sonofobia
JF-Expert Member
- Jun 21, 2015
- 1,171
- 4,295
Hakika kila nikimtazama kijana huyu Comrade Polepole nauona uongozi wa aina ya Nyerere.
Nchi inatakiwa iilinde hii hazina huyu ni Nyerere aliyezaliwa upya.
Kiboko ya mabeberu na mabwanyenye. Wametumwa kina le mutuz na steve nyerere kumchafua wameishia kuonekana vituko, chuma kinaendelea kutema cheche.
One yes tutakupa hii nchi utufikishe nchi ya ahadi tulipokuwa tunapelekwa na shujaa wa Africa.