Nani Producer Mkali, S2Kizzy Vs Mika Mwamba?

ubarinolutu

JF-Expert Member
Joined
Oct 22, 2012
Posts
2,424
Reaction score
4,954
1715870209843.png

S2Kizzy
1715870282885.png

Mika Mwamba

Leo kumekuwa na ubishani mkali, je ni nani Producer Bora wa mziki , kati ya Producer namba moja wa muda wote wa Tanzania ajulikanae kama s2kizzy, na engineer wa mziki aliewahi kuwa producer wa nyimbo za bongo fleva Kwa Jina Milka Mwamba.

Sasa s2kizzy ambaye Kwa Sasa ni namba moja nchini ametengeneza nyimbo kama Tetema, far away diamond, enjoy, na Mila Mwamba ametengeneza nyimbo kama Twenzetu ya chege, na Mabinti wa kitanga Bwana misosi.

Wanajamvini ambao sio watoto wa 2000, Nina matumaini wanawajua maproducer wote Hawa wawili, Sasa nani mkali kati ya mzungu mika Mwamba na mbongo S2kizzy
 
Majani
 
Umeskia wapi huo ushuzi mkuu?Kama umeskiza kazi za Mika Kari mwamba utagundua mzungu Sio poa.Na back then kulikuwa hakuna vifaa Bora au pluggins kibao kama skuizi.
Zombie is good bt usimfananishe na huyu Jamaa,au majani for that matter.
Sahizi ya huyu Jamaa ni kina tronik ,Mr touch na akina Mr LG
 
Vipi Na abbah
 
Kumlinganisha Mika Mwamba na S2kizzy sio sawa, Mika mwamba alikuwa na wakati wake na alifanya vizuri, s2kizzy kwa mbali ashindanishwe na Abbah japo ni wazi Abbah ni producer mkali na anaujua mziki kuliko s2Kizzy.

Kwa bongo hakuna msanii wa kike anamfikia Ruby kuimba lakini mafanikio hayaletwi kwa asilimia 100 na kipaji, ni chemistry ya vitu vingi inapelekea kuwa na mafanikio kwenye career yako.

S2kizzy kuwa anaonekana ni producer mwenye mafanikio haimaanishi anaweza kuliko wengine.
 
Back
Top Bottom