Nani mwingine akimuona Polepole anamuona Nyerere?

sonofobia

JF-Expert Member
Joined
Jun 21, 2015
Posts
1,171
Reaction score
4,295

Hakika kila nikimtazama kijana huyu Comrade Polepole nauona uongozi wa aina ya Nyerere.

Nchi inatakiwa iilinde hii hazina huyu ni Nyerere aliyezaliwa upya.

Kiboko ya mabeberu na mabwanyenye. Wametumwa kina le mutuz na steve nyerere kumchafua wameishia kuonekana vituko, chuma kinaendelea kutema cheche.

One yes tutakupa hii nchi utufikishe nchi ya ahadi tulipokuwa tunapelekwa na shujaa wa Africa.
 
Kumbe hii ndiyo ID ya Humphrey??

Pole sana, mlimdanganya sana mwendakuzimu nyie na mabango yenu ya shujaa wa Africa mkamuweka picha yake pembeni ya Nyerere, pale kwenye bango fulani Dodoma.
Eti mashujaa wa Africa!

Sasa hayupo umeona ujifananishe wewe mwenyewe Polepole, huyu huyu wa maviete afanane na Nyerere??
Angekuwasha vibao angekuwa hai.
Islaaamaaabaaaad

Everyday is Saturday................................😎
 
Haya amka kakojoe subiria mama ameenda sokoni akupe uji
 
jf imekuwa cheap sana, nashauri na humu kuwe na tozo ya kuingia. Haiwezekani mtu akishiba kababu zake huko anakimbilia humu kutoa ushuzi. Hii si sawa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…