ubarinolutu
JF-Expert Member
- Oct 22, 2012
- 2,424
- 4,954
tujifunze kuheshimu vipawa, uwezo na ujuzi dhidi ujanjajanja
huwez kufananisha mika mwamba na wataalamu wa kusample beats za watu
MajaniLeo kumekuwa na ubishani mkali, je ni nani Producer Bora wa mziki , kati ya Producer namba moja wa muda wote wa Tanzania ajulikanae kama s2kizzy, na engineer wa mziki aliewahi kuwa producer wa nyimbo za bongo fleva Kwa Jina Milka Mwamba.
Sasa s2kizzy ambaye Kwa Sasa ni namba moja nchini ametengeneza nyimbo kama Tetema, far away diamond, enjoy, na Mila Mwamba ametengeneza nyimbo kama Twenzetu ya chege, na Mabinti wa kitanga Bwana misosi.
Wanajamvini ambao sio watoto wa 2000, Nina matumaini wanawajua maproducer wote Hawa wawili, Sasa nani mkali kati ya mzungu mika Mwamba na mbongo S2kizzy
Hujasikia tambo za S2kizzy kwamba ni greatest of all timeBinafs nimesikitika sana kuona uzi huu, nadhan pia hat mzik haujui tu pengine una ushabiki tu ndan ake
Vipi Na abbahUmeskia wapi huo ushuzi mkuu?Kama umeskiza kazi za Mika Kari mwamba utagundua mzungu Sio poa.Na back then kulikuwa hakuna vifaa Bora au pluggins kibao kama skuizi.
Zombie is good bt usimfananishe na huyu Jamaa,au majani for that matter.
Sahizi ya huyu Jamaa ni kina tronik ,Mr touch na akina Mr LG
Jirani uzi uishie hapa 😂Naona unaifananisha Real Madrid ya Spain na Tukuyu Stars ya Mbeya,
Kijana kua na heshima kwa Mika.