana kujisitiri lakini Upendelo uliopewa sio wa kawaida...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Yani ukitaka kumpata mwanamke msifie
Sent from my SM-G611K using JamiiForums mobile app
Mkuu asante kwa nondo.
Huko nako wanafujo kama huku. Maana huku hasa uswazi imekuwa kama ni inhizo jipya duniani. Mara wachmekee kwenye vyu.pi, Mara abane kalio...
Kuvaa dela si kazi, kazi kulishikilia yahe!Mavazi mengi tumeiga.